Happie💕(@Happie_Thom) 's Twitter Profileg
Happie💕

@Happie_Thom

Accountant by Pro| Influencer | A Sister and A Friend| Lord is my shepherd🙏| Man City| ⚽⚽| LiveLoveLaugh❤

ID:1149043805208940546

calendar_today10-07-2019 19:52:46

162,8K Tweets

126,7K Followers

2,0K Following

𝕄𝕣. 𝔹𝕖𝕖🍯🇹🇿(@MrBeeTanz) 's Twitter Profile Photo

Ndugu Watanzania wenzangu na Wana Afrika Mashariki na Kati, Saa 6 Usiku wa leo kutokea Muheza, Tanga nitaazima usikivu, macho na akili zenu.

Kaa karibu na Crown Media Alikiba

Ndugu Watanzania wenzangu na Wana Afrika Mashariki na Kati, Saa 6 Usiku wa leo kutokea Muheza, Tanga nitaazima usikivu, macho na akili zenu. Kaa karibu na @CrownMediaTZ @OfficialAliKiba #WanaWaHanuHanu #HapaNiNyumbani
account_circle
Paschal sam♈(@PaschalSam1) 's Twitter Profile Photo

King @officialalikiba ametoa malekezo Kwa wanaafrika mashariki na kati kua macho hadi saa 6 usiku ana surprise kwa Umma.🙂

Kaa karibu na kurasa zote za Crown Media.

King @officialalikiba ametoa malekezo Kwa wanaafrika mashariki na kati kua macho hadi saa 6 usiku ana surprise kwa Umma.🙂 Kaa karibu na kurasa zote za Crown Media. #HapaNiNyumbani #WanaWaHanuHanu
account_circle
Adventure-360(@Adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Maagizo kutoka juu yanaelekeza Watanzania, na Wana Afrika Mashariki na Kati wote kuwa macho saa 6 usiku bila kupepesa, mjuze na mwenzio, Rais @officialalikiba amesema

Kaa karibu na kurasa zetu zote.

Maagizo kutoka juu yanaelekeza Watanzania, na Wana Afrika Mashariki na Kati wote kuwa macho saa 6 usiku bila kupepesa, mjuze na mwenzio, Rais @officialalikiba amesema Kaa karibu na kurasa zetu zote. #HapaNiNyumbani #WanaWaHanuHanu
account_circle
Eric(@EricMaswi) 's Twitter Profile Photo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu amepokea ripoti ya maafa ya mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha, pamoja na maandalizi ya maadhimisho ya sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu amepokea ripoti ya maafa ya mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha, pamoja na maandalizi ya maadhimisho ya sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania. #MamaYukoKazini
account_circle
Happie💕(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Leo Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar ameongoza kikao maalum kilichowasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha.

Leo Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar ameongoza kikao maalum kilichowasilisha ripoti ya maafa ya Mafuriko yaliyotokea sehemu mbalimbali nchini ikiwemo Rufiji, Morogoro, Lindi na Arusha. #MamaYukoKazini
account_circle
ILHAM 🖤(@claramogul) 's Twitter Profile Photo

Je unajua kwamba kwenye kusherehekea , mzee baba Casper Nyovest atakuwepo??

BITEVIBES ni 26-27th April itakuwa na list ya mastar kibao utakao wafurahia, ni wewe tu kutenga siku mbili kusherekea midundo yetu Viwanja vya Posta Kijitonyama palee. Usizubaee saasa 🔥😹

Je unajua kwamba kwenye kusherehekea #HadhiYaJuu, mzee baba Casper Nyovest atakuwepo?? BITEVIBES ni 26-27th April itakuwa na list ya mastar kibao utakao wafurahia, ni wewe tu kutenga siku mbili kusherekea midundo yetu Viwanja vya Posta Kijitonyama palee. Usizubaee saasa 🔥😹
account_circle
Gift Kimaro(@GiftKimaro7) 's Twitter Profile Photo

Mpwapwa kwa sasa wana jengo la Wagonjwa mahututi lenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa 10 kwa pamoja.

Serikali inaendelea kuboresha huduma za afya nchini.

Mpwapwa kwa sasa wana jengo la Wagonjwa mahututi lenye uwezo wa kuhudumia Wagonjwa 10 kwa pamoja. Serikali inaendelea kuboresha huduma za afya nchini. #MamaYukoKazini
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Na hizi mvua maliza miamala ukiwa na SimBanking.

Na hivi ndio baadhi ya huduma za malipo unaweza fanya.
1.Luku
2.Maji
3.Vifurushi vya TV
4.Malipo ya serikali
5.Tiketi za ndege
6.Mechi za mpira
7.Bima ya Gari

Uwezo wote uko kiganjani mwako

account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Bayer Leverkusen kesho uwanja wa nyumbani kwao wanaweza kutangaza ubingwa wao wa kwanza tangu kuanzishwa ligi ya Bundesliga

Lipia mapema kifurushi chako DSTv, Azam Tv kushuhudia huu mtanange kwa Simbanking ujizoelee zawadi

Bayer Leverkusen kesho uwanja wa nyumbani kwao wanaweza kutangaza ubingwa wao wa kwanza tangu kuanzishwa ligi ya Bundesliga Lipia mapema kifurushi chako DSTv, Azam Tv kushuhudia huu mtanange kwa Simbanking ujizoelee zawadi #SwahibaLanguLako
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Vijana wengi zaidi wamenufaika na ujenzi wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi;

◉ Mwaka 2022/23: Wanafunzi 380,748

◉ Mwaka 2023/2024: Wanafunzi 415,131

Haya ni matokeo ya kazi iliyofanyika katika ikihusisha ujenzi wa vyuo vipya 29.

Vijana wengi zaidi wamenufaika na ujenzi wa Vyuo vya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi; ◉ Mwaka 2022/23: Wanafunzi 380,748 ◉ Mwaka 2023/2024: Wanafunzi 415,131 Haya ni matokeo ya kazi iliyofanyika katika #MiakaMitatuYaMama ikihusisha ujenzi wa vyuo vipya 29. #MamaYukoKazini
account_circle
winharder_(@winharder_) 's Twitter Profile Photo

Weekend ndo hii usikae kinyonge. Jipatie mkopo chapchap kutoka Soft Finance ukusaidie katika mishe zako. Wasiliana nao leo ujipatie mkopo wako ndani ya dk 45 tu!

Weekend ndo hii usikae kinyonge. Jipatie mkopo chapchap kutoka @softfinancetz ukusaidie katika mishe zako. Wasiliana nao leo ujipatie mkopo wako ndani ya dk 45 tu! #MpangoPesa #SoftFinance
account_circle
Happie💕(@Happie_Thom) 's Twitter Profile Photo

Swahiba mchongo kwa sasa ni 📲

Miamala inalipa, cha kufanya tumia SimBanking yako kufanya miamala ya kila siku ushinde.

Bodaboda,Bajaji,Nissan Dualis kila baada ya miezi 3, smartphones na Laptop 1 kila mwezi maalumu kwa wanafunzi wa chuo.

Swahiba mchongo kwa sasa ni #BenkiNiSimBanking 📲 Miamala inalipa, cha kufanya tumia SimBanking yako kufanya miamala ya kila siku ushinde. Bodaboda,Bajaji,Nissan Dualis kila baada ya miezi 3, smartphones na Laptop 1 kila mwezi maalumu kwa wanafunzi wa chuo. #SwahibaLanguLako
account_circle
Fred Kavishe(@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

Mabingwa wa Kijani ni rahisi kupata Yanga Visa Card kupitia SimBanking ya CRDB Bank PLC app.

Fungua App ya SimBanking
Chagua Kadi
Chagua Omba Kadi
Chagua Yanga Card

Kadi hizi zina Bima Hadi ya 2 m ushindwe wewe

Mabingwa wa Kijani ni rahisi kupata Yanga Visa Card kupitia SimBanking ya @CRDBBankPlc app. Fungua App ya SimBanking Chagua Kadi Chagua Omba Kadi Chagua Yanga Card Kadi hizi zina Bima Hadi ya 2 m ushindwe wewe #BenkiNiSimBanking #SwahibaLanguLako
account_circle
Mr Mushi(@mrmushico) 's Twitter Profile Photo

Tumia mbao ngumu {hardwood} yenye rangi nzuri na samani zake huwa na mwonekano mzuri.


Bei ya Mbao za Mninga
2*8 tsh 90,000 ft 9
2*6 tsh 60,000 ft 9
2*10 tsh 120,000 ft 9

Wasiliana +255689001102

Tumia mbao ngumu {hardwood} yenye rangi nzuri na samani zake huwa na mwonekano mzuri. #mninga Bei ya Mbao za Mninga 2*8 tsh 90,000 ft 9 2*6 tsh 60,000 ft 9 2*10 tsh 120,000 ft 9 Wasiliana +255689001102
account_circle
Mama yuko Kazini(@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

📍 Monduli, Arusha

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu leo ameungana na wanafamilia na Watanzania katika ibada ya kumbukizi ya miaka 40 tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Sokoine.

Amesema Sokoine alikuwa kiongozi mzalendo, mchapakazi, mwajibikaji na mwadilifu na…

📍 Monduli, Arusha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu leo ameungana na wanafamilia na Watanzania katika ibada ya kumbukizi ya miaka 40 tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Sokoine. Amesema Sokoine alikuwa kiongozi mzalendo, mchapakazi, mwajibikaji na mwadilifu na…
account_circle