Direct Diplomat (@cutysuzana) 's Twitter Profile
Direct Diplomat

@cutysuzana

LOVE IS THE CHOICE NOT NECESSARY πŸ’–πŸ’–πŸ˜‰πŸ˜‰

ID: 1808355505087414272

calendar_today03-07-2024 04:22:14

677 Tweet

208 Followers

275 Following

Wiseman 😎 (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Said Mwema, mjumbe wa Tume na Inspekta Mkuu wa Polisi mstaafu alisema ushahidi uliofichua zaidi ya mbinu 16 zilizotumika kuandaa na kuendesha vurugu. Maeneo 202 yaliathirika. Mashahidi walikiri kuwa waliahidiwa pesa ili kushiriki. Ripoti imevunja kabisa dhana ya vurugu

Said Mwema, mjumbe wa Tume na Inspekta Mkuu wa Polisi mstaafu alisema ushahidi uliofichua zaidi ya mbinu 16 zilizotumika kuandaa na kuendesha vurugu. Maeneo 202 yaliathirika. Mashahidi walikiri kuwa waliahidiwa pesa ili kushiriki. Ripoti imevunja kabisa dhana ya vurugu
Wiseman 😎 (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Silaha zilizotumika ni pamoja na mapanga, mikuki, mawe, rung, bunduki na mabomu ya petroli. Walilenga vituo vya polisi na miundombinu ya umma. Ushahidi huu uliotolewa na raia na polisi unaonyesha nia ya kudhoofisha mamlaka ya serikali na kuunda hofu. Ripoti imevunja kila

Silaha zilizotumika ni pamoja na mapanga, mikuki, mawe, rung, bunduki na mabomu ya petroli. Walilenga vituo vya polisi na miundombinu ya umma. Ushahidi huu uliotolewa na raia na polisi unaonyesha nia ya kudhoofisha mamlaka ya serikali na kuunda hofu. Ripoti imevunja kila
Wiseman 😎 (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Ushiriki mkubwa wa wananchi katika uchunguzi huu unaonyesha nia yao ya kutafuta ukweli. Sauti zao zimevunja njama na kutoa taswira kamili ya yaliyotokea. Hii ni ushindi wa demokrasia na uwazi nchini Tanzania. #UchunguziWaHaki #TumeYaUchunguziReport Haki Bila Kubagua

Ushiriki mkubwa wa wananchi katika uchunguzi huu unaonyesha nia yao ya kutafuta ukweli. Sauti zao zimevunja njama na kutoa taswira kamili ya yaliyotokea. Hii ni ushindi wa demokrasia na uwazi nchini Tanzania. #UchunguziWaHaki
#TumeYaUchunguziReport 
Haki Bila Kubagua
Wiseman 😎 (@bizydan) 's Twitter Profile Photo

Vurugu zililenga kudhoofisha imani ya umma katika serikali na vyombo vya usalama. Lakini ripoti hii imevunja mpango huo kwa kutoa ukweli wazi na kutoa mapendekezo ya kuzuia kurudiwa kwa vitendo hivyo. #UchunguziWaHaki #TumeYaUchunguziReport Haki Bila Kubagua

Vurugu zililenga kudhoofisha imani ya umma katika serikali na vyombo vya usalama. Lakini ripoti hii imevunja mpango huo kwa kutoa ukweli wazi na kutoa mapendekezo ya kuzuia kurudiwa kwa vitendo hivyo. #UchunguziWaHaki
#TumeYaUchunguziReport 
Haki Bila Kubagua
Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile Photo

Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Furaha, ni kuwa na marafiki Furaha, ni kulewa na marafiki Kwa sherehe tumefika Sherehe tumefika Kwa sherehe tumefika Sherehe tumefika Familia iko ndani, ndani Wote tunajibamba Marafiki majirani, rani Wote tunajibamba I am

Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Furaha, ni kuwa na marafiki
Furaha, ni kulewa na marafiki
Kwa sherehe tumefika
Sherehe tumefika
Kwa sherehe tumefika
Sherehe tumefika
Familia iko ndani, ndani
Wote tunajibamba
Marafiki majirani, rani
Wote tunajibamba
I am
βœΊπ‘΄π’‚π’“π’Šπ’‚π’Žβ… (@mariam255_) 's Twitter Profile Photo

Jamani Kwa Sasa Mambo Yanakuwa Wazi Yenyewe Kwahiyo Polisi Siku Hizi wanalisha raia sumu? Nuruvazi jambazi anatapeli wajinga huko Kwa Michango. Wanaharakati njaa mara zote ni Michango tu kupitia stori zao za Uongo 😁😁

βœΊπ‘΄π’‚π’“π’Šπ’‚π’Žβ… (@mariam255_) 's Twitter Profile Photo

Heeee!! Ila Hawa wanaoitwa wakombozi ni balaa saivi wanakomboa Michango tu wananchi 😁😁 Na walivyoaminishwa kuwa watawala wajinga na wajinga wenzao saivi wanaibiwa tu Hakuna mwana njaa harakati Wa kukuletea ukombozi wewe oooh

βœΊπ‘΄π’‚π’“π’Šπ’‚π’Žβ… (@mariam255_) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA WAELIMISHWE:MAY MOSI SIO SIKU YA KUONGEZANA MISHAHARA TU. George Michael Uledi. May 2,2026.10:30 AM Jana May Mosi kurasa rasmi za Chama na zile za makada wa Chadema zilibeba "dhihaka,kashfa na uzandiki" dhidi ya Serikali na hoja kubwa ilikuwa kwanini mafuta yamepanda

CHADEMA WAELIMISHWE:MAY MOSI SIO SIKU YA KUONGEZANA MISHAHARA TU.

George Michael Uledi.
May 2,2026.10:30 AM

Jana May Mosi kurasa rasmi za Chama na zile za makada wa Chadema zilibeba "dhihaka,kashfa na uzandiki" dhidi ya Serikali na hoja kubwa ilikuwa kwanini mafuta yamepanda
MK47TA (@mk47ta) 's Twitter Profile Photo

CAUTION TO TANZANIANS, LET US UNITE TO STOP MISINFORMATION The trend of spreading misinformation and reckless reporting based on unverified information has reached an alarming level. This wave is being driven by individuals who label themselves as activists, but whose primary

CAUTION TO TANZANIANS, LET US UNITE TO STOP MISINFORMATION

The trend of spreading misinformation and reckless reporting based on unverified information has reached an alarming level.

This wave is being driven by individuals who label themselves as activists, but whose primary
Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Ukosefu wa uelewa miongoni mwa baadhi ya vijana vinawasukuma kujiingiza kwenye harakati zisizo na mwelekeo, huku wakitumika kirahisi na kuendeshwa na Maria Sarungi kulingana na anavyotaka.

Kilwafinest 🦈 (@kilwafinest) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Tsehai na kikundi chako chote cha wapigaji na hao vijana wako uliowakusanya huko Kenya bila uhakika wa kuwalisha WAPUUZI WAKUBWA NYIE ACHENI KUTUTAPELI NA KUTUFANYA WATANZANIA WAJINGA TUMEWASHTUKIA!

βœΊπ‘΄π’‚π’“π’Šπ’‚π’Žβ… (@mariam255_) 's Twitter Profile Photo

Tuamke Watanzania Wanaharakati Njaa Si Wakombozi Wala Watetezi Bali Wanachumia matumbo na wachoma Taifa Kwa kulamba matako ya wazungu. Ndiyo Maana Maria Analipa vijana kutukana Taifa Letu

JERRY (@amou_jerry) 's Twitter Profile Photo

Tusijifanye hatuoni ukweli kuna wanaogeuza uanaharakati kuwa biashara ya kuchafua taswira ya nchi badala ya kujenga. Nchi ni yetu sote, si uwanja wa drama na propaganda. Gen Z, muda wa kufikiri kwa kina ni sasa chujeni taarifa, simamieni ukweli, na