Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile
Nyani Ngabu

@nngabu_

Mwenyekiti wa Inject Tanzania πŸ’‰πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Team Tanzania KwanzaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

ID: 2004240345752817664

calendar_today25-12-2025 17:18:49

1,1K Tweet

435 Followers

144 Following

Godfather fan (@godfxer_fan) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki (EACOP) wafikia asilimia 81 ya utekelezaji πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯. Chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaendelea kupiga hatua kubwa katika sekta ya nishati, kukuza uchumi na kufungua maelfu ya ajira.

Mradi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki (EACOP) wafikia asilimia 81 ya utekelezaji πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯. 

Chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaendelea kupiga hatua kubwa katika sekta ya nishati, kukuza uchumi na kufungua maelfu ya ajira.
Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile Photo

Sativa ni Mkristo ila anakuambia haitambui BAKWATA 🀣🀣🀣🀣. Siku hizi Maria & Co wanatafuta kila ajenda hawapati. Yani siku ya Eid imekua ajenda? Haki ya MunguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sativa ni Mkristo ila anakuambia haitambui BAKWATA 🀣🀣🀣🀣.

Siku hizi Maria & Co wanatafuta kila ajenda hawapati. Yani siku ya Eid imekua ajenda? Haki ya MunguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile Photo

Ila Twaha Mwaipaya nina uhakika haya maisha unayoishi sasa hivi hata wewe unajionea huruma ila ni vile tu ushajichimbia shimo hauna pakutoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile Photo

Ngoja report ya Tume itoke. Huyu Lissu kutoka gerezani Labda kwa huruma ya msamaha wa Rais tu mara baada ya atakapo hukumiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu kila kitu kinawaendea kushoto. Si mlifungua page mpya nyie na kuwaambia watu waifollow kwa wingi? Haya ngoja tuone hizo hatua mtakazo chukuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mwaka huu kila kitu kinawaendea kushoto. Si mlifungua page mpya nyie na kuwaambia watu waifollow kwa wingi? 

Haya ngoja tuone hizo hatua mtakazo chukuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile Photo

Tuna subiria anniversary ya yeye kukaa Ukonga mwaka mzima kwa hamu sanaπŸ˜‚. Siku hiyo lazima tupeleke matarumbeta na Kibao kata maeneo ya Ukonga πŸ•ΊπŸΎπŸ•ΊπŸΎπŸ•ΊπŸΎ

Nyani Ngabu (@nngabu_) 's Twitter Profile Photo

Afya mbovu sio kisingizio cha kufanya uhalifu. Kama anajua afya yake mgogoro asiwe anaji mwambafy. Atii sheria bila shurti.