kada mtiifu (@ccm_w_geita) 's Twitter Profile
kada mtiifu

@ccm_w_geita

Ukurasa maalum wa kada mtiifu wa Ccm

ID: 946025974503804928

calendar_today27-12-2017 14:32:23

544 Tweet

2,2K Followers

981 Following

kada mtiifu (@ccm_w_geita) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa 27/11/2024 ni muhimu sote kutambua kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya Chama Cha Mapinduzi na Serikali za mitaa. Kama ambavyo imeainishwa na Tamko la uchaguzi la CCM. Twendeni tukakipe chama heshima kwa ushindi wa kishindo. Mwinyikheri Ramadhani Baraza CHOLLO MASTER

Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa 27/11/2024 ni muhimu sote kutambua kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya <a href="/ccm_tanzania/">Chama Cha Mapinduzi</a> na Serikali za mitaa. Kama ambavyo imeainishwa na Tamko la uchaguzi la CCM.
Twendeni tukakipe chama heshima kwa ushindi wa kishindo.
<a href="/rmbaraza/">Mwinyikheri Ramadhani Baraza</a> 
<a href="/Chollomaster_/">CHOLLO MASTER</a>
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa CCM na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anawatakia heri watanzania wote Katika kusheherekea Mwaka Mpya 2025

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM leo tarehe 18 Januari 2025, jijini Dodoma, ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano huo uliopangwa kufanyika kwa siku mbili, tarehe 18 na

ππˆπ“π€π€ππ™π€ 𝐍𝐀 πŠπ€π™πˆ π˜π€ πŠπ”π„ππƒπ„π‹π„π™π€ 𝐅𝐀𝐋𝐒𝐀𝐅𝐀 π˜π€ πƒπŠπ“. π’π€πŒπˆπ€ π˜π€ 4𝐑, π‚π‚πŒ 𝐍𝐈 π‚π‡π€πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 π€πŒπ€ππˆ - πŒπ€πŠπ€πŒπ” πŒπ–π„ππ˜π„πŠπˆπ“πˆ 𝐍𝐃𝐆. π–π€π’πˆπ‘π€ π‘¨π’”π’†π’Žπ’‚ π‘ͺπ‘ͺ𝑴 𝒉𝒂𝒕𝒖𝒏𝒂 𝒔𝒂𝒃𝒂𝒃𝒖 π’šπ’‚ π’Œπ’–π’”π’‰π’Šπ’π’…π’˜π’‚

ππˆπ“π€π€ππ™π€ 𝐍𝐀 πŠπ€π™πˆ π˜π€ πŠπ”π„ππƒπ„π‹π„π™π€ 𝐅𝐀𝐋𝐒𝐀𝐅𝐀 π˜π€ πƒπŠπ“. π’π€πŒπˆπ€ π˜π€ 4𝐑, π‚π‚πŒ 𝐍𝐈 π‚π‡π€πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 π€πŒπ€ππˆ - πŒπ€πŠπ€πŒπ” πŒπ–π„ππ˜π„πŠπˆπ“πˆ 𝐍𝐃𝐆. π–π€π’πˆπ‘π€

π‘¨π’”π’†π’Žπ’‚ π‘ͺπ‘ͺ𝑴 𝒉𝒂𝒕𝒖𝒏𝒂 𝒔𝒂𝒃𝒂𝒃𝒖 π’šπ’‚ π’Œπ’–π’”π’‰π’Šπ’π’…π’˜π’‚
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

πŸ“ŒπŸ“Œ MITANO TENA KWA DKT @samia_suluhu_hassan #TunazimaZoteTumewashaKijani #SSH2025 #vitendovinasautiπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Stephen Wasira, akizungumza wakati akiwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi mara baada ya Kuchaguliwa katika nafasi hiyo. #kaziiendelee

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Stephen Wasira, akizungumza wakati akiwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi mara baada ya Kuchaguliwa katika nafasi hiyo.

#kaziiendelee
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo tarehe 27 Januari 2025, amepokea risala ya waliowahi kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), iliyosomwa na Mhandisi Burton Kyaka, wakiunga mkono maazimio ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM,

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, akizungumza na viongozi Wananchi Β Β katika Kata ya Kakubilo, Wilaya ya Geita mkoani GeitaΒ  leo Januari 29, 2025 Β Katika Uzinduzi wa kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa CCM Mkoani GEITA.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

I am deeply saddened to learn of the passing of the Founding President and Founding Father of the Nation of the Republic of Namibia, His Excellency Dr. Sam Nujoma. A freedom fighter, a Pan-Africanist and a dear friend of Tanzania where he once lived during the struggle for

I am deeply saddened to learn of the passing of the Founding President and Founding Father of the Nation of the Republic of Namibia, His Excellency Dr. Sam Nujoma. 

A freedom fighter, a Pan-Africanist and a dear friend of Tanzania where he once lived during the struggle for
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI.Β  Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi Β ndogo ya Β makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.

WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI.Β 

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini,  Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi Β ndogo ya Β makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa CCM (SUKI) Ndg. Rabia Abdalla Hamid asaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Namibia mpigania uhuru maarufu na muasisi wa chama cha SWAPO, Dkt. Sam Nujoma. Ndg. Rabia amesaini Kitabu hicho katika Ofisi

Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa kimataifa CCM (SUKI) Ndg. Rabia Abdalla Hamid asaini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Namibia mpigania uhuru maarufu na muasisi wa chama cha SWAPO, Dkt. Sam Nujoma.

Ndg. Rabia amesaini Kitabu hicho katika Ofisi
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani. Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka

WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.

Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae mwaka
Jokate Mwegelo (@jokatem) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimamia maendeleo kwa vitendo, Uwekezaji wa TZS 429.1 Bilioni katika Bandari ya Tanga umeleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa Kitanzania. πŸ“ˆ Shehena iliyohudumiwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kusimamia maendeleo kwa vitendo, Uwekezaji wa TZS 429.1 Bilioni katika Bandari ya Tanga umeleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kuongeza ajira kwa vijana wa Kitanzania.

πŸ“ˆ Shehena iliyohudumiwa
Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

"Hakuna Mamlaka yoyote Tanzania yenye uwezo wa kuzuia Uchaguzi, hivyo lazima ufanyike kwa mujibu wa Katiba. Hata hivyo si lazima kwa chama chochote cha siasa kushiriki Uchaguzi iwapo kitaamua kutoshiriki." - Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi

Haki Ngowi (@hakingowi) 's Twitter Profile Photo

πŸ“IKULU,Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha 15 chaKamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano

πŸ“IKULU,Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameongoza Kikao cha 15 chaKamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya kushughulikia Masuala ya Muungano
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

Taarifa Kwa Umma Kuhusu mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea katika nafazi Mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025. #Kazinaututunasongambele

Taarifa Kwa Umma Kuhusu mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea katika nafazi Mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025.

#Kazinaututunasongambele
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA MLIO JIANDIKISHA MUDA UKIFIKA CHAGUENI CCM KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Amos Makalla ,amesema kwa kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu, wanachama wa chama hicho waliojiandikisha

CHADEMA MLIO JIANDIKISHA MUDA UKIFIKA CHAGUENI CCM

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Amos Makalla ,amesema kwa kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakitoshiriki Uchaguzi Mkuu mwaka huu, wanachama wa chama hicho waliojiandikisha
MSLegalAidCampaign (@mslacampaign) 's Twitter Profile Photo

HAKI KWA WOTE: RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AONGOZA MAPINDUZI YA KISHERIA UNGUJA KUPITIA MSLAC βš–οΈ 1. MUHIMU WA TUKIO HILI KATIKA MUKTADHA WA KATIBA YA ZANZIBAR, 1984 Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ni mwongozo mkuu wa utawala na haki katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.