CHOLLO MASTER (@chollomaster_) 's Twitter Profile
CHOLLO MASTER

@chollomaster_

Mzalendo
โšฝYanga

๐Ÿ“Baba Najdah

ID: 1478055957678759937

calendar_today03-01-2022 17:30:00

7,7K Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

HABARI MPYA TZ (@habarimpyatz) 's Twitter Profile Photo

MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani

MAADHIMISHO YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YAFANA SWEDEN

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden ukishirikiana na jumuiya za Watanzania waishio nchini humo, umeandaa na kufanikisha sherehe za maadhimisho makubwa ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani
CHOLLO MASTER (@chollomaster_) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Balozi Mobhare Matinyi, akihutubia kwenye maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani, jijini Stockholm, tarehe 5 Julai, 2025.

Mgeni rasmi, Waziri wa zamani wa Masuala ya Usawa wa Jinsia wa Sweden, Mhe. Nyamko Sabuni, akihutubia kwa lugha ya Kiswahili katika maadhimisho hayo.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Mji wa Serikali wa Magufuli City uliopo Mtumba Dodoma. Hapa kuna mejengo ya Wizara zote na baadhi ya taasisi za Serikali. Pia kuna eneo lilotengwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Balozi na Mashirika ya kimataifa ya umoja wa mataifa.

Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

๐—–๐—–๐—  ๐—ž๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐——๐—จ๐—” ๐—›๐—”๐—ฅ๐—”๐— ๐—•๐—˜๐—˜ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—”๐—ก๐—š๐—œ๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—œ

Young Africans SC (@youngafricanssc) 's Twitter Profile Photo

"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa nguvu ya kiuchumi. Yanga imekuwa na misuli ya kumsajili mchezaji kutoka klabu yoyote. Hii imefanya Yanga iwe na uwezo wa kumuuza mchezaji yoyote kwa sababu ina uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote. Leo tumesaini mkataba mpya wa miaka mitatu

"Kabla ujio wa Sportpesa Yanga ilikwama licha ya ukubwa na ukongwe wake. Yanga ilishindwa kupata wachezaji wazuri, Yanga ilishindwa hata kusafiri bila changamoto. Lakini leo hii Yanga inagombea wachezaji wazuri na klabu kubwa Afrika. Mafanikio makubwa sana kutokana na udhamini

"Kabla ujio wa Sportpesa Yanga ilikwama licha ya ukubwa na ukongwe wake. Yanga ilishindwa kupata wachezaji wazuri, Yanga ilishindwa hata kusafiri bila changamoto. Lakini leo hii Yanga inagombea wachezaji wazuri na klabu kubwa Afrika. Mafanikio makubwa sana kutokana na udhamini
CHOLLO MASTER (@chollomaster_) 's Twitter Profile Photo

DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA ACHUKUA FOMU JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Iramba Magharibi Bi. Magreth Christian Segu, amekabidhi fomu za uteuzi mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi kupitia CCM, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA  ACHUKUA FOMU JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Iramba Magharibi Bi. Magreth Christian Segu, amekabidhi fomu za uteuzi  mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi kupitia CCM, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba