NgoshaTz(@cassim_ngasa) 's Twitter Profileg
NgoshaTz

@cassim_ngasa

Masika bila mbu sio gharika bila nuh

ID:1420445024714698756

calendar_today28-07-2021 18:05:10

4,5K Tweets

392 Followers

897 Following

Tanzania Abroad TV(@AbroadTanzania) 's Twitter Profile Photo

Mnaonitumia picha za uchi za Batuli kwenye email acheni hizo! Narudia pamoja na ung’ombe wake Ila sitasambaza hizo video namkaba kwa hoja !
Mwingine amefika hatua akalisema kovu lake chini ya kitovu ! Mi ntashughulika na akili yake wala si uchi wa mwili wake !

Kwanza namuona ni

Mnaonitumia picha za uchi za Batuli kwenye email acheni hizo! Narudia pamoja na ung’ombe wake Ila sitasambaza hizo video namkaba kwa hoja ! Mwingine amefika hatua akalisema kovu lake chini ya kitovu ! Mi ntashughulika na akili yake wala si uchi wa mwili wake ! Kwanza namuona ni
account_circle
Paul Bonaventure(@Phbhimself) 's Twitter Profile Photo

HISTORIA HALISI YA MANENO 'SHIKAMOO' NA 'MARAHABA' :

kuna idadi kubwa ya watu wanatumia neno shikamoo kama sehemu ya kuonyesha heshima au salamu kwa mtu aliyekuzidi umri.

Ila ni muhimu sana tukaelewa maana na historia ya na maneno 'Shikamioo' na 'Marahaba'.
.
.

HISTORIA HALISI YA MANENO 'SHIKAMOO' NA 'MARAHABA' : kuna idadi kubwa ya watu wanatumia neno shikamoo kama sehemu ya kuonyesha heshima au salamu kwa mtu aliyekuzidi umri. Ila ni muhimu sana tukaelewa maana na historia ya na maneno 'Shikamioo' na 'Marahaba'. . .
account_circle
KIRIKUU✏️(@Kirikuu20) 's Twitter Profile Photo

Hii ni miongoni mwa video imenisikitisha sana leo,hata kama ni nyani -hii jamii ni inatisha.
Wanangu wa SUA mkuje kutuambia hii jamii inapatikana wapi.😒🙌

Video ipo chini,lakini kama una moyo mdogo usiangalie.

Hii ni miongoni mwa video imenisikitisha sana leo,hata kama ni nyani -hii jamii ni inatisha. Wanangu wa SUA mkuje kutuambia hii jamii inapatikana wapi.😒🙌 Video ipo chini,lakini kama una moyo mdogo usiangalie.
account_circle
Paschal Mdee (Amir)(@MdeePaschal) 's Twitter Profile Photo

Muslims mbeleni we will have a problem.
Sasa sijajuwa shida ni nini, sababu kuna baadhi ya vitu vinatokea unahisi ni Elimu ama Kupuuza. Yes Usilamu unakuwa kwa kasi but! Are we on the right way?
Mfano, Kama sijakosea ama nimesahau kwa mara ya kwanza Juzi kwenye 👇🏼

Muslims mbeleni we will have a problem. Sasa sijajuwa shida ni nini, sababu kuna baadhi ya vitu vinatokea unahisi ni Elimu ama Kupuuza. Yes Usilamu unakuwa kwa kasi but! Are we on the right way? Mfano, Kama sijakosea ama nimesahau kwa mara ya kwanza Juzi kwenye 👇🏼
account_circle