NYANI MZEE🦍🦍 (@carnivorous_07) 's Twitter Profile
NYANI MZEE🦍🦍

@carnivorous_07

Scientist🔬
MUHAS,

@JKCI

ID: 929400648327626753

calendar_today11-11-2017 17:29:16

1,1K Tweet

97 Followers

578 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA. SOMA BARUA HIYO. REPOST 400✅️✅️✅️✅️ #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO🫵😎

KANISA KATOLIKI LA ROMA LIMETOA MAAGIZO KWA WAUMINI WAKE WOTE KUTOJIHUSISHA NA SIASA.

SOMA BARUA HIYO.

REPOST 400✅️✅️✅️✅️

#NoReformsNoElection 

#TUTAKUWEPO🫵😎
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

This “magnificent and stunning photo” trend is the courageous content you will see today.✊️ #FreeTunduLissu #TunduLissuSioMhaini

This “magnificent and stunning photo” trend is the courageous content you will see today.✊️ #FreeTunduLissu #TunduLissuSioMhaini
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

This is what we want #NoReformsNoElection #NRNE #FreeTunduLissu Leteni artwork niweke tusambaze Hadi wakae 😀✊🏽 Na #TutaelewanaTu mbona?

This is what we want 
#NoReformsNoElection 
#NRNE 
#FreeTunduLissu 

Leteni artwork niweke tusambaze 
Hadi wakae 😀✊🏽
Na #TutaelewanaTu mbona?
Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost Repost Repost

Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost Repost Repost
Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

' Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost...Repost.... Repost 🫂

'
Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost...Repost.... Repost 🫂
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

"Nadhani hili suala la tume huru ya Uchaguzi halihitaji hata elimu kuelewa, tukubali ama tukatae ni mfumo unaohitaji mabadiliko makubwa" No Reform No Election.

"Nadhani hili suala la tume huru ya Uchaguzi halihitaji hata elimu kuelewa, tukubali ama tukatae ni mfumo unaohitaji mabadiliko makubwa"

No Reform No Election.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Ndugu @gersonmsigwa Comment ça va? Nafikiri umeelewa vizuri sasa kwanini jana nilikueleza kwamba Watanzania hawa wa sasa siyo wapuuzi kama unavyodhani. Watanzania siyo ng'ombe wa mnadani. Jana ulipoulizwa na wanahabari ulisema “NO REFORMS, NO ELECTION ya mitandaoni upuuzi

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Utofauti wenu na Sisi nyie mnalipwa yani mnafanya kwa ajili ya matumbo yenu lakini Sisi tunafanya kwa ajili ya uzalendo na kutaka mabadiliko ambayo ni manufaa kwa Watanzania wote na vizazi vijavyo acheni kusema tuheshimu itikadi zenu nyie ni Wasaliti. Si kwa ubaya 👊