Lutanula12 (@lutanula121) 's Twitter Profile
Lutanula12

@lutanula121

FREEDOM OF SPEECH &NEW CONSTITUTION FOR THE FUTURE GENERATIONS 💪

ID: 1585720337802661889

calendar_today27-10-2022 19:49:49

11,11K Tweet

355 Takipçi

185 Takip Edilen

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Mngekuwa na akili mngejiuliza haya: 1. Kabla hamjamkamata Lissu nani alikuwa anawakosoa na sasa nani anafanya hivyo? 2. Kabla hamjamfunga Lissu kulikuwa na umma wa aina gani na sasa kuna umma wa aina gani? 3. Kabla ya kumfunga Lissu umma ulikuwa unaongeaje na sasa upoje?

Mngekuwa na akili mngejiuliza haya: 

1. Kabla hamjamkamata Lissu nani alikuwa anawakosoa na sasa nani anafanya hivyo?

2. Kabla hamjamfunga Lissu kulikuwa na umma wa aina gani na sasa kuna umma wa aina gani?

3. Kabla ya kumfunga Lissu umma ulikuwa unaongeaje na sasa upoje?
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndio aina ya message nazopokea kutoka kwa vijana wa Tanzania kwa sasa. Wanaulizia ni jinsi gani wanaweza kupata ufadhili wa silaha na mafunzo ya kijeshi? wanaulizia ni jinsi gani wataweza kuji organize kuunda vikundi vya uasi, wanauulizia ni jinsi gani wanaweza kujiunga na

Hizi ndio aina ya message nazopokea kutoka kwa vijana wa Tanzania kwa sasa. 

Wanaulizia ni jinsi gani wanaweza kupata ufadhili wa silaha na mafunzo ya kijeshi? wanaulizia ni jinsi gani wataweza kuji organize kuunda vikundi vya uasi, wanauulizia ni jinsi gani wanaweza kujiunga na
Haki 🇹🇿Taifa ♻🐦 (@mfuasi2014) 's Twitter Profile Photo

Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 Ni hivi kama wana bisha wapitishe poll waone kama sio sisi vijana. Tunaotaka hilo 📌 shida ya hawa wapumbavu ni kupuuza mambo muhimu na kudhani ni auana harakati tu.. Ni hivi tuko tayari kabisa sisi kama vijana kwa gharama yyte ile kuitoa CCM na Samia madarakani

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Ni genius, mwanaharakati nguli, mwanasiasa machachari, mwanasheria wa viwango vya kimataifa, kiongozi imara na shupavu. Tundu A. Lissu ni best human in history kwa Tanzania; itachukua miaka elfu 10 kutokea mtu kama huyu. Ukweli mchungu!

Ni genius, mwanaharakati nguli, mwanasiasa machachari, mwanasheria wa viwango vya kimataifa, kiongozi imara na shupavu.

Tundu A. Lissu ni best human in history kwa Tanzania; itachukua miaka elfu 10 kutokea mtu kama huyu.

Ukweli mchungu!
Prof Et Al (@papaa_prof) 's Twitter Profile Photo

Think Different Hao jamaa Hawajui kusoma patterns za nyakati, wanachukua tenda za kumnasua mama yao wakati mbaya sana wangekuwa na akili wangetafuta ilipo gereji inayosuka Tanzania mpya ijayo wapate angalau hata kazi ya kutumwa dukani

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

No no, nyoosheni maelezo vizuri. Watu hawakupoteza maisha, waliporwa uhai wao na huyu mshenzi Samia anayewaza madaraka tu. Sentensi ya Samia inapaswa kusomeka kwa active voice (subject visible voice) namna hii — TUWAOMBEE WOTE NILIOWAUA KWA EGO NA KIBURI CHANGU CHA MADARAKA.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

KAMA MITUME WA KWANZA WANGEKUWA KAMA MWAMPOSA NANI ANGETAMANI KUWA MKRISTU?. Mwl. John Pambalu Nimemsikiliza Mtume Mwamposa akisema, " Na upande wa pili ambao wanadai LABDA wana haki zao wanadai........". Haya ni maneno ya mtumishi wa Mungu ambaye kwa hakika mpaka sasa hajui

KAMA MITUME WA KWANZA WANGEKUWA KAMA MWAMPOSA NANI ANGETAMANI KUWA MKRISTU?.

Mwl. John Pambalu 

Nimemsikiliza Mtume Mwamposa akisema, " Na upande wa pili ambao wanadai LABDA wana haki zao wanadai........". Haya ni maneno ya mtumishi wa Mungu ambaye kwa hakika mpaka sasa hajui
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kipindi hicho Job Ndugai alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Humphrey Polepole alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Abraham Kinana alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Magufuli mwenyewe alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mradi wa TRILIONI 14 ukiwa na mwaka na miezi kadhaa. Huu mradi ulitakiwa kufanywa na WACHINA na wote tunajua WACHINA ndio wazee wa hizi kazi-wakina MADELU baada ya kupiga pesa wakaenda kutafuta Kampuni ya KITURUKI. Waturuki hizi sio kazi zao na kuwapa mradi wa PESA nyingi hivi

Mradi wa TRILIONI 14 ukiwa na mwaka na miezi kadhaa.

Huu mradi ulitakiwa kufanywa na WACHINA na wote tunajua WACHINA ndio wazee wa hizi kazi-wakina MADELU baada ya kupiga pesa wakaenda kutafuta Kampuni ya KITURUKI.

Waturuki hizi sio kazi zao na kuwapa mradi wa PESA nyingi hivi
sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Katika awamu yake ya kwanza hakuwa na mradi wowote wa kimkakati. Chini yake hakuna sera yoyote iliyotekelezwa Chini yake kumetekelezwa mauaji ya kimbari na kutekwa kwa maelfu ya watu waliojaribu kuhoji utawala wake Tanzania imeandika historia ya kuwa na kiongozi wa ajabu sana!

Katika awamu yake ya kwanza hakuwa na mradi wowote wa kimkakati.

Chini yake hakuna sera yoyote iliyotekelezwa

Chini yake kumetekelezwa mauaji ya kimbari na kutekwa kwa maelfu ya watu waliojaribu kuhoji utawala wake

Tanzania imeandika historia ya kuwa na kiongozi wa ajabu sana!
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

MADELU anavyoongea na watanzania anajua ndio wale wa ZAMA ZA MAWE. Sikiliza MADELU akipokea ushauri kutoka kwa BINTI MPENDA HAKI. REPOST TUTAKUWEPO🫵😎

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Rais ambae unajifanya umechaguliwa na unapendwa na wananchi unatekwa na Taifa jingine.. Alafu hao wananchi uliokua unadai wanakupenda wanatoka kwa mamilioni kushangilia wewe kutekwa… Ulinzi wa uhakika wa kiongozi ni ridhaa ya wananchi na kukubalika kwa umma wala sio bunduki.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Jakaya anaongoza nchi kinyume na Katiba Amejificha kwenye kichaka cha kuzindua majengo na ziara hizi JWTZ bado kuna wana jeshi huko? Kwamba Kikwete yuko juu ya Katiba? Huu upuuzi unafanyika mchana kweupe na mtawala wa nchi anaonekana wakati aliyejipachika madaraka akiwa

Jakaya anaongoza nchi kinyume na Katiba

Amejificha kwenye kichaka cha kuzindua majengo na ziara 

hizi JWTZ bado kuna wana jeshi huko? Kwamba Kikwete yuko juu ya Katiba? 

Huu upuuzi unafanyika mchana kweupe na mtawala wa nchi anaonekana wakati aliyejipachika madaraka akiwa
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Chalamila hii umepiga bei gani kwa Samia? Mbona vijana wanashawatambua hapo madada poa kibao mpaka connection zao wako nazo wanashare wanatumia mtandao hahahahaha ila maCCM ni majinga sana, mngejaribu kutafuta watu ambao ni wakatoriki na maCCM, ina maana kwenye jiji lote la Dar

Chalamila hii umepiga bei gani kwa Samia?

Mbona vijana wanashawatambua hapo madada poa kibao mpaka connection zao wako nazo wanashare wanatumia mtandao

hahahahaha ila maCCM ni majinga sana, mngejaribu kutafuta watu ambao ni wakatoriki na maCCM, ina maana kwenye jiji lote la Dar
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Jamani tunaomba JWTZ lindeni mipaka mtu asije akatoroka maana tumeambiwa keshapewa kabarua kakujibu Hii ndo hatma yake inamsubiri apate haki yake ingawa hakutoa nafasi yoyote kwa maelfu ya watanganyika kuiitetea ila aliamuru wachinjwe (Picha ni AI msilete kelele zenu machawa

Jamani tunaomba JWTZ lindeni  mipaka mtu asije akatoroka maana tumeambiwa keshapewa kabarua kakujibu
Hii ndo hatma yake inamsubiri apate haki yake ingawa hakutoa nafasi yoyote kwa maelfu ya watanganyika kuiitetea ila aliamuru wachinjwe 
(Picha ni AI msilete kelele zenu machawa
Lutanula12 (@lutanula121) 's Twitter Profile Photo

Hivi watanganyika tutaendelea kuminywa na kuteswa pamoja na kiongiz WETU!Rais WETU LISSU kukaa kizuizini mda wote huu?mateso gani haya Lakin?Nawaomben kwa umoja WETU na jumuia za kimataifa watusaidie LISSU awe Huru!😭😭😤

Hivi watanganyika tutaendelea kuminywa na kuteswa pamoja na kiongiz WETU!Rais WETU LISSU kukaa kizuizini mda wote huu?mateso gani haya Lakin?Nawaomben kwa umoja WETU na jumuia za kimataifa watusaidie LISSU awe Huru!😭😭😤
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Naumia mno jinsi naona dunia inalia na Iran vile serikali yao inawaua waandamanaji kwa maelfu ila sisi tulipouliwa kwa maelfu hakukuwa na outcry kama hii. Especially leo asubuhi wanalalamika kuwa watu 12,000 wameuawa Iran ndani ya masaa 48, si ndio hiki hiki kilichotokea

(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Taifa hili hili ambalo shule hazina hata matundu ya vyoo ndio linalotumia bilioni 129.7 kujenga makao makuu ya mahakama. Inafanana kabisa na ule wimbo wa Lucky Dube unaosema “hawataki kujenga shule, wanachojenga wao ni magereza tu.”

Taifa hili hili ambalo shule hazina hata matundu ya vyoo ndio linalotumia bilioni 129.7 kujenga makao makuu ya mahakama. 

Inafanana kabisa na ule wimbo wa Lucky Dube unaosema “hawataki kujenga shule, wanachojenga wao ni magereza tu.”