BossBonge (@bossbonge) 's Twitter Profile
BossBonge

@bossbonge

let it end. let it hurt. let it heal. let it go.

ID: 1820773143801475073

calendar_today06-08-2024 10:45:33

776 Tweet

563 Followers

465 Following

BossBonge (@bossbonge) 's Twitter Profile Photo

With all Due respect,I kindly ask Samia Suluhu to look at this as a Mother!. tafadhali Muachieni huyu kijana atimize ndoto zake za kulitumikia taifa hili.hii ni Hazina tunayotaka kuipoteza. Police Force TZ Naomba mshuguliki na hili jambo la kutekwa Kwa huyu kijana haraka tafadhali!!

With all Due respect,I kindly ask <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> to look at this as a Mother!. tafadhali Muachieni huyu kijana atimize ndoto zake za kulitumikia taifa hili.hii ni Hazina tunayotaka kuipoteza. <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> Naomba mshuguliki na hili jambo la kutekwa Kwa huyu kijana haraka tafadhali!!
Jizzle Mwakaripost (@jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Makampuni ya gas wekeni hata alarm gas ikipungua tujue aise haiwezekani mimi kula uji+tembele+maziwa & mishkaji au wekeni kama simu gas ikipungua mtungi useme Gas Low

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Shekh Ponda kaongea point kubwa sana kuhusu ugumu wa kuwatenganisha viongozi wa dini na siasa, nchi yetu ina dini kubwa mbili na hao wananchi ndio wanaunda serikali kupitia siasa so kuwadharau viongozi wao wa dini ni sawa na kuwadharau wananchi wanaowaamini viongozi wao wa dini

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Dunia inamjua MAFWELE kwa hizi picha. Hata ukiangalia hizi picha zilipatikana kwa shida sana. Huyu jamaa hanag picha kabisa. Linajijua kazi yake ni kuua kwahiyo linaishi maisha kama ZOMBIE. Leo BONI yai kalala chini nyuma nondo wewe umelala kwenye sofa bed yenye mineso na

Dunia inamjua MAFWELE kwa hizi picha.

Hata ukiangalia hizi picha zilipatikana kwa shida sana.

Huyu jamaa hanag picha kabisa. 

Linajijua kazi yake ni kuua kwahiyo linaishi maisha kama ZOMBIE.

Leo BONI yai kalala chini nyuma nondo wewe umelala kwenye sofa bed yenye mineso na
Joti (@jotiofficial) 's Twitter Profile Photo

Tulikuwaga na dingi yetu mdogo mmoja mkuu wa polisi wilaya moja hivi kule pande za kaskazini, ilikuwa akiitisha kikao na vijana wake wa kazi siku inayofuata kwa wakulima wa bangi lazima kiwake!!!!

HP wa zamani (@odompopodo) 's Twitter Profile Photo

Mithali 28:15-18, 21, 23 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana; Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake. Aliyelemewa na damu ya mtu Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie. Aendaye kwa unyofu ataokolewa; Bali mkaidi wa njia zake ataanguka mara. soon

Mithali 28:15-18, 21, 23 
 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana; Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
 Aliyelemewa na damu ya mtu Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie.
 Aendaye kwa unyofu ataokolewa; Bali mkaidi wa njia zake ataanguka mara.
 soon
BossBonge (@bossbonge) 's Twitter Profile Photo

Polisi mkafanye kazi yenu ya kulinda raia na mali zao nasi vinginevyo. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Wizara ya Afya, mkaweke vituo vya huduma za dharura na gari za wagonjwa kwa ajili ya waandamanaji. Hatuhitaji kuwa na hofu kama tunawajibika. Muwe na J'pili njema Watanzania wenzangu.