Mkisi Nyasa (@bk152113) 's Twitter Profile
Mkisi Nyasa

@bk152113

ID: 1752785711185416192

calendar_today31-01-2024 20:08:45

3,3K Tweet

772 Takipçi

1,1K Takip Edilen

ASTRA (@tzastra2014) 's Twitter Profile Photo

Naomba kabisa kabisa kabisa kwa moyo mweupe nipate mesej 100 zenye mesej ya Miamala kwa TONE TONE HATA KAMA NI SH 100 Tuanze challenge naanza na Wewe Naomba mesej 100 zilizo thibitisha muda huu tufanye malipo 👇🏾

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni Kijana hii inakuhusu kabisa ni mchongo wa aina yake usije kusema hatukukwambia✍️ Website serisfoundation.org

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Tabia moja kubwa ya mtu mwenye utoshelevu (actualized) ni kuheshimu hisia za wengine. Ule utoshelevu unaokuwa nao ndani yako unakufanya uchukulie maumivu ya mwingine kama maumivu yako, hupendi kuona mtu anaumia bila sababu na kila unapoweza unachukua hatua za kuwaondolea vikwazo

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

JINSI YA KUFANYA KEGELS KWA NGUVU ZA KIUME—WENGI WANAFANYA KOSA! ➡️ Hivi unajua Kegel ni zoezi la misuli ya siri, lakini wengi hulifanya vibaya na kukosa matokeo? Hapa chini nimekuwekea video za hatua kwa hatua jinsi ya kufanya Kegels kwa usahihi ili: 🧵👇

JINSI YA KUFANYA KEGELS KWA NGUVU ZA KIUME—WENGI WANAFANYA KOSA!

➡️ Hivi unajua Kegel ni zoezi la misuli ya siri, lakini wengi hulifanya vibaya na kukosa matokeo?

 Hapa chini nimekuwekea video za hatua kwa hatua jinsi ya kufanya Kegels kwa usahihi ili:

🧵👇
Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

MFAHAMU "Louis Vuitton" MWANZILISHI WA KAMPUNI KUBWA "LV" - Baada ya kupoteza wazazi wake akiwa na umri wa miaka 13 alishindwa kuvumilia mateso ya mana wa kambo. Mnamo 1837 Louis Vuitton Kijana kutoka familia ya kimasikini alitoka kijijini kwao kwa mguu mpaka jiji la Paris akiwa

MFAHAMU "Louis Vuitton" MWANZILISHI WA KAMPUNI KUBWA "LV"
-
Baada ya kupoteza wazazi wake akiwa na umri wa miaka 13 alishindwa kuvumilia mateso ya mana wa kambo.

Mnamo 1837 Louis Vuitton Kijana kutoka familia ya kimasikini alitoka kijijini kwao kwa mguu mpaka jiji la Paris akiwa
Prince Fynn (@prince_fynnz) 's Twitter Profile Photo

Top 11 natural foods that can help increase your sexual desire, improve your stamina and gives you stronger erection to perform as a man!!! Check Thread 👇

Top 11 natural foods that can help increase your sexual desire, improve your stamina and gives you stronger erection to perform as a man!!!

Check Thread 👇
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Akaunti ya YouTube na Instagram za Global TV Online zimefuta habari hii ya Mwandishi wao, Bi. Grace Kihuni kukamatwa na kupigwa akitekeleza majukumu yake katika Mahakama ya Kisutu. Tulihifadhi, tumeweka hapa ili Eric James Shigongo asianze kuwapiga mkwara wafanyakazi wake.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Tutaelewana tu, wanasema hawataki CCM wanataka AJIRA huku wamevaa nguo za CCM. Wanasema watu wanataka MABADILIKO. Safi sana. Repost 500 tafadhari

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Polisi wamemkamata mtoto wa Siku 4 aliyesema ana ujumbe kwa Rais Samia Mtoto huyo amemwambia mama yake, Samia ameacha njia ya uongozi bora CHA Ajabu kukiwa na amani kabisa, polisi walikwenda na kumchukua huyo mtoto, mama yake ajaonekana kuongozana na mtoto huyo Samia

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Police wahusishwa na utekwaji wa Ogunya Marwa mwanafunzi wa mwaka wa Pili Mining engineering Chuo kikuu cha MUST ( Mbeya ). Tarehe 17 April Police X akiwa amevalia nguo za kiraia alifika Dukani kwa kaka ake na Ogunya Marwa akamkuta kaka ake na Ogunya, Police huyo

Prince Fynn (@prince_fynnz) 's Twitter Profile Photo

Dear men, Here are 11 natural foods that can help increase your sexual desire, improve your stamina and gives you stronger erection to perform as a man!!! Check Thread 👇

Dear men,

Here are 11 natural foods that can help increase your sexual desire, improve your stamina and gives you  stronger erection to perform as a man!!!

Check Thread 👇
Jessie J🌺 (@mrs_pappi) 's Twitter Profile Photo

MRADI WA VIWANJA BAGAMOYO MJINI (Kingani) - Km 2.5 kutoka Bagamoyo Stand 1Sqm -15,000 Cash (unalipa miezi mitatu) 1Sqm -18000 kwa Mkopo (miezi 20 bila riba) Hati Bure Kabisa 405,000Tshs-450Sqm 630,000- 700Sqm 450,000-500Sqm 0745124138 Tuko Makumbusho Mwanga Tower Floor ya 12

MRADI WA VIWANJA BAGAMOYO MJINI (Kingani)
- Km 2.5 kutoka Bagamoyo Stand

1Sqm -15,000 Cash (unalipa miezi mitatu)
1Sqm -18000 kwa Mkopo (miezi 20 bila riba)
 Hati Bure Kabisa
405,000Tshs-450Sqm
630,000- 700Sqm
450,000-500Sqm

0745124138
Tuko Makumbusho Mwanga Tower Floor ya 12
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Beautiful inspirational song by the talented firebrand politician Godbless E.J. Lema (yes it’s him singing) My brother una vipaji vingi umepewa na Mungu - tumia kila talanta 🔥 Asante kwa wimbo huu murua na wa kututia hamasa Waiting for the whole song to drop! #Usiogope ✊🏽

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨🚨🚨🚨🚨 #EnforcedDisappearances ‼️WAMEMTEKA MHUBIRI KWA KUTABIRI ANGUKO LA SAMIA🙄‼️ They just abducted a preacher who has predicted the fall of Samia Suluhu that will happen this year 🙄 Absolute MADNESS! Hivi kuna mtu mwenye akili timamu amebaki TISS na Polisi?? Makonda hii

🚨🚨🚨🚨🚨 #EnforcedDisappearances
‼️WAMEMTEKA MHUBIRI KWA KUTABIRI ANGUKO LA SAMIA🙄‼️
They just abducted a preacher who has predicted the fall of <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> that will happen this year 🙄 Absolute MADNESS!

Hivi kuna mtu mwenye akili timamu amebaki TISS na Polisi??
Makonda hii
Prince Fynn (@prince_fynnz) 's Twitter Profile Photo

-For stress, eat banana and watermelon. -For good skin, eat cucumber, apple, coconut and carrot. -For good eyes, eat carrot, apple and vitamin A. -For cough, eat pineapple, garlic and ginger. -For diarrhea, eat coconut and avocado and cabbage. -For good gut, eat cabbage,

-For stress, eat banana and watermelon.

 -For good skin, eat cucumber, apple, coconut and carrot.

-For good eyes, eat carrot, apple and vitamin A.

-For cough, eat pineapple, garlic and ginger.

-For diarrhea, eat coconut and avocado and cabbage.

-For good gut, eat cabbage,
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Kwenda kupiga kura katika mazingira sasa ni kutumia vibaya rasilimali muda na kukubali kwa makusudi kuhalalisha udhalimu. #BilaMabadilikoSipigiKura

Kwenda kupiga kura katika mazingira sasa ni kutumia vibaya rasilimali muda na kukubali kwa makusudi kuhalalisha udhalimu. 

#BilaMabadilikoSipigiKura