Joel Ole Meitaya💧 (@joelymeitaya) 's Twitter Profile
Joel Ole Meitaya💧

@joelymeitaya

Proud Son of Maasai,Activist,Maasai Land Rights Advocate,CEO: @ReclaimMaasaiLandMovement

ID: 1395439527582371845

linkhttp://www.joelly.com calendar_today20-05-2021 18:01:57

11,11K Tweet

5,5K Takipçi

5,5K Takip Edilen

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kwamba na mimi nimo kwenye orodha ya watu wanaopaswa KUTEKWA na KUUAWA. Sawa haina shida, kila mtu ataonja MAUTI. Lakini mimi nitaendelea kuamini kuwa neno la Mungu linasema, "Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA". Zaburi 118:17. Sina HOFU kabisa bali IMANI

Mdude Chadema (@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Rais Samia Suluhu umemuua mzee Ally Kibao kwa kifo cha kikatili sana sasa tunataka kujua Soka na wenzake wako wapi? Tunajua polisi walikutisha kwamba anataka kuleta Generation z ukabariki watekwe sasa wako wapi? Hivi unajua bunduki haziwezi kukulinda Mungu akiamua kukupiga?

Rais <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> umemuua mzee Ally Kibao kwa kifo cha kikatili sana sasa tunataka kujua Soka na wenzake wako wapi? Tunajua polisi walikutisha kwamba anataka kuleta Generation z ukabariki watekwe sasa wako wapi? Hivi unajua bunduki haziwezi kukulinda Mungu akiamua kukupiga?
MwanaHALISI Digital (@mwanahalisitz) 's Twitter Profile Photo

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ametaka vyombo vya usalama vichinguzwe kuhusiana na tuhuma za utekaji, utesaji na mauaji. Alitoa kauli hiyo, wakati akizungumza na wanadishi wa habari, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege

Askofu Emmaus B Mwamakula (@emmausaskofu) 's Twitter Profile Photo

Alhamisi, 7 Desemba 2023; saa 2:22 asubuhi, nilipata ujumbe kwa namba ngeni: "Mwanakondoo Ameshinda! Ninaitwa Dionizi Kipanya. Samahani Baba Askofu, kama hujali naomba Tuzungumze!" Kwa sasa hana uhuru wa kuongea na mtu yeyote, sijui kama yu hai tangu atekwe wiki nyingi zilizopita

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha unakula nyumbani, pikiwa na Mkeo au Mama yako mzazi, usitembee peke yako ikibidi beba silaha. Mkiwa Bar, sokoni, hotelini, barabarani, saluni au kokote, mkiona mwenzenu anachukuliwa tu kama chupa ya chai muwe mnahoji, kataeni na, msindikizeni hadi kituoni kwa uhakika.

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Siku 24 za mateso kwa DEUSDEDITH SOKA na wenzake, Tusichoke kupaza sauti, TUNAKARIBIA KUSHINDA ✊ #FreeDeusdedithSoka #FreeDeusdedithSoka #FreeDeusdedithSoka

Siku 24 za mateso kwa DEUSDEDITH SOKA na wenzake, Tusichoke kupaza sauti, TUNAKARIBIA KUSHINDA ✊
#FreeDeusdedithSoka 
#FreeDeusdedithSoka 
#FreeDeusdedithSoka
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati unatamani Baba wa Jirani awe Baba yako eti? Binadamu ni Mtu mwenye Utu na siyo kila Mtu ana Utu hivyo siyo kila Mtu ni Binadamu.Tunamtaka Soka na wenzake wakiwa hai.Hatupoi...Hatuchoki...Hatunyamazi .

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Nafikiri kazi ngumu zaidi ktk nafasi ya Urais ni kujua mawazo na nia ya watu walio kuzunguka. Unaweza kuwa mwema sana lakini ukikosea your circle basi unaweza kubeba lawama na hasara kubwa sana. “ The next best thing to being wise oneself is to live in a circle of those who

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Arusha. Kesho Alhamisi tukutane Uwanja wa Soko la Kilombero kuanzia saa nane mchana. Nyie ni watu muhimu hampaswi kujua habari muhimu kupitia vyombo vya habari tu. Njooni tuzungumze haki.

Arusha. Kesho Alhamisi tukutane Uwanja wa Soko la Kilombero kuanzia saa nane mchana. Nyie ni watu muhimu hampaswi kujua habari muhimu kupitia vyombo vya habari tu. Njooni tuzungumze haki.
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio lugha CCM uelewa , hata Samia anaelewa sana hii Lugha tunatakiwa kuangalia option ya nguvu ya umma kwa haraka, watatumaliza

Hii ndio lugha CCM uelewa , hata Samia anaelewa sana hii Lugha

tunatakiwa kuangalia option ya nguvu ya umma kwa haraka, watatumaliza
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: LISSU ATAKA NGUVU YA UMMA KUTUMIKA KUMALIZA MATUKIO YA UTEKAJI Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, amesema nguvu ya umma na nguvu ya Jumuiya ya Kimataifa zikitumika kushinikiza Serikali na vyombo vya usalama vya Tanzania kuchunguzwa na kusafishwa inaweza ikawa

#TANZANIA: LISSU ATAKA NGUVU YA UMMA KUTUMIKA KUMALIZA MATUKIO YA UTEKAJI
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, amesema nguvu ya umma na nguvu ya Jumuiya ya Kimataifa zikitumika kushinikiza Serikali na vyombo vya usalama vya Tanzania kuchunguzwa na kusafishwa inaweza ikawa
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Brings Peace Back MAMA. Jana nilikuwa nakunywa kahawa na rafiki zangu wanne. Tukiendelea na stori , ilikuja gari Toyota VX 300 ikiwa imechafuka kwa maji ya mvua na plate namba zinasomeka kwa shida.Wote tuliitizama,rafiki mmoja akajifanya kapokea simu wakati haikuwa imepigwa ,

Deogratias Mahinyila (@advmahinyila) 's Twitter Profile Photo

Hatupaswi kudharau taarifa yoyote inayohusu usalama wetu kwa hatua ya sasa. Tutakuwa watulivu lakini hatutakubali kuwa Mafala. Mungu wetu atatulinda pia.

Hatupaswi kudharau taarifa yoyote inayohusu usalama wetu kwa hatua ya sasa. Tutakuwa watulivu lakini hatutakubali kuwa Mafala. Mungu wetu atatulinda pia.
Suphian Juma Nkuwi (@suphianjuma) 's Twitter Profile Photo

Najiwazia hapa; kwanini wanaodai wanafuatiliwa au kutekwa ni wafuasi wa CHADEMA tu? Tuna vyama zaidi ya 20 nchini wanaokosoa kama CHADEMA mbona hawaguswi? Nahisi CHADEMA ndio chanzo kikuu cha tatizo. CHADEMA acheni kumchokonoa wetu mpenda utu Haki na Uhuru Dkt Samia Suluhu