MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire) 's Twitter Profile
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

@davitheempire

Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐Ÿ† A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.

ID: 2436105846

linkhttp://mwakaT.com calendar_today09-04-2014 22:15:18

195,195K Tweet

24,24K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

Je Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho? Je mtoto wa Majaliwa au wa IGP Wambura, au wa Gwajima wanaweza kupotezwa na kuokotwa hawana macho na taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa hao, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya". Askofu Gwajima

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

โ€œJe, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho na taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa Abdul, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?โ€ anahoji Askofu Gwajima.

โ€œJe, Abdul anaweza kupotezwa na kuokotwa hana macho na taifa likakaa kimya? Kama haiwezekani kwa Abdul, kwanini watoto wa wengine wanapotezwa halafu tunakaa kimya kana kwamba wamepotea mbuzi au kondoo?โ€ anahoji Askofu Gwajima.
Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

Najua tunapishana namna ya kufikiri na tunapishana mitazamo lakini ndio wenzetu mshindwe kuona/kupata message kubwa vile kutoka kwa Gwajiboy? Kwani mna utindio?

Emmanuel Mwita (@ej_mwita) 's Twitter Profile Photo

Hata la wakuu wa USALAMA wa Taifa kubadilishwa zaidi ya mara tatu ndani ya miaka minne na yenyewe hamtaki kulizungumzia? Let alone mengine yote?

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Hii wiki wamejitoa wenyewe kuthibitisha habari za Mange sio fake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na walitoa taarifa wenyewe ni fake

Martha Karua SC (@marthakarua) 's Twitter Profile Photo

Good morning mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Ninakuomba kwa unyenyekevu kufahamu ni hatua gani wewe na serikali yako mmechukua dhidi ya mtuhumiwa mkuu ACP Mafwele wa Police Force TZ kwa mateso na ubakaji katika kesi inayomhusu Agatha Atuhaire Agather Atuhaire

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Lakini suala la utekaji sio la chama bali la raia wote, mbona kwenye kumsifia mama hakuna utaratibu? hadi vichaa wanamsifia na hamuwakanyi? utaratibu upo kwenye maoni ambayo yanakichafua chama tu?

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

โ€ผ๏ธMAFWELEโ€™S BACKGROUND INCLUDE MURDERIN BUSINESSMEN FOR MONEYโ€ผ๏ธ This informant in Sept gave insight how Mafwele used the death squad to extort money from businessmen in Mwanza Mafwele was transferred from Mwanza to Dar es Salaam but left his gang in Mwanza who continue their

โ€ผ๏ธMAFWELEโ€™S BACKGROUND INCLUDE MURDERIN BUSINESSMEN FOR MONEYโ€ผ๏ธ
This informant  in Sept gave insight how Mafwele used the death squad to extort money from businessmen in Mwanza 
Mafwele was transferred from Mwanza to Dar es Salaam but left his gang in Mwanza who continue their
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

LEO ni CHASO Dar ws Salaam wanafanya KONGAMNO kubwa hapa Mjini Makao makuu ya chama MIKOCHENI na Mgeni Rasm ni Mhe.HECHE #NB hiki ndio chama wanachooota kina kufa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

LEO ni CHASO Dar ws  Salaam wanafanya KONGAMNO kubwa hapa Mjini Makao makuu ya chama MIKOCHENI na Mgeni Rasm ni Mhe.HECHE
#NB hiki ndio chama wanachooota kina kufa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Dua Lyamzito ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@duahamud) 's Twitter Profile Photo

Full house wasomi wa vyuo vikuu Dar es salaam CHASO wameujaza ukumbi,Chadema ni mpango wa mungu na #NoReformsNoElection inafika kila shehem

Full house wasomi wa vyuo vikuu Dar es salaam CHASO wameujaza ukumbi,Chadema ni mpango wa mungu na #NoReformsNoElection inafika kila shehem
Chadema Tanzania (@chadematz2) 's Twitter Profile Photo

MAAZIMIO YA KAMATI KUU Kamati Kuu ya chama iliyoketi kwa siku mbili, tarehe 23 na 24 Mei 2025, baada ya mijadala na tafakari ya kina ya kimkakati imefikia maazimio yafuatayo: 1. Kamati Kuu imepokea barua ya msajili wa vyama vya siasa iliyoandikwa kwa Katibu Mkuu wa chama, na

MAAZIMIO YA KAMATI KUU
Kamati Kuu ya chama iliyoketi kwa siku mbili, tarehe 23 na 24 Mei 2025, baada ya mijadala na tafakari ya kina ya kimkakati imefikia maazimio yafuatayo:

1. Kamati Kuu imepokea barua ya msajili wa vyama vya siasa iliyoandikwa kwa Katibu Mkuu wa chama, na