John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profileg
John Pambalu

@John_Pambalu

BAVICHA National chairman, Butimba ward councillor (2015-2020), MP Candidate, Activist and entrepreneur.

ID:980521402678874113

linkhttps://twitter.com/Dream_Agritech?s=09 calendar_today01-04-2018 19:04:54

23,8K تغريدات

281,8K متابعون

1,3K التالية

LYENDA(@IamLyenda) 's Twitter Profile Photo

“ORAITEMBWA RUGIBANZE INYINDO”
Hii ni moja ya hotuba bora kabisa kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Cuadema Official Bavicha Taifa, Kamanda John Pambalu ambayo itaishi kwa muda mrefu sana.

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Bila shaka hii ni moja kati ya hotuba bora sana nilizowahi kuzitoa 'Oraitembwa Rugibanze Inyindo'. Japo wengi wanaipenda ya 'Mpaka Lini?' japo nadhani hii ni bora. Lakini hotuba zote bora mara nyingi huwa ninazitolea Bukoba sijui huwa nina mzuka gani na Bukoba.

account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Tanga imesimama kuhesabiwa!

Moja kati ya mikoa ambayo haistahili kubaki kuwa maskini katika karne hii ni mkoa wa Tanga kwa utajiri na fursa ilizonazo. Nimefarijika sana kwa
Ushiriki wenu  katika maandamano yetu. Mmedhihirisha mpo mstari wa mbele kwenye azma yetu ya kudai haki…

Tanga imesimama kuhesabiwa! Moja kati ya mikoa ambayo haistahili kubaki kuwa maskini katika karne hii ni mkoa wa Tanga kwa utajiri na fursa ilizonazo. Nimefarijika sana kwa Ushiriki wenu  katika maandamano yetu. Mmedhihirisha mpo mstari wa mbele kwenye azma yetu ya kudai haki…
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

'Mene Mene Tekeli na Peresi, Rais Samia asome alama za nyakati, kadiri mateso yanavyozidi ndivyo ukombozi unavyokaribia' John Pambalu - Sengerema Mwanza

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea taarifa za Mhe. Twaha Mwaipaya na Aisha Saleh Madoga kuzungukwa na watu wenye silaha muda huu Dodoma. Tunataka vyombo vywa dola kuingilia kati kulinda uhai wa wapiganaji wetu.

Nimepokea taarifa za Mhe. @Twaha_Mwaipaya na @AishaSMadoga kuzungukwa na watu wenye silaha muda huu Dodoma. Tunataka vyombo vywa dola kuingilia kati kulinda uhai wa wapiganaji wetu.
account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Singida imeitikia wito wa ukombozi. Kesho ni zamu ya Dodoma, Mji Mkuu wa nchi na mojawapo ya mikoa inayoongoza kwa umaskini katika Tanzania. Kesho nitaongoza maandamano ya kudai Katiba Mpya na Mfumo Huru wa Uchaguzi na baadae kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Dodoma. Karibuni!!!

Singida imeitikia wito wa ukombozi. Kesho ni zamu ya Dodoma, Mji Mkuu wa nchi na mojawapo ya mikoa inayoongoza kwa umaskini katika Tanzania. Kesho nitaongoza maandamano ya kudai Katiba Mpya na Mfumo Huru wa Uchaguzi na baadae kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Dodoma. Karibuni!!!
account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Jana nikiwa jimboni Tarime, nilimtembea rafiki yangu Mwita Gitora Kitongoji cha Masana kata ya Binagi.

Tarime ni wilaya nzuri sana kwa hali ya hewa na watu wema sana.

Mvua inanyesha misimu miwili kwa mwaka. Mwita na familia yake na wake zake wawili walimipa parachichi mafuta…

Jana nikiwa jimboni Tarime, nilimtembea rafiki yangu Mwita Gitora Kitongoji cha Masana kata ya Binagi. Tarime ni wilaya nzuri sana kwa hali ya hewa na watu wema sana. Mvua inanyesha misimu miwili kwa mwaka. Mwita na familia yake na wake zake wawili walimipa parachichi mafuta…
account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Mimi na rafiki yangu MalisaGJ tunawashukuru Watanzania wote kwa umoja wenu katika kupaza sauti na kukemea ukatili na ukiukwaji wa haki zetu uliofanywa na Jeshi la polisi.

Nawashukuru mawakili wote waliojitokeza kututetea na kutuwakilisha polisi, ambao ni Wakili msomi Peter…

Mimi na rafiki yangu @MalisaGJ_ tunawashukuru Watanzania wote kwa umoja wenu katika kupaza sauti na kukemea ukatili na ukiukwaji wa haki zetu uliofanywa na Jeshi la polisi. Nawashukuru mawakili wote waliojitokeza kututetea na kutuwakilisha polisi, ambao ni Wakili msomi Peter…
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Puuzeni uzushi kwamba nimekubaliana na yeyote kujiondoa kugombea UENYEKITI WA KANDA. Victoria inahitaji mabadiliko Kiutendaji, na Kioparesheni (Modus Operandi). Ni lazima tufanye mabadiliko ili kuifanya CCM Mwanza, Kagera na Geita watoe mlio ambao hawajawahi kutoa.

Ningependa…

Puuzeni uzushi kwamba nimekubaliana na yeyote kujiondoa kugombea UENYEKITI WA KANDA. Victoria inahitaji mabadiliko Kiutendaji, na Kioparesheni (Modus Operandi). Ni lazima tufanye mabadiliko ili kuifanya CCM Mwanza, Kagera na Geita watoe mlio ambao hawajawahi kutoa. Ningependa…
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kaka kwa niaba ya vijana hawa wanaomba umfikishie taarifa hizi Mh. Rais kwa kumkumbusha kuwa kuna vijana walio jenga Ikulu ya Chamwino Dodoma kipindi cha hayati Magufuri na waliahidiwa ajira, kwa bahati mbaya bado wapo mitaani, wanaomba uwasaidie.

Kaka kwa niaba ya vijana hawa wanaomba umfikishie taarifa hizi Mh. Rais kwa kumkumbusha kuwa kuna vijana walio jenga Ikulu ya Chamwino Dodoma kipindi cha hayati Magufuri na waliahidiwa ajira, kwa bahati mbaya bado wapo mitaani, wanaomba uwasaidie.
account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni Pascal Malembera,
amepigwa risasi leo eneo la Murwambe Nyamongo.

Mauji na majeruhi kwa vijana Tarime hasa eneo la Nyamongo yanatisha.

Kwanini polisi wetu watumike kuua na kujeruhi vijana wetu kila siku.

Kwa mda mrefu sana malalamiko yetu kuhusu haya mauaji hayafanyiwi…

Huyu ni Pascal Malembera, amepigwa risasi leo eneo la Murwambe Nyamongo. Mauji na majeruhi kwa vijana Tarime hasa eneo la Nyamongo yanatisha. Kwanini polisi wetu watumike kuua na kujeruhi vijana wetu kila siku. Kwa mda mrefu sana malalamiko yetu kuhusu haya mauaji hayafanyiwi…
account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Balaa la Chadema Musoma muda huu, kwenye maandamano ya kuitaka Serikali ipunguze gharama za maisha na madai ya Katiba Mpya.

account_circle
John Pambalu(@John_Pambalu) 's Twitter Profile Photo

Kuna mahali polisi wetu wanakwaza na kushangaza sana.

Mimi nikimuita mtu mjinga wewe. Wakinikamata eti wanaenda kunipekuwa nyumbani!.

Sasa unashangaa mdomo uliotumika kumuita mtu mjinga ninao hapohapo polisi, sasa nyumbani wanaenda kupekua nini?.

Kuna mahali polisi wetu wanakwaza na kushangaza sana. Mimi nikimuita mtu mjinga wewe. Wakinikamata eti wanaenda kunipekuwa nyumbani!. Sasa unashangaa mdomo uliotumika kumuita mtu mjinga ninao hapohapo polisi, sasa nyumbani wanaenda kupekua nini?.
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Boniface Jacob na Godlisten Malisa wamechukuliwa kituo cha polisi Mbweni na wanapelekwa kituo cha polisi kati (central police) kwa taratibu zingine muda huu. Yoyote ambaye ataweza kufika kituo cha polisi kati (Central Police) asogee. Wote muda huu tunaelekea Central police Dar es…

account_circle