Iligo
@adamiligo
ID: 849566379418234880
05-04-2017 10:16:23
1,1K Tweet
421 Followers
991 Following
Kuna Mdau amenitumia picha ya Mtoto alipata ajali ya Moto Binafsi imenigusa sana, Ni matumaini yangu Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 wanaweza kudeal na hili moja kwa moja. 🙏 Namba ya Baba yake mzazi Laurence Bryson Kituo 0697366253 ya Airtel. Analelewa na Bibi na Baba, Mama yake alifariki