Iligo (@adamiligo) 's Twitter Profile
Iligo

@adamiligo

ID: 849566379418234880

calendar_today05-04-2017 10:16:23

1,1K Tweet

421 Followers

991 Following

Iligo (@adamiligo) 's Twitter Profile Photo

Viktor Yanukovych ni Rais wa awamu ya Nne wa Ukraine aliondolewa madarakani 2014 kwa msaada wa US na mpaka leo anaishi uhamishoni Russia lakini hutaskia hata mtu mmoja akikemea kitendo cha Taifa moja kuingilia lingine

Viktor Yanukovych ni Rais wa awamu ya Nne wa Ukraine aliondolewa madarakani 2014 kwa msaada wa US na mpaka leo anaishi uhamishoni Russia lakini hutaskia hata mtu mmoja akikemea kitendo cha Taifa moja kuingilia lingine
Iligo (@adamiligo) 's Twitter Profile Photo

Urusi vilishambulia shule ya chekechea zaidi ya nyumba90 katika Oblast ya Donetsk Agosti12 Polisi waliripoti kwamba vikosi vya Urusi vilishambulia makazi11,Watu saba waliuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa,wakiwemo watoto watatu,kutokana na mashambulizi ya makombora ya Urusi

Iligo (@adamiligo) 's Twitter Profile Photo

Shule Uchumi KyivUvamizi wa Urusi nchini Ukraine umesababisha hasara ya moja kwa moja yenye thamani $113 bilioni tangu Febr 24.Maksym Nefyodov miradi ya usaidizi wa mageuzi katika KSE alisema kuwa timu inakusanya picha satelaiti ili kuchanganua uharibifu unaosababishwa na Urusi

Iligo (@adamiligo) 's Twitter Profile Photo

Meya: Roketi za Urusi zilipiga Kharkiv Meya wa Kharkiv Ihor Terekhov aliripoti kwamba roketi ilipiga wilaya ya Kyivsky ya jiji, ikilenga kitu cha miundombinu,Jengo la gorofa mbili liliharibiwa Hakuna majeruhi wameripotiwa.

Vatican News (@vaticannews) 's Twitter Profile Photo

“With sorrow I inform you that the Pope Emeritus, Benedict XVI, passed away today at 9:34 in the Mater Ecclesiae Monastery in the Vatican. Further information will be provided as soon as possible.”

“With sorrow I inform you that the Pope Emeritus, Benedict XVI, passed away today at 9:34 in the Mater Ecclesiae Monastery in the Vatican.

Further information will be provided as soon as possible.”
The Kyiv Independent (@kyivindependent) 's Twitter Profile Photo

⚡️Mayor: 1 killed, 7 injured in Kyiv. Kyiv Mayor Vitali Klitschko reported that an elderly man was killed and 7 people were injured in the Solomianskyi district following explosions in the residential area during the Russian missile strike. One person is in critical condition.

EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#MICHEZO Baada ya klabu ya Roma kuingia fainali ya Europa ligue kocha wa Roma, Jose Mourinho amefunguka kuwa hofu yake sio kuweka histori katika klabu hiyo.

#MICHEZO Baada ya klabu ya Roma kuingia fainali ya Europa ligue kocha wa Roma, Jose Mourinho amefunguka kuwa hofu yake sio kuweka histori katika klabu hiyo.
Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

PASAKA HI TUWAJUE WATU MUHIMU WALIOTAFSIRI BIBLIA SEHEMU YA PILI. BIBLIA KATIKA KIINGEREZA (CHA ZAMA ZA KATI) + WILLIAM TYNDALE aliweza kupata moyo kutoka kwa LUTHER akadhamiria Kutafsiri Biblia kwa Kiingereza, hivyo alipenda kusafiri mpaka Ujerumani, Lakini akakosa fedha,

PASAKA HI TUWAJUE WATU MUHIMU WALIOTAFSIRI BIBLIA

SEHEMU YA PILI.

BIBLIA KATIKA KIINGEREZA (CHA ZAMA ZA KATI) 

+ WILLIAM TYNDALE aliweza kupata moyo kutoka kwa LUTHER akadhamiria Kutafsiri Biblia kwa Kiingereza, hivyo alipenda kusafiri mpaka Ujerumani, Lakini akakosa fedha,
Iligo (@adamiligo) 's Twitter Profile Photo

Kuna Mdau amenitumia picha ya Mtoto alipata ajali ya Moto Binafsi imenigusa sana, Ni matumaini yangu Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 wanaweza kudeal na hili moja kwa moja. 🙏 Namba ya Baba yake mzazi Laurence Bryson Kituo 0697366253 ya Airtel. Analelewa na Bibi na Baba, Mama yake alifariki

Kuna Mdau amenitumia picha ya Mtoto alipata ajali ya Moto Binafsi imenigusa sana, Ni matumaini yangu <a href="/wizara_afyatz/">Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿</a>  wanaweza kudeal na hili moja kwa moja. 🙏
Namba ya Baba yake mzazi Laurence Bryson Kituo 0697366253 ya Airtel. 
Analelewa na Bibi na Baba, Mama yake alifariki