Twaweza - ni sisi
@Twaweza_NiSisi
Twaweza means 'we can make it happen' in Swahili. It's a citizen-centered initiative, focusing on large-scale change in East Africa. #DemokrasiaYetu
ID:119160803
http://www.twaweza.org 02-03-2010 21:12:38
30,1K Tweets
99,7K Followers
900 Following
Follow People
Ungana na Togolani Mavura, Aidan Eyakuze, fatma karume aka Shangazi na Thomas J. Kibwana siku ya Ijumaa, Aprili 26, 2024, kuanzia saa kumi mpaka kumi na moja jioni katika mjadala wa miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utakaofanyika X space.
Salim Ahmed Salim Digital Archive
Ungana nasi Ijumaa, Aprili 26, 2024, kuanzia saa kumi mpaka kumi na moja jioni tujadili miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, X spaces.
Togolani Mavura Aidan Eyakuze fatma karume aka Shangazi Thomas J. Kibwana The Chanzo
Kama ungependa kujua hali ya haki za binadamu kwa mwaka 2023 kaa karibu na kurasa za LHRC
Jiandikishe kupitia Zoom kwenye link hii:
t.ly/APcEJ
#THRR2023 #RipotiYaHaki2023
#HumanRightsReport2023
Jiunge nasi tarehe 24/4/2024 kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa saba mchana kwa uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2023. Jiandikishe kupitia Zoom kupitia link hii:
t.ly/APcEJ
#THRR2023 #RipotiYaHaki2023
#HumanRightsReport2023
Jinsi gani tunaweza kuboresha uwajibikaji katika taasisi za umma nchini?
Usikose kujumuika kwenye mdahalo Alhamisi Wajibu Institute, na mzungumzaji mkuu ni CAG Mstaafu Ludovic Utouh.
#PolicyForumBreakfastDebate
policy forum
'Uandishi wa habari ni sekta muhimu katika kusimamia uwajibikaji. Na ili waandishi wafanye kazi hii kwa weledi ni lazima kuwepo na uhuru wa habari na wanahabari.' - TONY ALFRED K kutoka The Chanzo. #UhuruNaUbunifu
'Ni muhimu kuwa na imani na nchi yako. [Ninaposema imani na nchi simaanishi viongozi]. Moja ya hiyo imani ipo kwenye kura' - TONY ALFRED K kutoka The Chanzo.
#UhuruNaUbunifu
We are excited to announce the launch of the Tanzania Human Rights Report for 2023 under the auspices of LHRC on May 24, 2024. Join us on Zoom to discuss human rights issues.
Register here: t.ly/APcEJ
#THRR2023 #HumanRightsReport2023
#RipotiYaHaki2023
Kinachoendelea sasa katika #UhuruNaUbunifu :
Mjadala wa pili unaoendeshwa na khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹, Mhariri wa The Chanzo unalenga kwenye masuala ya “Vyombo ya Habari vya Mtandaoni na Hatma ya Uandishi wa Habari nchini #Tanzania ”
Tuko hapa: Kongamano la Siku ya Ubunifu na Uvumbuzi Duniani lililoandaliwa na The Chanzo.
Tuka hapa kuzungumzia #UhuruNaUbunifu wa Kidigitali nchini #Tanzania .
Kongamano hili limekuja wakati sahihi hasa kwa kuzingatia makuzi ya teknolojia na mabadiliko ya namna tunavyopata