Tanga Berries(@TangaBerries) 's Twitter Profile Photo

Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus| Tumaini Madenge Sasa kama unaamini Ccm hawana cha ku lose kwanini wasiweke hayo marekebisho madogo ili tume iwe huru kuondoa kelele na kwenda sawa na mabadiliko ya nyakati?

account_circle
Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus|(@Baba__J) 's Twitter Profile Photo

Tumaini Madenge Wakati mgumu kwenye nn labda nikuulize hadi saiv unajua upinzan kama chadema watamsimamisha nan nafasi ya Urais wao wenyewe ukiwauliza hawajui

account_circle