Salama Zalhata Jabir(@EceJay) 's Twitter Profileg
Salama Zalhata Jabir

@EceJay

Presenter. Producer. @YahStoneTown @ShabikiOS Brand ambassador for @BetwayTanzania Ain’t so bad at what I do they say. To 🎥 or 🎧 to #SalamaNa Pls Click 🔗

ID:107155096

linkhttps://linktr.ee/ecejay calendar_today21-01-2010 18:11:33

117,2K Tweets

809,5K Followers

1,1K Following

Betway Tanzania(@BetwayTanzania) 's Twitter Profile Photo

🤑✅ Kila Jmosi ni siku ya KUBUSTI odds za mkeka wako!

Unadhani Klopp atafanikiwa kupata ushindi dhidi ya Tottenham wikiendi hii?

Bashiri na odds kali mchezo huu: betway.co.tz

account_circle
Salama Zalhata Jabir(@EceJay) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa walimwengu Zuu ana karibia kila kitu kasoro tu kilichopo kati ya R and Y. Lakini si ana what’s between A and D? That should count ama? Na kilichopo kati ya F na H naskia ndo anamaliza kabisa! Tuishi Ndugu zangu. Huwezi kuna na kila herufi kama keyboard. JISHIKILIE.

account_circle
Salama Zalhata Jabir(@EceJay) 's Twitter Profile Photo

Do you have this amazing friend who you don't really chat with that often, but whenever you have a conversation with them, it's like a breath of fresh air? Being around them is simply delightful!

account_circle
Betway Tanzania(@BetwayTanzania) 's Twitter Profile Photo

🔵 Mkeka wa kapteni wetu @jr_farhanjr unaenda kwa chama lake Chelsea!

🤔 Ndio, odds 2.30 mezani... Je, unadhani wataweza kushinda mchezo huu?

account_circle
NFR Podcast(@nfr_podcast) 's Twitter Profile Photo

Kendrick Lamar’s Drake diss 'Euphoria' played during the NBA Playoffs halftime report…

“C’mon man… Y’all putting us in the middle of the rap beef.” 😂
twitter.com/mediaacct1616/…

account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Kenya

🇹🇿🇰🇪

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la…

📍Kenya 🇹🇿🇰🇪 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍Kenya

🇹🇿🇰🇪

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa Afya wa Kenya Susan Nakhumicha (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024 kwa…

📍Kenya 🇹🇿🇰🇪 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa Afya wa Kenya Susan Nakhumicha (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024 kwa…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍IKULU,Dar es Salaam

🇹🇿🇸🇴

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud wakati alipowasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili…

📍IKULU,Dar es Salaam 🇹🇿🇸🇴 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud wakati alipowasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili…
account_circle
Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

📍IKULU,Dar es Salaam

▪️Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.

Rais Samia Suluhu Hassan amesema uimara na uendelevu wa Muungano uko mikononi mwa vijana ambao ndiyo wengi kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022. Rais Samia amesema hayo alipolihutubia taifa ikiwa ni sehemu…

account_circle