Tuko wangapi? (@tulizanatz) 's Twitter Profile
Tuko wangapi?

@tulizanatz

Tuko wangapi? Tulizana is a national campaign that aims to address concurrent sexual partnerships, or having more than one sexual partner at one time.

ID: 1725642433

linkhttps://www.facebook.com/tukowangapi.tulizana calendar_today03-09-2013 14:04:45

296 Tweet

461 Followers

571 Following

Femina Hip (@feminahip) 's Twitter Profile Photo

Wastani wa umri wa kuishi kwa Watanzania umeongezeka kutoka miaka 50 kwa sensa iliyofanywa 1988 hadi kufikia miaka 61 kwa sensa ya 2012.

Tuko wangapi? (@tulizanatz) 's Twitter Profile Photo

Hii imetulia sana "kama wewe mwaminifu kwa mpenzi wako, hauwezi mnyima namba yako ya siri yako ya simu,benki, N.K" #Tulizana

Tuko wangapi? (@tulizanatz) 's Twitter Profile Photo

Kuangalia mapungufu huenda kukapelekea kuongeza mapenz kati yako na mpenzi wako jaribuni kuwa wazi baina yenu vunja ukimya. #Tulizana