Michepuko Sio Dili (@michepuko) 's Twitter Profile
Michepuko Sio Dili

@michepuko

ID: 2331345745

calendar_today07-02-2014 05:18:44

975 Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

Michepuko Sio Dili (@michepuko) 's Twitter Profile Photo

Hali ya hewa isiwe kigezo cha kuchepuka. Kunywa chai, supu, vaa jacket na kama uzalendo unakushinda nyoosha njia kuu! #MichepukoSioDili

Tundu Lissu War Room (@slim_cony) 's Twitter Profile Photo

Kama mpenzi wako unamuona mbaya, kuna wabaya zaidi yake, na kama kuna mwanamke unamuona mzuri, kuna wazuri zaidi yake.. Huwezi wamaliza

Michepuko Sio Dili (@michepuko) 's Twitter Profile Photo

Kweli?! RT @BijouMami: So kama una Demu wako,ujue tu your friend watamtaka na watampata!Tena wakiwa Na pesa NDIO kabisa huna chako!

Michepuko Sio Dili (@michepuko) 's Twitter Profile Photo

Haya wale mlioseviwa "Blanketi","Hita", "Cha Mvua",..Simu zenu ziko busy tu saa hizi mnatafutwa mkatoe joto..Kama wewe sio Mchepuko ni nini?

philip jose mchina (@philip_mchina) 's Twitter Profile Photo

my dear .. @Divathebawse cm huaribu mapenz kama MTU unakuwa na michepuko..naomba wapenz tutumie cm vizuri Niko sawia name @MteiClemency

A.K (@captain_255) 's Twitter Profile Photo

@Idiot_cony noma sana aisee!!Kuna mtu pia juzi kanipa story dada wa kazi binti wa 16yrs katoka kijijini wiki tu kaanza kuumwa kumpima yuko +