Baba Trossard19 (@ejgreenapple) 's Twitter Profile
Baba Trossard19

@ejgreenapple

Money maker

ID: 946134182

calendar_today13-11-2012 17:04:46

2,2K Tweet

236 Followers

151 Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huyu jamaa anaitwa Nikodemas Maganga alikuwa Mbunge wa CCM aliongea haya maneno miezi kadhaa kabla Oktoba 29, 2029 Jamaa alipotaka kugombea Ubunge mara ya pili, Idd Amin Mama kwa hasira akakata jina la jamaa ila maneno ya jamaa bado yanaishi.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hawa MASHEIKH ukiwaona wanaswalisha Msikiti wowote ule naomba TOA SADAKA YA KUJIMALIZA. Hawa wanaongozwa na msingi ya DINI na sio NJAA kama wale VIBAKA waliopita. Asanteni sana Masheikh wetu wapenda HAKI mmeiheshimisha DINI YETU YA KIISLAMU. 🙏 REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎

Mapung'o (@mapungo2020) 's Twitter Profile Photo

Embu vijana tuambieni maana kama ni ukimwi,gonorea,UTI,mimba mnapata bila vikwazo, mishangazi ipo, waume za watu wapo, kupiga nyeto tumeruhusu shida ni nini sasa? 🚶🚶😁

Embu vijana tuambieni maana kama ni ukimwi,gonorea,UTI,mimba mnapata bila vikwazo, mishangazi ipo, waume za watu wapo, kupiga nyeto tumeruhusu shida ni nini sasa? 🚶🚶😁
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hawa ndio watanzania mnaotaka kuwaongoza kama MAPUNDA. Hawa ndio unaosema waliandamana kwa kufuata mkumbo? Sikiliza SPANA ZA DADA WA #D9 Beauty with Brain. REPOST 200 #TUTAKUWEPO🫵😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kesho fanya vyote usikose BANDO. Kesho dunia inaenda kuona kwa kina yote yaliyofanyika GIZANI kupitia kituo kikubwa cha habari cha CNN. Kumbuka Hii imewezekana kwa nguvu ya UMMA. Page zetu wananchi ziligeuka Media kuihabarisha Dunia wakati Media zimeingia MITINI. REPOST 200

Kesho fanya vyote usikose BANDO.

Kesho dunia inaenda kuona kwa kina yote yaliyofanyika GIZANI kupitia kituo kikubwa cha habari cha CNN.

Kumbuka Hii imewezekana kwa nguvu ya UMMA. Page zetu wananchi ziligeuka Media kuihabarisha Dunia wakati Media zimeingia MITINI.

REPOST 200
CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa, amesema wapo watu katika jamii ambao kila wakati hutafuta jambo la kuichonganisha na kuisukuma jamii kwenye matatizo, huku akisisitiza kuwa Yesu Kristo alikuja kuwaletea wanadamu amani na wokovu.