.Manca.❤ (@08devoted) 's Twitter Profile
.Manca.❤

@08devoted

Blessed...🙏🙏

ID: 498691834

calendar_today21-02-2012 09:47:12

31,31K Tweet

5,5K Followers

471 Following

Dr. 💚 (@__sheriii) 's Twitter Profile Photo

Naombeni support ya rts angalau10 kwenye hii post 🙏 wakazi wa Dodoma waione waje kununua miti ya aina mbalimbali yakimvuli

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.

LastKid (@poorcandidate) 's Twitter Profile Photo

Mtu akikufikia kwa Uhitaji wa Jambo lake Msikilize, na Kama Unauwezo Msaidie, Baraka zetu hupita Kwa Watu na Ridhki za Watu hupita Kwa Watu pia✌️