Shadaka Sports Management (@shadakasports) 's Twitter Profile
Shadaka Sports Management

@shadakasports

We represent top footballers in Tanzania and growing widely in Africa, We define the true meaning of sports representatives

ID: 933397851673186304

linkhttp://shadakasports.co.tz calendar_today22-11-2017 18:12:44

44 Tweet

448 Followers

40 Following

SPOCS (@spocsgroup) 's Twitter Profile Photo

Congratulations to Ozan KABAK on his move from VfB Stuttgart 1893 to FC Schalke 04 yesterday. A huge talent and we can't wait to see him develop further in the Bundesliga. All the best Ozan! πŸ“‹πŸ–ŠοΈπŸ”΅βšͺ #Kabak #S04

Mbao Football Club (@officialmbaofc) 's Twitter Profile Photo

OUR NEW CAPTAINS SAID KHAMIS JR. and BABILAS CHITEMBE -Kila la kheri katika majukumu yenu makubwa katika kikosi chetu nje na ndani ya uwanja. -A good leader leads from behind #WabishiForever #dependableGF Powered by GF TRUCKS & EQUIPMENT Cc Imran Karmali @daniel_naila Azam TV TFF TANZANIA

OUR NEW CAPTAINS SAID KHAMIS JR. and BABILAS CHITEMBE
-Kila la kheri katika majukumu yenu makubwa katika kikosi chetu nje na ndani ya uwanja.
-A good leader leads from behind
#WabishiForever
#dependableGF
Powered by GF TRUCKS & EQUIPMENT
Cc Imran Karmali @daniel_naila Azam TV TFF TANZANIA
Shadaka Sports Management (@shadakasports) 's Twitter Profile Photo

Novatus Dismas Miroshi First MatchπŸ” 90 Mins CompletedπŸ‹πŸ½β€β™€οΈπŸ‹πŸ½β€β™€οΈ Clean SheetπŸ˜πŸ™πŸΎπŸ‘ŒπŸ½ First Win πŸ‘πŸ½βœ… Great Passing Rate 89%🎯 Box to Box πŸ“¦ Heeeey he is just 17πŸ‘©πŸΌβ€πŸ¦²

Nizar  Khalfan (@nizarkipedo) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeingia mkataba na kampuni ya kusimamia wachezaji ya Shadaka Sports Management, baadhi ya vijana nitakaowatafuta watasimamiwa na Kampuni hii ya uwakala inayotambulika na TFF, lengo ni kusaidia vijana katika njia sahihi.. @2official6 Shadaka Sports Management

Leo nimeingia mkataba na kampuni ya kusimamia wachezaji ya Shadaka Sports Management, baadhi ya vijana nitakaowatafuta watasimamiwa na Kampuni hii ya uwakala inayotambulika na TFF, lengo ni kusaidia vijana katika njia sahihi.. @2official6 Shadaka Sports Management
Shadaka Sports Management (@shadakasports) 's Twitter Profile Photo

Leo tumeingia mkataba na kampuni ya Kusaka vipaji ya Nizar Scouting Group baadhi ya wachezaji watakaotafutwa na kampuni hiyo moja kwa moja watasimamiwa na kampuni ya Shadaka Sports. Hii ni katika kuhakikisha tunawafikia vijana wengi kadri tuwezavyo @nizarkhalfan16 ibra

Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Nafurahi kuona Vijana wa #Tanzania wakipata fursa za kupata ajira rasmi kwenye michezo nje ya nchi. Natamani ifike mahala Timu zetu za #Yanga na #Simba ziwe na idadi kubwa ya wachezaji wa ndani maana ni njia ya kupelekea Vijana nje ya nchi. Hongera Novatus Dismas & Shadaka Sports Management