Shaffih Dauda
@shaffihdauda1
Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my own
ID:363625842
http://www.shaffihdauda.co.tz 28-08-2011 12:15:23
22,5K Tweets
896,3K Followers
922 Following
Follow People
Kachwele ameweka tena kambani jana, mechi 4,mabao 3, mechi ya tatu mfululizo anapasia kambani #ShadakaSports
Ina asili yake, Ina tamaduni zake, Ina purukushani zake na ina shangwe zake, kabla hujaiingia fanya kuielewa kwanza!
#ielewemitaa
Sijawahi kuwa na shaka na uwezo wa Chasambi,kilichonifurahisha siyo tu kufunga leo kwenye mechi yake ya kwanza ya TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC ๐ bali ni kitendo cha benchi la ufundi kumpa nafasi ya kucheza, Chasambi ni top talent! Anahitaji kuaminiwa na kupewa dakika aweze kujengewa uzoefu taratibu.
NI mafanikio makubwa sana kama nchi kuingiza timu mbili kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC ๐ tena nchi pekee msimu huu kuingiza timu 2,binafsi najivunia haya maendeleo tunayoyapata kwasasa kwenye upande wa michezo especially mchezo wa soka.