Nizar  Khalfan (@nizarkipedo) 's Twitter Profile
Nizar Khalfan

@nizarkipedo

Former @whitecapsfc, Tanzania National Team player, scout, CAF Diploma C holder Owner: NIZAR SCOUTING GROUP #ViewsAreMyOwn

ID: 217275223

calendar_today19-11-2010 02:01:32

23 Tweet

629 Takipçi

187 Takip Edilen

Nizar  Khalfan (@nizarkipedo) 's Twitter Profile Photo

Usihuzunishwe na hali ya maisha yako, tazama na jifunze kwa wengine. Tambua siku zote Ng'ombe wa mbele ndiye anayechelewesha msafara, lakini wa nyuma ndiye anayechapwa bakora. Jiamini, usikate tamaa, mpite wa mbele yako ujinusuru na bakora. MUNGU hamtupi mja wake#coachkipedo#💪💪

Ona jema kwenye kila baya ukijenga mazoea ya kuona baya kabla ya wema utashindwa kula asali kwa kumchukia nyuki kwasababu ni mkali na tena anauma ukijaribu kufanya kitu alafu ukashindwa usife moyo kwasababu umeshindwa bali furahi kwakua umegundua namna ambavyo haiwezekani.

Nizar  Khalfan (@nizarkipedo) 's Twitter Profile Photo

In normal life not everyone will accept you there must be people who will oppose you though they will not have specific reasons what is needed is to do what you think it's right and I believe they will respect you later even though there are some that will oppose to that too.

Leo nimezindua rasmi kampuni yangu ya kusaka vipaji lengo kuu likiwa ni kusaidia vijana,vilabu na mawakala katika baadhi ya mahitaji yao na kushirikiana nao kwa ukaribu NIZAR SCOUTING GROUP ni kwa ajili yetu sote katika kufanikisha malengo yetu kupitia soka.

Leo nimezindua rasmi kampuni yangu ya kusaka vipaji lengo kuu likiwa ni kusaidia vijana,vilabu na mawakala katika baadhi ya mahitaji yao na kushirikiana nao kwa ukaribu 
NIZAR SCOUTING GROUP ni kwa ajili yetu sote katika kufanikisha malengo yetu kupitia soka.
Nizar  Khalfan (@nizarkipedo) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeingia mkataba na kampuni ya kusimamia wachezaji ya Shadaka Sports Management, baadhi ya vijana nitakaowatafuta watasimamiwa na Kampuni hii ya uwakala inayotambulika na TFF, lengo ni kusaidia vijana katika njia sahihi.. @2official6 Shadaka Sports Management

Leo nimeingia mkataba na kampuni ya kusimamia wachezaji ya Shadaka Sports Management, baadhi ya vijana nitakaowatafuta watasimamiwa na Kampuni hii ya uwakala inayotambulika na TFF, lengo ni kusaidia vijana katika njia sahihi.. @2official6 <a href="/shadakasports/">Shadaka Sports Management</a>