GF TRUCKS & EQUIPMENT (@gf_trucks) 's Twitter Profile
GF TRUCKS & EQUIPMENT

@gf_trucks

Sole Authorised Distributor for
-FAW Trucks
-XCMG Equipment
-Hongyan Trucks
-Spare Parts
-Soosan Breakers
-Concrete equipment

Sales | Spare Parts | Service

ID: 743434519651422208

linkhttp://www.gftrucks.co.tz calendar_today16-06-2016 13:26:16

516 Tweet

305 Takipçi

122 Takip Edilen

GF TRUCKS & EQUIPMENT (@gf_trucks) 's Twitter Profile Photo

Popote unapotaka kuufikisha mzigo wako tuna namna yake ya kukusaidia kuufikisha mzigo huo. Njoo chukua FAW Tractor Head zIkiwa na 380HP, ili Kujihakikishia shughuli zako za Usafirishaji kwa Tanzania na Nchi za Jirani. Kuwa na Uhakika zaidi ukiwa na FAW TRUCKS. #Karibu.

Popote unapotaka kuufikisha mzigo wako tuna namna yake ya kukusaidia kuufikisha mzigo huo.

Njoo chukua FAW Tractor Head zIkiwa na  380HP,  ili Kujihakikishia shughuli zako za Usafirishaji kwa Tanzania na Nchi za Jirani.

Kuwa na Uhakika zaidi ukiwa na FAW TRUCKS.
#Karibu.
GF TRUCKS & EQUIPMENT (@gf_trucks) 's Twitter Profile Photo

Usiangaike na Magari yatakayokuumiza Vichwa. Tumekuletea Magari imara na Bora ya Mizigo. #FORLAND TRUCKS Unaweza safirisha mizigo kwenda mikoa mbalimbali Tanzania na hata ndani ya mkoa. Piga simu: 0754 225 503 kwa maelezo zaidi.

Usiangaike na Magari yatakayokuumiza Vichwa. Tumekuletea Magari imara na Bora ya Mizigo.  #FORLAND TRUCKS 
Unaweza safirisha mizigo kwenda mikoa mbalimbali Tanzania na hata ndani ya mkoa.
Piga simu: 0754 225 503 kwa maelezo zaidi.
GF TRUCKS & EQUIPMENT (@gf_trucks) 's Twitter Profile Photo

Jipatie Spare parts bora na zenye kudumu kwa muda mrefu kwa ajili ya Mitambo na Malori. Tupo Nyerere road, Vingunguti. Au piga simu namba +255754 225 503. #NJOO TUKUPE SULUHISHO LA GARI LAKO. 🇹🇿💪

Jipatie Spare parts bora na zenye kudumu kwa muda mrefu kwa ajili ya Mitambo na Malori.

Tupo Nyerere road, Vingunguti. Au piga simu namba  +255754 225 503.

 #NJOO TUKUPE SULUHISHO LA GARI LAKO. 🇹🇿💪
GF TRUCKS & EQUIPMENT (@gf_trucks) 's Twitter Profile Photo

LEO NDO LEO. Jambo Kubwa linakwenda Kufanyika Leo. Kuanzia mida ya Saa 4:30 Asubuhi. Tutakuletea Mubashara kabisa (Live) kinachoendelea kupitia kurasa zetu za mitandao ya Kijamii. #KAA TAYARI.

LEO NDO LEO.
Jambo Kubwa linakwenda Kufanyika Leo. Kuanzia mida ya Saa 4:30 Asubuhi. 

Tutakuletea Mubashara kabisa (Live) kinachoendelea kupitia kurasa zetu za mitandao ya Kijamii. 
#KAA TAYARI.
GF TRUCKS & EQUIPMENT (@gf_trucks) 's Twitter Profile Photo

HAPPY GF FAMILY DAY 2023. Upendo, Amani, Mshikamano na Juhudi za kila mmoja wetu zimetuwezesha kufurahia pamoja siku hii adhimu kwa mwaka 2023. Tumuomve Mungu tuumalize mwaka salama na Tuukaribishe 2024. #Ahsante. 🙏

HAPPY GF FAMILY DAY 2023. 
Upendo, Amani, Mshikamano na Juhudi za kila mmoja wetu zimetuwezesha kufurahia pamoja siku hii adhimu kwa mwaka 2023.

Tumuomve Mungu tuumalize mwaka salama na Tuukaribishe 2024.

#Ahsante. 🙏