Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profileg
Patrick John Assenga

@PatrickJAssenga

Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea |
Mgombea Ubunge Rombo 2020 |
Diwani Tabata 2015-2020 |

ID:1304450959205072898

calendar_today11-09-2020 16:06:10

9,2K Tweets

66,7K Followers

1,6K Following

Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Wabunge wa CCM waliotengenezwa na MWENDAZAKE wanalipwa mil.18 kwa mwezi, tena hapo ni nje ya posho za laki 6 wanazolipwa kwa kupiga makofi bungeni. Alafu wafanyakazi mishahara yao ni midogo na mnawachpa kikokotoo. Hii dhambi haitawaacha salama😭😭😭

account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Mawaziri mizigo wawili wa serekali ya CCM Mwigulu Nchemba, PhD na mwenzako Nepi Nauye mlioropoka majuzi na kudai Mh Tundu Antiphas Lissu ni mbaguzi kwa kumuita Samia Suluhu mzanzibari, sasa Pitieni hizo picha, kisha muombe RADHI haraka maana hamjui mlitendalo. Tudai TANGANYIKA yetu haraka.

Mawaziri mizigo wawili wa serekali ya CCM @mwigulunchemba1 na mwenzako Nepi Nauye mlioropoka majuzi na kudai Mh @TunduALissu ni mbaguzi kwa kumuita @SuluhuSamia mzanzibari, sasa Pitieni hizo picha, kisha muombe RADHI haraka maana hamjui mlitendalo. Tudai TANGANYIKA yetu haraka.
account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Wanaochimba mchanga mto msimbazi ndio wanaoleta maafa kwa WANANCHI kwa sababu wanachimba kiholela na serekali kuanzia Mkuu wa mkoa mpaka watendaji wa kata wamebariki uharamu huo. Wakazi wa Tabata, liwiti, Segerea, vingunguti, kinyerezi na kipawa wameathirika vibaya.

account_circle
FRV. Gaspar E. Temba(@ItsTemba) 's Twitter Profile Photo

Kwa wafanyakazi wote wa Taifa hili, hongereni kwa michango yenu kwa Taifa letu.
Niwakumbushe, Miaka 60+ ya Uhuru bado kodi zetu zinaliwa na mafisadi wachache na hawachukuliwi hatua zozote.
Kwa Uchapakazi wetu taifa lilipaswa kuwa mbali sana.
Tuko hp kwasababu y udhaifu wa ccm.

account_circle
FRV. Gaspar E. Temba(@ItsTemba) 's Twitter Profile Photo

Jijini Dar es Salaam na baadae Arusha Mjini.
Kesho tutakua Mjini Moshi.
Sababu ni Moja, kuiambia serikali iheshimu na kuzingatia maoni yetu sisi Wananchi.

Jijini Dar es Salaam na baadae Arusha Mjini. Kesho tutakua Mjini Moshi. Sababu ni Moja, kuiambia serikali iheshimu na kuzingatia maoni yetu sisi Wananchi.
account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

VIJANA wa TAIFA hili amkeni....Mimi mwaka huu na mwakani labda waniuwe, vinginevyo sitakubali kuona ule upumbavu wa watawala walioufanya 2019/2020 ukijirudia. Tembeeni kwenye haya maneno ya Hayati baba wa TAIFA Mwl. NYERERE tulikomboe Taifa letu.

Mnaacha kupost habari za maandamano ya WATANZANIA NCHI nzima yanayoratibiwa na CHADEMA, na badala mnapost mambo ya kijinga yasiyosaidia WATANZANIA. ITV News mmekuaje.?

Mnaacha kupost habari za maandamano ya WATANZANIA NCHI nzima yanayoratibiwa na CHADEMA, na badala mnapost mambo ya kijinga yasiyosaidia WATANZANIA. @itvnews mmekuaje.?
account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Bado tunalitaka jeshi la POLISI kumkamata huyu MPUUZI wa CCM kutokana na kauli zake. Msipofanya hivyo, hii NCHI haitakalika.

POLISI mmesoma alama za nyakati maana mahakamani mngeenda kuumbuka vibaya....Ila acheni haya matendo yenu kwani kiukweli yanaikera sana jamii ya WATANZANIA.

POLISI mmesoma alama za nyakati maana mahakamani mngeenda kuumbuka vibaya....Ila acheni haya matendo yenu kwani kiukweli yanaikera sana jamii ya WATANZANIA.
account_circle
rafik,David Swai.(@RafikSwai) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Mfanano wa siku ya Kuzaliwa kwako Kamanda FRV. Gaspar E. Temba Hakika Chama kinahitaji vijana makini walio na kariba ya Kamanda Temba..CHADEMA Tanzania hii ni mali inapaswa kufichwa na kulindwa kwa maslai mapana ya chama leo na kesho...

account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

POLISI mlianguka kwa AIBU baada ya kumbambikia Freeman Mbowe mashtaka ya UONGO ya UGAIDI. Na sasa DUNIA inawatazama tena kwenye hili mnalofanya kwa Boniface Jacob na Malisa GJ . Tunawasubiria mahakamani mje tuwaonyeshe mnavyoliendesha HOVYO jeshi hilo.

POLISI mlianguka kwa AIBU baada ya kumbambikia @freemanmbowetz mashtaka ya UONGO ya UGAIDI. Na sasa DUNIA inawatazama tena kwenye hili mnalofanya kwa @ExMayorUbungo na @malisa_gj1 . Tunawasubiria mahakamani mje tuwaonyeshe mnavyoliendesha HOVYO jeshi hilo.
account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Mapolisi pamoja na kutumika kwenu vibaya na watawala Mafisadi wa CCM, bado CHADEMA inaendelea kuwapigania. Ahsante sana Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mh Tundu Antiphas Lissu

account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Hivi ni kwanini mpaka Leo Police Force TZ hamjamkamata huyu MPUUZI wa UVCCM.??? Na kwanini hamjamkamata Kingu mwenye tuhuma za mauaji.??? Na badala yake mmmekimbilia kuwakamata Boniface Jacob na Malisa GJ ambao taarifa zao ni za kweli. Au mmewakata kwa sababu ni WAPINZANI.???

account_circle
Patrick John Assenga(@PatrickJAssenga) 's Twitter Profile Photo

Mh Rais Samia Suluhu hawa ni WANANCHI wa Tabata walio pembezoni mwa mto msimbazi baada ya nyumba zao kusombwa na maji ya mto huo. Kimsingi huu mto msimbazi umearibiwa zaidi na wanaochimba mchanga uku serekali ikiwatazama. Inasadikika mchanga huo unapelekwa Zanzibar .

account_circle