Sokomoko... (@mribu77) 's Twitter Profile
Sokomoko...

@mribu77

Busy

ID: 1367112868366323713

linkhttp://Chabala.co.tz calendar_today03-03-2021 14:01:33

30,30K Tweet

1,1K Takipçi

929 Takip Edilen

Sokomoko... (@mribu77) 's Twitter Profile Photo

Mnakataa ukweli kwa kisingizio Cha kuchanganya SIASA? NTOBI ni mwanasiasa ndio Ila hapo Hakuna Siasa ni Ukweli, Kwahiyo na wewe Privaldinho tuseme unachanganya na Michezo??!!

Sokomoko... (@mribu77) 's Twitter Profile Photo

Amkeni, Amkeni, Amkeni Asalam aleykum.... Kumekucha Tena kushukuru Mungu. Siku ingine tena ya kumuabudu Mungu na kuendelea na mihangaiko ya kidunia

Sokomoko... (@mribu77) 's Twitter Profile Photo

Bila hivyo hatutoboi mtaji 500,000 Bango Unaambiwa ulipie 700,000 Bado kodi ya Pango,TRA ,Service Levy,Leaeni Mziki upo mwanangu Madenge

Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Huyu Boniface Jacob ni mtu mwenye maisha mazuri sana. Jumba la kifahari,biashara na mambo mengi. Lkn anayopitia leo hii ni kutokana na kuacha kula bata na kupigania haki,usawa na maisha ya wengine. Amepigania haki za wengine na sasa ni wakati wa kupiganiwa haki yake pia.

Huyu <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> ni mtu mwenye maisha mazuri sana. Jumba la kifahari,biashara na mambo mengi.
Lkn anayopitia leo hii ni kutokana na kuacha kula bata na kupigania haki,usawa na maisha ya wengine. 
Amepigania haki za wengine na sasa ni wakati wa kupiganiwa haki yake pia.
Sokomoko... (@mribu77) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti anawaita huko ,Msije kujiunga na Vijana wenye... Tamaa ya Fedha,Pombe na Nyama za Bure.. Nafikiri Katibu atakuwa na taarifa hii