Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profileg
Martin Maranja Masese

@IAMartin_

MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |

ID:126657061

linkhttps://www.instagram.com/martinmaranjamasese?igsh=bTR1eWEzOTRqcGtj&utm_source=qr calendar_today26-03-2010 15:32:42

145,1K تغريدات

505,0K متابعون

1,5K التالية

Follow People
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

KIPARA, lini mtaanza mchakato wa kuitafuta TANGANYIKA mliyoipoteza ili irejeshe kiti chake UN? Pili, hamuoni ni wakati sahihi ZANZİBAR kuwa na kiti UMOJA wa MATAIFA kama TAIFA HURU (ambalo linaendesha SERIKALI kamili) kama ambavyo mnafanya kwa PALESTINE? Au Zanzibar siyo nchi?

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Stephen Masato Wasira amekuwa Waziri katika awamu tatu kasoro awamu mbili. Ni waziri mzoefu. Wasira amenisikitisha kuona hajawahi kukutana na kif. 5 cha Sheria Na. 2/2002 ambayo inamtambulisha ‘Mzanzibari’ katika Katiba ya Zanzibar, sehemu ya pili, ibara ya 6(1)(2). Apumzike.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Msikilize vizuri kwa utaratibu Katibu Mkuu, Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda Shekh Ponda Issa Ponda akizungumza kuhusu suala la ‘kero za Muungano’.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

. Air Tanzania ndege mbili (2) za masafa marefu, Boeing 787-7 (Dreamliner) zilikwenda (kwa mujibu wa ATCL) katika Matengenezo ya kawaida (maintenance schedule) Malaysia tangu September 2023,

Ndege hizo zina usajili wa 5H-TCG (Mt. Kilimanjaro) na 5H-TCJ (Rubondo Island). Tangu…

. @AirTanzania ndege mbili (2) za masafa marefu, Boeing 787-7 (Dreamliner) zilikwenda (kwa mujibu wa ATCL) katika Matengenezo ya kawaida (maintenance schedule) Malaysia tangu September 2023, Ndege hizo zina usajili wa 5H-TCG (Mt. Kilimanjaro) na 5H-TCJ (Rubondo Island). Tangu…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Je, wajua? Tanzania (kupitia wakala huduma za misitu-TFS) na Blue Carbon LLC (mali ya Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum) kutoka Falme ya Dubai, waliingia makubaliano uhamasishaji usimamizi endelevu wa misitu? 80% ya UAE ni Jangwa, wanakuja kuwafundisha usimamizi wa misitu. AKILI!

Ukisoma haraka unaona “MAREKANI YAIPA TZ MABOMU SITA YA MAJI”… hapana, ni ‘mankza sita ya maji’ lita 2,400. Lugha rahisi, msaada wa mapipa sita ya maji. Tumeshindwa kuchimba visima vijijini?

Lengo la msaada kutoka USA ni kuiwezesha JWTZ kusambaza maji safi kwa maeneo ya…

Ukisoma haraka unaona “MAREKANI YAIPA TZ MABOMU SITA YA MAJI”… hapana, ni ‘mankza sita ya maji’ lita 2,400. Lugha rahisi, msaada wa mapipa sita ya maji. Tumeshindwa kuchimba visima vijijini? Lengo la msaada kutoka USA ni kuiwezesha JWTZ kusambaza maji safi kwa maeneo ya…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Kuwaweka watu barabarani katika foleni kwa zaidi ya saa tatu kwamba mwenge unapita ni jambo la kipumbavu. Hamzingatii muda wa wengine kuwahi katika shughuli za uzalishaji mali, mnazingatia kufanya matambiko ya kukimbiza moto. Hapa ni daraja la Nyerere (Kigamboni), Dar es Salaam.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Shaka Hamdu Shaka ni mzaliwa wa Zanzibar. Shaka ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Morogoro hivi saaa. Lakini haiwezekani mzaliwa wa Tanganyika kuwa Mkuu wa Wilaya upande wa Zanzibar. Mzanzibari anafaidi haki na fursa pande zote mbili. Muungano wa aina hii hauna mantiki. Tunaukataa!

Kitabu cha ‘Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Chimbuko, Misingi na Maendeleo’. Kitabu kimeandikwa na Ofisi ya Makamu wa Rais - Tanzania. Kitabu hiki kinaeleza kwamba Tanganyika (sasa wameibatiza jina la Tanzania Bara) ilipata uhuru kwa kumwaga damu baada ya mapambano ya miaka…

Kaka Zitto MwamiRuyagwa Kabwe Tanganyika unayozungumza ipo wapi? Rais wa Zanzibar yupo. Rais wa Zanzibar anaongoza serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Hujisikii fahari kuipigania Tanganyika?

Tanganyika ambayo itakuwa na serikali yake kamili, serikali ambayo itasimamia masuala yote ya Tanganyika…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Mtu yule yule, radio ile ile, kipindi kile kile, watangazaji wale wale, mwaka mmoja baadae, anasahau alisema nini. Watawala aina hii wanatakiwa kupelekwa hospitali siyo ofisi za umma. (2023) RC alisema DSM huwezi kukwepa kelele, (2024) RC anasema atazishughulikia BAR za Masaki

Nilipokuwa napambania hili jambo nilionekana ‘mjuaji’ na kwamba namkosea sana waziri wa afya. Watawala bila uwepo wetu wapiga kelele, hawasikii.

Waziri wa afya Ummy Mwalimu, MP 18/03/24 aliwaita waandishi wa habari na kusema kwamba wanaokosoa maboresho ya kitita cha NHIF wanaongozwa…

Nilipokuwa napambania hili jambo nilionekana ‘mjuaji’ na kwamba namkosea sana waziri wa afya. Watawala bila uwepo wetu wapiga kelele, hawasikii. Waziri wa afya @ummymwalimu 18/03/24 aliwaita waandishi wa habari na kusema kwamba wanaokosoa maboresho ya kitita cha NHIF wanaongozwa…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Benki ya Posta Tanzania - TPB Bank Plc - Tanzania Postal Bank (sasa inajulikana kama) walitumia TZS 495 milioni kuchora hii nembo inayoonekana hapo.

Kwa mujibu wa mwaka wa fedha 2017/18, Benki ya Posta (TPB Bank Plc) ilihusika na manunuzi ya kuchapa nembo mpya ya…

Benki ya Posta Tanzania - TPB Bank Plc - Tanzania Postal Bank (sasa inajulikana kama) walitumia TZS 495 milioni kuchora hii nembo inayoonekana hapo. Kwa mujibu wa #CAGreport mwaka wa fedha 2017/18, Benki ya Posta (TPB Bank Plc) ilihusika na manunuzi ya kuchapa nembo mpya ya…
account_circle