Devota Minja(@DevotaMinja) 's Twitter Profileg
Devota Minja

@DevotaMinja

Professional journalist ,worked with ITV /Radio one 2002-2015 Former Mp Morogoro region (special seat)2015-2020. To date Chairperson of Bawacha Morogoro region.

ID:835708963748524032

calendar_today26-02-2017 04:31:58

736 Tweets

14,4K Followers

6,2K Following

CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe tayari amewasili Musoma mkoani Mara tayari kuongoza maandamano ya amani.

Tangu alfajiri ya leo na mpaka sasa mchana mvua kubwa inanyesha wilayani Musoma.


Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz tayari amewasili Musoma mkoani Mara tayari kuongoza maandamano ya amani. Tangu alfajiri ya leo na mpaka sasa mchana mvua kubwa inanyesha wilayani Musoma. #VuguvuguLaKudaiHaki #WikiYaMaandamano
account_circle
CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Makamu Mwenyekiti (CHADEMA) Bara Mhe. Tundu Antiphas Lissu Lissu akiongoza Maandamano ya Amani yanayofanyika katika Makao Makuu ya Mkoa wa Manyara yaliyopo jimbo la Babati Mjini leo ijumaa Aprili 26, 2024.

Makamu Mwenyekiti (CHADEMA) Bara Mhe. @TunduALissu Lissu akiongoza Maandamano ya Amani yanayofanyika katika Makao Makuu ya Mkoa wa Manyara yaliyopo jimbo la Babati Mjini leo ijumaa Aprili 26, 2024. #MaandamanoyaAmani
account_circle
Freeman Mbowe(@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia wakristo wote heri ya Pasaka.
Ni wakati wa kusherehekea Nguvu ya Upendo, Msamaha na Tumaini Jipya kupitia ufufuo wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Tusheherekee sikukuu hii kwa furaha na amani pamoja na familia na marafiki. Kama tunavyojua, Pasaka na ufufuo wa Yesu Kristo ni…

Nawatakia wakristo wote heri ya Pasaka. Ni wakati wa kusherehekea Nguvu ya Upendo, Msamaha na Tumaini Jipya kupitia ufufuo wa Bwana wetu Yesu Kristo. Tusheherekee sikukuu hii kwa furaha na amani pamoja na familia na marafiki. Kama tunavyojua, Pasaka na ufufuo wa Yesu Kristo ni…
account_circle
CPA Catherine Ruge (Msubhati)(@CatherineRuge) 's Twitter Profile Photo

Namshukuru Mung, jana tar 22/3/2024 nilishinda tuzo ya Ubunifu katika kuwawezesha wanawake ( Innovation in Women Empowerment) iliyotolewa na EmpowerHer Excelency Award ktk kutambua juhudi za wanawake na taasisi katika kuwawezesha wanawake kiuchumi na kijamii. 🙏 EmpowerHer

Namshukuru Mung, jana tar 22/3/2024 nilishinda tuzo ya Ubunifu katika kuwawezesha wanawake ( Innovation in Women Empowerment) iliyotolewa na EmpowerHer Excelency Award ktk kutambua juhudi za wanawake na taasisi katika kuwawezesha wanawake kiuchumi na kijamii. 🙏 @EmpowerHerIE
account_circle
CPA Catherine Ruge (Msubhati)(@CatherineRuge) 's Twitter Profile Photo

Nimekuwa nominated katika tuzo za EmpowerHer Excelence awards katika kipengele cha 'Ubunifu katika kuwawezesha wanawake' Am grateful for this nomination, its shows my efforts in empowering women are not going unnoticed. Baadaye ntwaletea namna ya ku vote, naomba mniunge mkono.

Nimekuwa nominated katika tuzo za EmpowerHer Excelence awards katika kipengele cha 'Ubunifu katika kuwawezesha wanawake' Am grateful for this nomination, its shows my efforts in empowering women are not going unnoticed. Baadaye ntwaletea namna ya ku vote, naomba mniunge mkono.
account_circle
CHADEMA Tanzania(@ChademaTz) 's Twitter Profile Photo

Maandamano yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema leo tarehe 08 Machi 2024 ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Maandamano yaliyoandaliwa na Baraza la Wanawake Chadema leo tarehe 08 Machi 2024 ikiwa ni maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. #IWD24DODOMA
account_circle
MwanzoTvPlus(@MwanzoTvPlus) 's Twitter Profile Photo

: KISHINDO CHA MBOWE KWENYE MAADHIMISHO YA WANAWAKE WA CHADEMA
Hotuba nzito ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania, Freeman Mbowe katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Wananwake Duniani ambapo OfficialBawacha Taifa wameyaadhimisha jijini .

Zaidi: youtu.be/XsmX9zg2Q68

account_circle
Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

Samahani kwa Usumbufu..!

Wamama ni wengi mno na ukumbi ni mkubwa mno,

Tumejitahidi kuwapiga picha wote kwa pamoja tumeshindwa........!

Happy BAWACHA DAY

Samahani kwa Usumbufu..! Wamama ni wengi mno na ukumbi ni mkubwa mno, Tumejitahidi kuwapiga picha wote kwa pamoja tumeshindwa........! Happy BAWACHA DAY
account_circle
John Heche(@HecheJohn) 's Twitter Profile Photo

Hongereni sana OfficialBawacha Taifa ndio maana ccm wanaogopa tume huru na katiba mpya.

Tutapambana mpaka tuvipate, ili tufanye mabadiliko ya kweli kwenye Nchi yetu.

account_circle