Charles Elias(@Charles82174480) 's Twitter Profileg
Charles Elias

@Charles82174480

Lupu tz gang

ID:1543866981685796865

calendar_today04-07-2022 07:59:42

9 Tweets

6 Followers

275 Following

Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

: Watu 174 wamefariki na 180 wamejeruhiwa kwenye vurugu zilizotokea ktk Uwanja wa Mpira baada ya Arema FC kufungwa 3-2 na Persebaya Surabaya

imesema Polisi hawakutakiwa kutumia mabomu ya Machozi katika vurugu hizo

Soma: jamii.app/129Indonesia

#INDONESIA: Watu 174 wamefariki na 180 wamejeruhiwa kwenye vurugu zilizotokea ktk Uwanja wa Mpira baada ya Arema FC kufungwa 3-2 na Persebaya Surabaya #FIFA imesema Polisi hawakutakiwa kutumia mabomu ya Machozi katika vurugu hizo Soma: jamii.app/129Indonesia #JFSports
account_circle
Mtibwa sugar fc(@Mtibwa_sugar_fc) 's Twitter Profile Photo

MWAMBA HUYU HAPA LEO UWANJANI
🆚 Mbeya City FC.
🗓 jumapili ya furaha 02|10|2022
⏱ saa 10:00 jioniii.
🏟 Manungu, Turiani. Katikati ya mashaba ya miwaaa kunatishaaa
🏆 kombe letu mwaka huu

MWAMBA HUYU HAPA LEO UWANJANI 🆚 @MbeyaCityFC 🗓 jumapili ya furaha 02|10|2022 ⏱ saa 10:00 jioniii. 🏟 Manungu, Turiani. Katikati ya mashaba ya miwaaa kunatishaaa 🏆 kombe letu mwaka huu
account_circle
Privaldinho(@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Hizo ni mechi za tokea msimu uliopita. Mara ya mwisho Yanga kufungwa kwenye ligi alifungwa na Azam Mkapa bao la Dube msimu uliopita. Tokea hapo wamecheza mechi 41 bila kupoteza twitter.com/hechejohn/stat…

account_circle
MeTL Group(@MeTL_Group) 's Twitter Profile Photo

Tumia sabuni yetu ya Mo Protector – inasafisha nguo na nguvu x2. Haichubui mikono na inaacha nguo zako zikiwa na harufu nzuri.

Sabuni Protector TunagusaMaishaYako

Tumia sabuni yetu ya Mo Protector – inasafisha nguo na nguvu x2. Haichubui mikono na inaacha nguo zako zikiwa na harufu nzuri. #Mo #MeTL #MoSabuni #MoProtector #MoTunagusaMaishaYako
account_circle