~kiss©️anga🇸🇷~(@chaggaking) 's Twitter Profileg
~kiss©️anga🇸🇷~

@chaggaking

MEDICAL...PHARM-D 💊💉

The LORD'S my shepherd,
I fear not🤞

ID:844241789682880517

calendar_today21-03-2017 17:38:22

32,5K Tweets

4,3K Followers

3,1K Following

Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

“Taarifa ya CAG ya mwaka 2021/2022 inaonesha kuwa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Wizara ya Fedha na Wizara ya Uchukuzi waliacha njia ya ushindani na kutumia njia ya Single Source katika zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Makutupora - Tabora na kuisababishia hasara

account_circle
Kenny Mmari Snr.(@KennedyMmari) 's Twitter Profile Photo

Msimu wa Kwanza, mfululizo wa nne (S01E4). Titanic imezama nusu.

Kiungo! Kiungo! Kiungo!

Jack! Jack! Jack! There is a boat!

account_circle
CxtenoJr🇹🇿(@CxtenoJR) 's Twitter Profile Photo

Nakumbuka First year nilienda kuomba Field Clouds nikaacha barua ile natoka nikamuona Gadner,nikamvamia bro sorry shikamoo blablaaa nisaidie nipate field, kaniambia Clouds Ngumu lkn Nenda Times FM kutana na Tambwe LilyOmmy mwambie mimi nimekutuma akusade Upate nafasi ya field.

MIRIAM💜(@MiriamMkanaka) 's Twitter Profile Photo

Jamaa kwenye daladala anasema yaani katika nchi ni Easy kuiongoza ni Tanzania 😂

Anaongezea Wabongo sisi ni watu wastaarabu sana tukiona kiongozi tunashoboka tunasahau na shida zetu, Anamalizia kwa kusema waulize viongozi wa Kenya wanachokipata 😂

Jamaa kwenye daladala anasema yaani katika nchi ni Easy kuiongoza ni Tanzania 😂 Anaongezea Wabongo sisi ni watu wastaarabu sana tukiona kiongozi tunashoboka tunasahau na shida zetu, Anamalizia kwa kusema waulize viongozi wa Kenya wanachokipata 😂
account_circle
Shekh Ponda Issa Ponda(@SheikhPonda) 's Twitter Profile Photo

Wagonjwa wa figo wanatozwa Sh. 400,000/600,000, kila juma katika hospitali za Serikali. Tungenunua magari ya kawaida, mapesa yatakayobaki yangenunua mashine za kutosha wagonjwa wakasafishwa figo bure kama Komoro. Si sawa kununua magari ya kifahari wakati hospitali hazina uwezo.

Madenge(@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa serikali yetu wanaamini ni haki yao kuishi luxury life kwa kodi za wananchi ila mwananchi ateseke kwa kulipa mlundikano wa mikodi, kama mnapenda hayo maisha si mjichange muishi kwa hela zenu.

account_circle
Abby striker(@Abbystriker) 's Twitter Profile Photo

From playing chandimu barefoot on the Sand pitch to competing at High performance sports on international level 🥹!! The olympic dream is still alive and I will live it!
I am so glad I did the first one with my lovely and strong partner ❤️!!

OUR SPORTS IS HYROX 🫶🏾💪🏾

From playing chandimu barefoot on the Sand pitch to competing at High performance sports on international level 🥹!! The olympic dream is still alive and I will live it! I am so glad I did the first one with my lovely and strong partner ❤️!! OUR SPORTS IS HYROX 🫶🏾💪🏾
account_circle