Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profileg
Jamii Forums

@JamiiForums

The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen Journalism

ID:49632982

linkhttp://t.me/JamiiForums calendar_today22-06-2009 13:50:07

63,8K Tweets

1,7M Followers

325 Following

Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

MARA: Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo kati yake na kaka yake

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo…

MARA: Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo kati yake na kaka yake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo…
account_circle
Jamii Check(@JamiiCheck) 's Twitter Profile Photo

Kuhakikisha Ukweli wa Taarifa kabla ya kuisambaza ni Mbinu rahisi ya kuzuia Usambazaji wa zinazoweza kuathiri Jamii

Hii hujumuisha kukagua taarifa husika kutoka vyanzo vingine vya Kuaminika, Kuzungumza na Wataalamu wa eneo husika, Kutumia Nyenzo za Uhakiki kama…

Kuhakikisha Ukweli wa Taarifa kabla ya kuisambaza ni Mbinu rahisi ya kuzuia Usambazaji wa #TaarifaPotofu zinazoweza kuathiri Jamii Hii hujumuisha kukagua taarifa husika kutoka vyanzo vingine vya Kuaminika, Kuzungumza na Wataalamu wa eneo husika, Kutumia Nyenzo za Uhakiki kama…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

TANZIA: Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia

alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi…

TANZIA: Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia #DirectorKhalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa na tatizo la Damu kuvilia kwenye Ubongo lililomsababishia kupata Kiharusi…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

UHISPANIA: Timu ya imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uhispania ( ) ikiwa imesaliwa na michezo minne, hiyo ni baada ya kushinda magoli 3-0 dhidi ya Cadiz huku ikipigika magoli 4-2 dhidi ya Girona

Real Madrid imefikisha pointi 87, Girona…

UHISPANIA: Timu ya #RealMadrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uhispania (#LaLiga) ikiwa imesaliwa na michezo minne, hiyo ni baada ya kushinda magoli 3-0 dhidi ya Cadiz huku #FCBarcelona ikipigika magoli 4-2 dhidi ya Girona Real Madrid imefikisha pointi 87, Girona…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘ ’ zinazidi kushika kasi hasa kwa timu mbili za juu na ambapo zote zimeshinda katika michezo yao ya leo Mei 4, 2024 huku zikipishana kwa pointi moja

Arsenal imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya AFC…

Mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘#PremierLeague’ zinazidi kushika kasi hasa kwa timu mbili za juu #Arsenal na #ManchesterCity ambapo zote zimeshinda katika michezo yao ya leo Mei 4, 2024 huku zikipishana kwa pointi moja Arsenal imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya AFC…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Uchambuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu wa Serikali (CAG) katika udhibiti wa gharama kwa Barabara zinazotekelezwa na TANROADS na TARURA ulibaini kuwapo kwa ziada ya gharama ya Tsh. Bilioni 66.06

Gharama hiyo ya ziada ilitokana na mabadiliko makubwa ya Miundo wakati wa…

Uchambuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu wa Serikali (CAG) katika udhibiti wa gharama kwa Barabara zinazotekelezwa na TANROADS na TARURA ulibaini kuwapo kwa ziada ya gharama ya Tsh. Bilioni 66.06 Gharama hiyo ya ziada ilitokana na mabadiliko makubwa ya Miundo wakati wa…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Katika Mjadala wa Kero katika Huduma za Afya ndani ya JamiiForums.com, mdau amelalamikia Wahudumu katika Maduka ya Dawa ya Hospitali kudai Dawa walizoandikiwa Wagonjwa hazipatikani lakini wanaweza kuzipata Moja kwa Moja Kutoka Kwao

Wadau wamehoji Wahudumu Wanatoa Wapi…

Katika Mjadala wa Kero katika Huduma za Afya ndani ya JamiiForums.com, mdau amelalamikia Wahudumu katika Maduka ya Dawa ya Hospitali kudai Dawa walizoandikiwa Wagonjwa hazipatikani lakini wanaweza kuzipata Moja kwa Moja Kutoka Kwao Wadau wamehoji Wahudumu Wanatoa Wapi…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

OBITUARY: Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital.

Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after…

OBITUARY: Former Minister of Finance and Member of Parliament for Kilosa in Morogoro region, Mustafa Haidi Mkulo has passed away while receiving treatment at Muhimbili National Hospital. Mkulo served as a Minister in the Fourth Government but was removed from his position after…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Miongoni mwa Vigezo na Masharti vya Msimu wa 4 wa 'Stories of Change' ni lazima Mshiriki awe Mwanachama kwa kujisajili JamiiForums.com

Pia, andiko libebe maono ya kibunifu kuhusu 'Tanzania Tuitakayo' yanayoweza kutekelezeka kuanzia sasa hadi Miaka 25 ijayo na liwe na…

Miongoni mwa Vigezo na Masharti vya Msimu wa 4 wa 'Stories of Change' ni lazima Mshiriki awe Mwanachama kwa kujisajili JamiiForums.com Pia, andiko libebe maono ya kibunifu kuhusu 'Tanzania Tuitakayo' yanayoweza kutekelezeka kuanzia sasa hadi Miaka 25 ijayo na liwe na…
account_circle
Jamii Check(@JamiiCheck) 's Twitter Profile Photo

Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mtandao

Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika…

Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mtandao Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa mkoani Morogoro, Mustafa Haidi Mkulo amefariki wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

Mkulo amewahi kuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya 4 lakini aliondolewa katika nafasi hiyo baada ya…

TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa zamani wa Kilosa mkoani Morogoro, Mustafa Haidi Mkulo amefariki wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mkulo amewahi kuwa Waziri katika Serikali ya Awamu ya 4 lakini aliondolewa katika nafasi hiyo baada ya…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga “HIDAYA” kuwa hadi Saa 9 Usiku kuamkia Mei 4, 2024 kilikuwa eneo la bahari takriban Kilomita 125 kutoka pwani ya Kilwa (Lindi), Kilomita 93 kutoka Pwani ya Mafia na Kilomita 128 kutoka pwani ya Dar es…

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga “HIDAYA” kuwa hadi Saa 9 Usiku kuamkia Mei 4, 2024 kilikuwa eneo la bahari takriban Kilomita 125 kutoka pwani ya Kilwa (Lindi), Kilomita 93 kutoka Pwani ya Mafia na Kilomita 128 kutoka pwani ya Dar es…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

NISHATI: Baada ya maeneo mengi Nchini kukosa Huduma ya Umeme kuanzia usiku wa kuamkia leo Mei 4, 2024, Shirika la Umeme Tanzania ( ) limesema hali hiyo imesababishwa na hitilafu kwenye Mfumo wa Gridi ya Taifa kuanzia majira ya Saa 8:40 Usiku

TANESCO imeeleza baadhi ya…

NISHATI: Baada ya maeneo mengi Nchini kukosa Huduma ya Umeme kuanzia usiku wa kuamkia leo Mei 4, 2024, Shirika la Umeme Tanzania (#TANESCO) limesema hali hiyo imesababishwa na hitilafu kwenye Mfumo wa Gridi ya Taifa kuanzia majira ya Saa 8:40 Usiku TANESCO imeeleza baadhi ya…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

TAHADHARI: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga 'HIDAYA' ambapo kinasafiri katika eneo la Bahari kikiwa na mgandamizo wa hewa wa kiasi cha 981hPa na kasi ya upepo unaofika kilomita 130 kwa saa

TMA imesema matarajio ni kwamba…

TAHADHARI: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga 'HIDAYA' ambapo kinasafiri katika eneo la Bahari kikiwa na mgandamizo wa hewa wa kiasi cha 981hPa na kasi ya upepo unaofika kilomita 130 kwa saa TMA imesema matarajio ni kwamba…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki

Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku…

Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku…
account_circle
Jamii Forums(@JamiiForums) 's Twitter Profile Photo

Mdau wa JamiiForums anasema imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema (Good Samaritan Law) ili kuokoa Maisha ya Watu wengi waliojeruhiwa hasa kwenye Ajali

Je, unakubaliana na Mdau huyu kuwa Sheria ya Msamaria mwema itasaidia kupunguza vifo vya majeruhi wa…

Mdau wa JamiiForums anasema imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema (Good Samaritan Law) ili kuokoa Maisha ya Watu wengi waliojeruhiwa hasa kwenye Ajali Je, unakubaliana na Mdau huyu kuwa Sheria ya Msamaria mwema itasaidia kupunguza vifo vya majeruhi wa…
account_circle