Barnaba Mwandenuka(@BSMwandenuka) 's Twitter Profileg
Barnaba Mwandenuka

@BSMwandenuka

👉ACTIVIST AND HUMAN RIGHTS DEFENDER
#Malafyale #ThePeoplesVoice

ID:1153428601867513856

linkhttp://chadema.or.tz calendar_today22-07-2019 22:16:23

51,3K Tweets

8,0K Followers

1,9K Following

Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profile Photo

Asante Mungu kwa kutupa baraka hii kubwa ya Baby Kylie kwenye maisha yetu, tunakurudishia sifa na utukufu.🙏❤️💐

Asante Mungu kwa kutupa baraka hii kubwa ya Baby Kylie kwenye maisha yetu, tunakurudishia sifa na utukufu.🙏❤️💐
account_circle
Abdul-Aziz Carter(@aziz_carter) 's Twitter Profile Photo

Nina FURAHA KUBWA kuona CHASO na CHASO Alumni kutoka UDSM ( University of Dar es Salaam ) wakigombea na kushinda nafasi mbalimbali za Uongozi ndani ya chama chao ( CHADEMA Tanzania ),
Emmy J² & Ntele Bh
We're my political mentors nikiwa 1st year UDSM.

Nina FURAHA KUBWA kuona CHASO na CHASO Alumni kutoka UDSM ( @UdsmOfficial ) wakigombea na kushinda nafasi mbalimbali za Uongozi ndani ya chama chao ( @ChademaTz ), @Emanuela_Andrew & @ntele_bh We're my political mentors nikiwa 1st year UDSM.
account_circle
Msigwa. J. Mpenda.(@MsigwaMpenda) 's Twitter Profile Photo

Kesho tarehe 5 Aprili 2024, saa tano kamili asubuhi Bavicha tutazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Dar es salaam. Mzungumzaji atakuwa mwenyekiti Mhe. John Pambalu. Waandishi wote mnakaribishwa.

Kesho tarehe 5 Aprili 2024, saa tano kamili asubuhi Bavicha tutazungumza na watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Dar es salaam. Mzungumzaji atakuwa mwenyekiti Mhe. @John_Pambalu. Waandishi wote mnakaribishwa.
account_circle
0ka0ka(@OkaHundred100) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 09/03/2024 nilipata bahati ya kushiriki kwenye jukwaa la , baada ya kupata chakula na busara nyingi, pia nilipata wasaa wa kuwaalika wana Ugali elimu kushiriki katika yetu.
Nashukuru mzee wangu Lucas E. Malembo kwa mualiko 🙏.

kwaAfya

Tarehe 09/03/2024 nilipata bahati ya kushiriki kwenye jukwaa la #UgaliElimu, baada ya kupata chakula na busara nyingi, pia nilipata wasaa wa kuwaalika wana Ugali elimu kushiriki katika #IFMCharityAsanteTour yetu. Nashukuru mzee wangu @MalemboLE kwa mualiko 🙏. #UgaliElimukwaAfya
account_circle
Barnaba Mwandenuka(@BSMwandenuka) 's Twitter Profile Photo

Takwimu pia zilizofanywa na NMIR zinaonesha asilimia 60% ya wasichana hawana uwezo wa kumudu gharama za pedi.
Sababu kubwa ni hali duni ya maisha za wazazi wengi wa kitanzania kufikia hatua ya kushindwa kuwanunulia watoto wao pedi. - Sheila Mchamba Mkurugenzi Nuru ya Binti.

Takwimu pia zilizofanywa na NMIR zinaonesha asilimia 60% ya wasichana hawana uwezo wa kumudu gharama za pedi. Sababu kubwa ni hali duni ya maisha za wazazi wengi wa kitanzania kufikia hatua ya kushindwa kuwanunulia watoto wao pedi. - @SheilaMchamba Mkurugenzi Nuru ya Binti.

NURU YA BINTI(@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mabadiliko ya tabia nchi ni nini!?
Kwanza kabisa Tabianchi ni hali ya hewa ya eneo fulani ambayo inapatikana kwa kutafuta wastani wake kwa muda mrefu. Yaani, kwa mfano, ukiwa Dar es Salaam, au ukanda wote huu wa pwani, inajulikana kwamba ni eneo ambalo lina joto japokuwa kuna ..

Mabadiliko ya tabia nchi ni nini!? Kwanza kabisa Tabianchi ni hali ya hewa ya eneo fulani ambayo inapatikana kwa kutafuta wastani wake kwa muda mrefu. Yaani, kwa mfano, ukiwa Dar es Salaam, au ukanda wote huu wa pwani, inajulikana kwamba ni eneo ambalo lina joto japokuwa kuna ..
account_circle
Sheila Mchamba(@SheilaMchamba) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo March 6, 2024. Nikiwa na na Rais wa Simba Mo Dewji ambae alikuwa mgeni wa heshima Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani
Iliyofanyika AKEMI - REVOLVING RESTAURANT

Mapema leo March 6, 2024. Nikiwa na na Rais wa Simba Mo Dewji ambae alikuwa mgeni wa heshima Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani Iliyofanyika AKEMI - REVOLVING RESTAURANT
account_circle
Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Mahakama ya Upeo ya Marekani ambayo ndiyo ya juu zaidi Imeamua Donald Trump asiondolewe kwenye Kura za maoni za kuelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa Nchi hiyo na hivyo aendelee na Mchakato wa Kuusaka Urais wa USA.Baada ya taarifa hii Trump amesema “Huu ni Ushindi Mkubwa kwa Marekani”