NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile
NURU YA BINTI

@nuruyabint

TUNALINDA MASLAHI YA BINTI BILA KUSAHAU MTOTO WA KIUME

ID: 1236387884715970565

calendar_today07-03-2020 20:27:12

30 Tweet

1,1K Followers

183 Following

NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa Sekretariati ya CHAUMMA Taifa na Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma, Edward Kinabo (kushoto), akimkabidhi Ilani ya CHAUMMA 2025 - 2030 nguli wa Tasnia ya Habari, Mzee Jenerali Ulimwengu, katika Ofisi ya chombo cha habari " The Chanzo" jijini Dar-es-Salaam

Katibu wa Sekretariati ya CHAUMMA Taifa na Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma, Edward Kinabo (kushoto), akimkabidhi Ilani ya CHAUMMA 2025 - 2030 nguli wa Tasnia ya Habari, Mzee Jenerali Ulimwengu,  katika Ofisi ya chombo cha habari " The Chanzo" jijini Dar-es-Salaam
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Ubunge kupitia Chaumma Ndg. Haji Abeid Haji ameendelea na Kampeni za nyumba kwa nyumba (Mobile Campain) Shehia ya Gamba, Jimbo la Mkwajuni, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Leo October 18, 2025. #UwakilishiMakini #Mwalim2530

Mgombea Ubunge kupitia Chaumma Ndg. Haji Abeid Haji ameendelea na Kampeni za nyumba kwa nyumba (Mobile Campain) Shehia ya  Gamba, Jimbo la Mkwajuni,  Mkoa wa Kaskazini Unguja. Leo October 18, 2025.
#UwakilishiMakini 
#Mwalim2530
CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Leo October 19,2025 Ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa wananchi wa Jimbo la Kivule,Jijini Dar Es salaam. Mwalimu akiambatana na Mgombea ubunge Jimbo hilo Mheshimiwa

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Leo October 19,2025 Ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa wananchi wa Jimbo la Kivule,Jijini Dar Es salaam.

Mwalimu akiambatana na Mgombea ubunge Jimbo hilo Mheshimiwa
CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Uraisi wa chama cha Ukombozi wa umma (Chaumma) Mh.Salum Mwalim Ameendelea na Kampeni ya kuomba ridhaa wananchi wa Morogoro mikutano huo uliofanyika Soko la Kingalu,Jimbo la Morogoro Mjini. Mwalim,amesema serikali iliyopo madarakani imeshindwa kutumia rasilimali zilizopo

Mgombea Uraisi wa  chama cha Ukombozi wa umma (Chaumma) Mh.Salum Mwalim Ameendelea na Kampeni ya kuomba ridhaa wananchi wa Morogoro mikutano huo uliofanyika Soko la Kingalu,Jimbo la Morogoro Mjini.

Mwalim,amesema serikali iliyopo madarakani imeshindwa kutumia rasilimali zilizopo
CHAUMMA Tanzania (@chaummat) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally Moza Ally amesema akichaguliwa na wananchi wa jimbo hilo akaenda bungeni atakuwa mbunge mwenye kuwasemea wananchi wake kwa kujenga hoja badala ya kuwa mbunge wa kukubali kila kitu. Moza

NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Ubunge kupitia Chaumma Ndg. Haji Abeid Haji ameendelea na Kampeni za nyumba kwa nyumba (Mobile Campain) Shehia ya Kinyasini, Jimbo la Mkwajuni, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Leo October 21, 2025. #UwakilishiMakini #Mwalim2530

Mgombea Ubunge kupitia Chaumma Ndg. Haji Abeid Haji ameendelea na Kampeni za nyumba kwa nyumba (Mobile Campain) Shehia ya  Kinyasini, Jimbo la Mkwajuni,  Mkoa wa Kaskazini Unguja. Leo October 21, 2025.
#UwakilishiMakini 
#Mwalim2530
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA Mh. Salum Mwalim. Ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa Wananchi ngh’ambaku, Jimbo Mvumi , Jijini Dodoma. Leo October 21, 2025 #UwakilishiMakini #Chaumma2025

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA Mh. Salum Mwalim. Ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa kwa Wananchi ngh’ambaku, Jimbo Mvumi , Jijini Dodoma. Leo October 21, 2025
#UwakilishiMakini
#Chaumma2025
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA Mhe. Salum Mwalim Ameendelea na Kampeni zake Za kuomba ridhaa kwa wananchi wa Jimbo la Dodoma mjini, Jijini Dodoma. Leo October 21, 2025. #UwakilishiMakini #Chaumma2026

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA Mhe. Salum Mwalim  Ameendelea na Kampeni zake Za kuomba ridhaa kwa wananchi wa Jimbo la Dodoma mjini, Jijini Dodoma. Leo October 21, 2025.

#UwakilishiMakini
#Chaumma2026
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA Mhe. Salum Mwalim Ameendelea na Kampeni zake za kuomba ridhaa kwa wananchi wa Jimbo la Tabora , Mkoani Tabora. Leo October 22, 2025. #UwakilishiMakini #Chaumma2026

Mgombea Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHAUMMA Mhe. Salum Mwalim  Ameendelea na Kampeni zake za kuomba ridhaa kwa wananchi wa Jimbo la Tabora , Mkoani Tabora. Leo October 22, 2025.

#UwakilishiMakini
#Chaumma2026
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Uraisi kupitia CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Leo October 24,2025 Ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa wananchi wa Kata Sisiyo, Jimbo la Maswa Magharibi Mkoani Simiyu akiambatana na Mgombea Ubunge Jimbo Maswa Magharibi Ndg. John Shibuda. #UwakilishiMakini #Chaumma2530

Mgombea Uraisi kupitia CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Leo October 24,2025 Ameendelea na Kampeni za kuomba ridhaa wananchi wa Kata  Sisiyo, Jimbo la Maswa Magharibi Mkoani Simiyu akiambatana na Mgombea Ubunge Jimbo Maswa Magharibi  Ndg. John Shibuda. 
#UwakilishiMakini 
#Chaumma2530
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Urais Kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh. Salum Mwalim. Ameendelea kampeni za kuomba ridhaa kwa watanzania ambapo akiwa Malampaka,Jimbo la Maswa Magharibi, Mkoani Simiyu. Leo October 24, 2025. #UwakilishiMakini #Chaumma2530

Mgombea Urais Kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh. Salum Mwalim. Ameendelea kampeni za kuomba ridhaa kwa watanzania ambapo akiwa Malampaka,Jimbo la Maswa Magharibi, Mkoani Simiyu. Leo October 24, 2025.
#UwakilishiMakini 
#Chaumma2530
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Urais kupitia CHAUMMA Mh. Salum Mwalim Ameendelea kuomba ridhaa kwa wananchi wa Mzunguko,Jimbo la Maswa Magharibi Mkoani Simiyu. Leo October 24, 2025. #UwakilishiMakini #Chaumma2530

Mgombea Urais kupitia CHAUMMA Mh. Salum Mwalim   Ameendelea kuomba ridhaa kwa wananchi wa Mzunguko,Jimbo la Maswa Magharibi Mkoani Simiyu. Leo October 24, 2025.
#UwakilishiMakini 
#Chaumma2530
NURU YA BINTI (@nuruyabint) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni Moza Ally akipita kwenye kata za Tandale,Ndugumbi,Mzimuni,Hananasifu,Kinondoni,Mwananyamala,Makumbusho,Kijitonyama,Kigogo na Magomeni kuhimiza Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya Tarehe 29/10/2025 Kumpigia kura kwa wingi

Mgombea Ubunge wa jimbo la Kinondoni <a href="/MozaAlly_/">Moza Ally</a> akipita kwenye kata za Tandale,Ndugumbi,Mzimuni,Hananasifu,Kinondoni,Mwananyamala,Makumbusho,Kijitonyama,Kigogo na Magomeni kuhimiza Wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya Tarehe 29/10/2025 Kumpigia kura kwa wingi