Classic (@zeelavpn12) 's Twitter Profile
Classic

@zeelavpn12

ID: 1398906772543488001

calendar_today30-05-2021 07:39:31

3,3K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

FELIX JASON (@iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

"Mkataba ni siri lakini niseme tu, Azizi KI ndiye mchezaji ghali zaidi ndani ya Yanga Sc" ➡️ Eng Hersi Said (Rais wa Yanga) akijibu swali kuhusu mchezaji ghali zaidi ndani Yanga. Via Wasafi Fm

"Mkataba ni siri lakini niseme tu, Azizi KI ndiye mchezaji ghali zaidi ndani ya Yanga Sc"

➡️ Eng Hersi Said (Rais wa Yanga) akijibu swali kuhusu mchezaji ghali zaidi ndani Yanga.

Via Wasafi Fm
Mchizi chizi kichizi (@mchizidamas) 's Twitter Profile Photo

Jana yangu ilibeba matumaini ya leo yangu,Leo yangu haionyeshi uhalisia wa kesho yangu natamani kukata tamaa ila nagundua nyuma yupo Mama ananitizama kama mtoto na Baba , Eeh Mwenyezi Mungu najua utanipa kwa wakati sahihi ila nifungulie milango ya fursa kwa ajili Mama yangu❤️🙏🏻

SAMALEN TV (@samalentv) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu nasikitika sana kupotelewa na account yangu official mliyokuwa mnaifahamu kama Malkia Nyuki 👑 naomba tukiendelea kutafuta namna ya kuirudisha account yangu mnifollow na ku repost kwenye account hii mpya 😭😭😭

Ndugu zangu nasikitika sana kupotelewa na account yangu official mliyokuwa mnaifahamu kama Malkia Nyuki 👑 naomba tukiendelea kutafuta namna ya kuirudisha account yangu mnifollow na ku repost kwenye account hii mpya 😭😭😭
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Watekaji wanapata jeuri ya kufanya UTEKAJI kwasababu bado wanapata misaa kutoka nje. Nampongeza Mdude Chadema amewaandikia mashirika ya nje yanayotoa misaada, kusitisha mara moja misaada hiyo maana walengwa hatupo salama. WANANCHI WAPO MATEKANI NA JESHI LA POLISI LINAHUSIKA

Watekaji wanapata jeuri ya kufanya UTEKAJI kwasababu bado wanapata misaa kutoka nje.

Nampongeza Mdude Chadema  amewaandikia mashirika ya nje yanayotoa misaada, kusitisha mara moja misaada hiyo maana walengwa hatupo salama.

WANANCHI WAPO MATEKANI NA JESHI LA POLISI LINAHUSIKA
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hata kesho nikipotea JESHI LA POLISI TANZANIA LINAHUSIKA. Police Force TZ Hawa ndio walioniteka mara ya kwanza 23/6/2024, walitaka waniue kwa kunipiga RISASI YA KICHWA MBUGA KUBWA YA HUKO MKOANI KATAVI IKASHINDIKANA. HII TWEET MUITUMIE KUWASHTAKI HATA NISIPOKUWEPO.🤝

ASTRA (@tzastra2014) 's Twitter Profile Photo

Taarifa za SATIVA17 kwa Mafwele alizitoa BEN MPORIPORI pia Mafwele ndo anawashikilia akina SOKA na wenzake ! Ameshtuka kuona kajulikana msipofanya jambo leo au Kesho wanauwawa na wamepanga kuwatupa Kigamboni si ununio! Maana anahisi watasema kila kitu juu yake

Venga (@capitanpapilon) 's Twitter Profile Photo

TUMSAIDIE MWANA X FAMILIA MWENZETU ALIYEPATA AJALI JUZI USIKU Namba yake; 0693017707 Jina: LUCKY MWAKABENGA X FAMILIA TUMSHIKE MKONO MWENZETU. Nonobanks ❤️

TUMSAIDIE MWANA X FAMILIA MWENZETU ALIYEPATA AJALI JUZI USIKU

Namba yake; 0693017707
Jina: LUCKY MWAKABENGA

X FAMILIA TUMSHIKE MKONO MWENZETU.

Nonobanks ❤️
Gomeez (@gomeezmarketer) 's Twitter Profile Photo

SAMIA MUST GO HAKUNA KUPEPESA MACHO. Hayo maandamano nitapush kwa akili zangu zote, nguvu zangu zote Mungu nisaidie. Gen z lets repost😂 ( SATIVA17) Naungana na Sativa kwa #nguvu zangu zote na akili zangu zote. #samiaMustGo

SAMIA MUST GO

HAKUNA KUPEPESA MACHO.

Hayo maandamano nitapush kwa akili zangu zote, nguvu zangu zote Mungu nisaidie.

Gen z lets repost😂 ( SATIVA17)

Naungana na Sativa kwa #nguvu zangu zote na akili zangu zote.

#samiaMustGo
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wewe mzee miaka 40+ unaua VIJANA wadogo utazani wewe utafika 2099. Umeteka vijana wenzetu, familia zao zinalia kila siku hazijui kama hata hao watoto wao wapo au wamekufa. Unasumbua mama za watu kuzurura kwenye mapolisi yenu yenye mapokezi mabovu. Unafanya wazazi wetu waingie

Wewe mzee miaka 40+ unaua VIJANA wadogo utazani wewe utafika 2099.

Umeteka vijana wenzetu, familia zao zinalia kila siku hazijui kama hata hao watoto wao wapo au wamekufa.

Unasumbua mama za watu kuzurura kwenye mapolisi yenu yenye mapokezi mabovu.

Unafanya wazazi wetu waingie
Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

UNAPOJIKUBALI mwenyewe, utagundua kuwa huhitaji tena wengine ili wakupatie furaha yako. Kuridhika na utimilifu wa kweli kunaweza tu kutoka ndani. Tunapojifunza kujipenda na kujithamini jinsi tulivyo, tunajifungua kutoka kwenye hitaji la kuthibitishwa au kupokea idhini kutoka nje

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Licha ya kutekwa na kuumizwa juu ya Harakati zake anazofanya kupitia muziki,Hakuchoka Sasa anataka Kuongea na mama Apewe retweet 1000

Licha ya kutekwa na kuumizwa juu ya Harakati zake anazofanya kupitia muziki,Hakuchoka Sasa anataka Kuongea na mama

Apewe retweet 1000
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Ndg Dunia🌍 tangia jana saa alipotoa Taarifa ya kuvamiwa na watu asiowajua hadi sasa hajapost wala hatujapata taarifa ya nini kiliendelea kwake. Alipokuwa alikuwa na watoto wake 03 na alipigwa block kutomove popote. Kila mtanzania anayechukia utekaji repost hii tujue

Ndg Dunia🌍 tangia jana saa alipotoa Taarifa ya kuvamiwa na watu asiowajua hadi sasa hajapost wala hatujapata taarifa ya nini kiliendelea kwake. Alipokuwa alikuwa na watoto wake 03 na alipigwa block kutomove popote.

Kila mtanzania anayechukia utekaji repost hii tujue