Mpãtë Bízzy☆ (@yusuph_mpate) 's Twitter Profile
Mpãtë Bízzy☆

@yusuph_mpate

Nothing shakes the smiling heart✨

ID: 1426284867462045702

calendar_today13-08-2021 20:50:13

7,7K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Mpãtë Bízzy☆ (@yusuph_mpate) 's Twitter Profile Photo

Ishi miaka mingi Shem kama shem, mwanang sana, bloodline... Uzuri ukoo wenu wote mna minyama, ya dada ako Ashura ipo nyuma sasa😂😂.... Lazima nioe pale😌

𝐊𝐚𝐊𝐚😼♡ (@boeshaby) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐚𝐦𝐚, 𝐖𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐔𝐤𝐢𝐦𝐰𝐚𝐦𝐛𝐢𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨 𝐌𝐚𝐨𝐯𝐮 𝐲𝐚 𝐁𝐚𝐛𝐚 𝐀𝐤𝐞.. 𝐁𝐚𝐬𝐢 𝐔𝐬𝐢𝐬𝐚𝐡𝐚𝐮 𝐊𝐮𝐦𝐰𝐚𝐦𝐛𝐢𝐚 𝐌𝐚𝐨𝐯𝐮 𝐘𝐚𝐤𝐨 𝐀𝐦𝐛𝐚𝐲𝐨 𝐌𝐦𝐞𝐨 𝐀𝐧𝐚𝐭𝐞𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐍𝐚𝐲𝐨 𝐊𝐢𝐟𝐮𝐚𝐧𝐢.. 💔✍️🏿

𝐌𝐚𝐦𝐚, 𝐖𝐚𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐔𝐤𝐢𝐦𝐰𝐚𝐦𝐛𝐢𝐚 𝐌𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨 𝐌𝐚𝐨𝐯𝐮 𝐲𝐚 𝐁𝐚𝐛𝐚 𝐀𝐤𝐞.. 𝐁𝐚𝐬𝐢 𝐔𝐬𝐢𝐬𝐚𝐡𝐚𝐮 𝐊𝐮𝐦𝐰𝐚𝐦𝐛𝐢𝐚 𝐌𝐚𝐨𝐯𝐮 𝐘𝐚𝐤𝐨 𝐀𝐦𝐛𝐚𝐲𝐨 𝐌𝐦𝐞𝐨 𝐀𝐧𝐚𝐭𝐞𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐍𝐚𝐲𝐨 𝐊𝐢𝐟𝐮𝐚𝐧𝐢.. 💔✍️🏿
Mpãtë Bízzy☆ (@yusuph_mpate) 's Twitter Profile Photo

Critic CarolNdosi Godbless E.J. Lema Kilichowachanganya weng ni kujarb kutafta maana ya "mugging" peke ake uko gugo😂😂 ila mean-mugging ni neno moja (not offical: slang) linaloelezea facial look au expression ambayo inatishia (angry, intimidating, irritating, judgmental..) na hicho ndicho Carol amesema alimaanisha

Mpãtë Bízzy☆ (@yusuph_mpate) 's Twitter Profile Photo

Iam Babbuur. @0505jayden Iraq awapo sawa kabisa, lakini I wish izi kelele tunazopiga kuhusu Iraq tungezihamishia bongo. Iyo sheria apo chin👇 ipo na inaishi for ages, despite the fights ya watu kama Rebecca Gyumi kuipinga. sema ss uwaga tunadeal na matatizo ya wenzetu tu😂... au miaka 15 analika fresh😂

<a href="/kazi1_mzee/">Iam Babbuur.</a> @0505jayden Iraq awapo sawa kabisa, lakini I wish izi kelele  tunazopiga kuhusu Iraq tungezihamishia bongo. Iyo sheria apo chin👇 ipo na inaishi for ages, despite the fights ya watu kama Rebecca Gyumi kuipinga. sema ss uwaga tunadeal na matatizo ya wenzetu tu😂... au miaka 15 analika fresh😂
Mpãtë Bízzy☆ (@yusuph_mpate) 's Twitter Profile Photo

Jayleen 💞 "Nikishika mic nakalisha tembo, af bebe mkali kama Naomi Campbell, uwezi kuniua kwa kunitupa kwenye vishimo vya omari nyembo..." Sema ile ngoma "exclusive interview" kila mstari ni my favorite😂

Ernest bigboy (@ernest_bigboy) 's Twitter Profile Photo

Let’s talk about real 🎙 itakuwa live kwenye platforms za mitando ya kijamii✅ Host: Ernest bigboy Guests: Matweep wote na familia ya X humu ntawapa nafasi ya kuja kubariki hiki nachokifanya na mtatoa madini yenu pia. New office: Gen Z podcast . RT ❤️🙏 Let’s talk about real

Let’s talk about real 🎙 itakuwa live kwenye platforms za mitando ya kijamii✅
Host: Ernest bigboy 
Guests: Matweep wote na familia ya X humu ntawapa nafasi ya kuja kubariki hiki nachokifanya na mtatoa madini yenu pia.
New office: Gen Z podcast . RT ❤️🙏

Let’s talk about real
Fine girl💞 (@mirrykira) 's Twitter Profile Photo

IJUE SHERIA HI kwa mjibu wa Sheria ya fidia ya wafanyakazi sura ya 263, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2015, mfanyakazi anahaki ya kulipwa fidia kwa ajari, ulemavu, majeraha ya kudumu , kifo au magonjwa aliyopata kutokan na kazi au kutoka sehemu ya kazi📌

IJUE SHERIA HI
kwa mjibu wa Sheria ya fidia ya wafanyakazi sura ya 263, iliyofanyiwa marejeo mwaka 2015, mfanyakazi anahaki ya kulipwa fidia kwa ajari, ulemavu, majeraha ya kudumu , kifo au magonjwa  aliyopata kutokan na kazi au kutoka sehemu ya kazi📌
Mpãtë Bízzy☆ (@yusuph_mpate) 's Twitter Profile Photo

Tukiachana na michongo yako ya "jini mkata kamba" we ni mtu na nusu mwanang😂😂 Happiest Birthday to the friend who gat such a warm vibe and a caring heart🎂✨

Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Dullah: Babe leo unipigie mapema kabla ya Saa 3 usiku Aisha: Utakuwa na Mala*y zako eenh? Dullah:Hapana Babe nitakuwa naHost Space ya Wanangu 99 Aisha: Ole wako uwe unanidanganya Dullah: Waulize hata wana X l, Taarifa wanayo, MANDEVU atakuwepo, GOLIGANI atakuwepo na RAPCHA

Dullah: Babe leo unipigie mapema kabla ya Saa 3 usiku 

Aisha: Utakuwa na Mala*y zako eenh?

Dullah:Hapana Babe nitakuwa naHost Space ya Wanangu 99

Aisha: Ole wako uwe unanidanganya

Dullah: Waulize hata wana X l, Taarifa wanayo, MANDEVU atakuwepo, GOLIGANI atakuwepo na RAPCHA
Ms_Frida💎 (@famworld2025) 's Twitter Profile Photo

To the People who their Mothers are Already in Heaven 🕊️🕯️💔😩our Mothers are still your Mothers, Happy Mother's day❤️😍🙏