Mpãtë Bízzy☆
@yusuph_mpate
Nothing shakes the smiling heart✨
ID: 1426284867462045702
13-08-2021 20:50:13
7,7K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following
Critic CarolNdosi Godbless E.J. Lema Kilichowachanganya weng ni kujarb kutafta maana ya "mugging" peke ake uko gugo😂😂 ila mean-mugging ni neno moja (not offical: slang) linaloelezea facial look au expression ambayo inatishia (angry, intimidating, irritating, judgmental..) na hicho ndicho Carol amesema alimaanisha
Iam Babbuur. @0505jayden Iraq awapo sawa kabisa, lakini I wish izi kelele tunazopiga kuhusu Iraq tungezihamishia bongo. Iyo sheria apo chin👇 ipo na inaishi for ages, despite the fights ya watu kama Rebecca Gyumi kuipinga. sema ss uwaga tunadeal na matatizo ya wenzetu tu😂... au miaka 15 analika fresh😂
Karibuni ndugu zangu tuwahudumie Mr @1hans__ Mpãtë Bízzy☆ Adventure-360 nawengine wengi naombeni repost zenu nisije nikarudi kijijin ndugu yenu😃😃