
Yericko Nyerere
@yerickonyereret
5 Awards-Winning Best AUTHOR of the Year AFRICA 2023/2024 and 2024/2025 | Intelligence and Security Analyst | MNA of CHADEMA Party| CEO. YECCO GROUP LTD.
ID: 286623632
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.dautechnology.yericko 23-04-2011 10:55:37
75,75K Tweet
262,262K Takipçi
4,4K Takip Edilen

Hotuba niliyotoa leo Arusha ni tunu kwa waasisi wa Chadema Tanzania na enzi kwa waliouwawa katika mapambano ya haki. Pia nimetoa mwito kwa wanaharakati na nimetoa ujumbe kwa Rais Samia Suluhu Uwanja wa Soko Kuu niliugeuza #BungeLaWananchi kuwezesha #SautiYaWatu kusikika na kura za











Yericko Nyerere Nilifurahi kuona jinsi bodaboda wanavyotii sheria hapo Kigali. Sijui sisi tunashindwa nini!


Mh Freeman Mbowe, Sisi vijana wako watiifu uliyetulea na kutufundisha siasa na hesabu za nera, HATUTAKUSALITI KAMWE!, Tutabaki watiifu kwako tukiamini wewe ni kiongozi bora na mbeba maono wetu, tutalinda heshima na urithi wako popote! Endelea na mapumziko ya likizo yako ya





