Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID: 3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

6,6K Tweet

237,237K Followers

135 Following

BMH DODOMA (@bmh_dodoma) 's Twitter Profile Photo

Bodi ya wadhamini, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa inakukaribisha Mhe. Moustadroine Abdou Spika wa Bunge la Visiwa vya Comoro

Bodi ya wadhamini, Menejimenti na Watumishi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa inakukaribisha Mhe. Moustadroine Abdou Spika wa Bunge la Visiwa vya Comoro
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-AFRO), Dkt. Faustine Ndugulile Faustine Ndugulile , leo Septemba 3, 2024, akiwa Bungeni Dodoma, ametoa pongezi na shukran kwa viongozi mbalimbali, akiwemo Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, kwa kushiriki katika

Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

SPIKA WA COMORO, MHE. MOUSTADROINE ABDOU, AFURAHIA HUDUMA ZA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA Na WAF, Dodoma Spika wa Bunge la Visiwa vya Comoro, Mhe. Moustadroine Abdou, amefurahishwa na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Kanda ya Benjamin Mkapa, kwa kuwa na huduma bora na

SPIKA WA COMORO, MHE. MOUSTADROINE ABDOU, AFURAHIA HUDUMA ZA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Na WAF, Dodoma 

Spika wa Bunge la Visiwa vya Comoro, Mhe. Moustadroine Abdou, amefurahishwa na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Kanda ya Benjamin Mkapa, kwa kuwa na huduma bora na
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Septemba 3, 2024 amekabidhi vifaa vya studio vitakavyosaidia Kitengo cha Mawasiliano na Elimu ya Afya kwa Umma kufanya kazi kwa ufanisi zaidi katika kuhabarisha umma kuhusu taarifa mbalimbali za maendeleo ya Sekta ya Afya nchini pamoja na

Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea na ujenzi wa jengo jipya la Ubora wa Saratani katika hospitali ya Benjamini Mkapa ambalo linaelezwa hadi kukamilika kwake litakuwa na uwezo wakutoa huduma za matibabu ya saratani (kansa) ambazo matibabu yake yangemhitaji mgonjwa kwenda

Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

BILIONI 21.1 KUNUNUA VIFAA TIBA KUBORESHA HUDUMA ZA UZAZI Na WAF - Dodoma, Bungeni Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 21.1 kwa ajili ya kununua vifaa tiba vitakavyowezesha kuboresha huduma za uzazi kwa akina mama wakiwemo wenye ulemavu katika

BILIONI 21.1 KUNUNUA VIFAA TIBA KUBORESHA HUDUMA ZA UZAZI

Na WAF - Dodoma, Bungeni

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 21.1 kwa ajili ya kununua vifaa tiba vitakavyowezesha kuboresha huduma za uzazi kwa akina mama wakiwemo wenye ulemavu katika
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

NGO ZA AFYA ZINGATIENI VIPAUMBELE VYA SERIKALI Na WAF, DODOMA Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayojihusisha na utoaji wa huduma katika sekta ya afya nchini yametakiwa kuwekeza nguvu kwenye vipambele vya serikali ikiwemo suala la bima ya afya kwa wote pamoja na uboreshaji wa

NGO ZA AFYA ZINGATIENI VIPAUMBELE VYA SERIKALI 

Na WAF, DODOMA

Mashirika yasiyo ya kiserikali  yanayojihusisha na utoaji wa huduma katika sekta ya afya nchini yametakiwa kuwekeza nguvu kwenye vipambele vya serikali ikiwemo suala la bima ya afya kwa wote pamoja na uboreshaji wa
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

HADI NOVEMBA 10 MIFUMO YOTE YA AFYA ISOMANE KURAHISISHA HUDUMA ZA TIBA KWA WAGONJWA Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametoa maelekezo kwa Idara ya Tiba Wizara ya Afya kuhakikisha wanasimamia mifumo yote ya Afya isomana ili kurahisisha huduma za Tiba kwa

HADI NOVEMBA 10 MIFUMO YOTE YA AFYA ISOMANE KURAHISISHA HUDUMA ZA TIBA KWA WAGONJWA

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametoa maelekezo kwa Idara ya Tiba Wizara ya Afya kuhakikisha wanasimamia mifumo yote ya Afya isomana ili kurahisisha huduma za Tiba kwa
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu leo Septemba 4, 2024 amekutana na wajumbe kutoka Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa shirika hilo nchini Manshik Shin na kujadiliana ajenda zinazolenga kupunguza vifo vya wanawake na

TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA AFUA ZA KINGA KUKABILIANA NA MPOX Na WAF, Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kuchukua hatua za kuimarisha zaidi afua za kinga na utayari wa kukabiliana na ugonjwa wa Mpox endapo ugonjwa

TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA AFUA ZA KINGA KUKABILIANA NA MPOX

Na WAF, Dodoma

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kuchukua hatua za kuimarisha zaidi afua za kinga na utayari wa kukabiliana na ugonjwa wa Mpox endapo ugonjwa
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb), na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel (Mb) Bungeni leo Septemba 5, 2024 ambapo wameshiriki kwenye zoezi la uchaguzi wa wagombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.

BMH YAMUAGA MTOTO WA 14 KUPONA SELIMUNDU Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imemuaga Faith Mwinula (9), ambaye ni mtoto wa kumi na nne kupona ugonjwa wa selimundu baada ya kupandikizwa uloto. Ugonjwa wa Selimundu ni ugonjwa wa kuzaliwa nao kutokana na kuurithi kutoka kwa wazazi

BMH YAMUAGA MTOTO WA 14 KUPONA SELIMUNDU

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imemuaga Faith Mwinula (9), ambaye ni mtoto wa kumi na nne kupona ugonjwa wa selimundu baada ya kupandikizwa uloto.

Ugonjwa wa Selimundu ni ugonjwa wa kuzaliwa nao kutokana na kuurithi kutoka kwa wazazi
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TUJIPANGE KUENDANA NA KASI YA MABADILIKO SEKTA YA AFYA Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenister Mhagama amelitaka Baraza la Madaktari Tanganyika kujipanga zaidi ili kuendana na kasi ya mabadiliko makubwa ndani ya Sekta ya Afya yanayotokea na uongozi mahiri wa Rais Dkt.

TUJIPANGE KUENDANA NA KASI YA MABADILIKO SEKTA YA AFYA

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Jenister Mhagama amelitaka Baraza la Madaktari Tanganyika kujipanga zaidi ili kuendana na kasi ya mabadiliko makubwa ndani ya Sekta ya Afya yanayotokea na uongozi mahiri wa Rais Dkt.
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

ONGEZENI KASI YA UTOAJI WA HUDUMA ZA UUGUZI NA UKUNGA Na WAF - Dodoma WAZIRI wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Uuguzi na Ukunga kuongeza kasi ya utoaji wa huduma za uuguzi na ukunga pamoja na kufuatilia ubora wa kazi hizo ili mwananchi apate huduma iliyobora.

ONGEZENI KASI YA UTOAJI WA HUDUMA ZA UUGUZI NA UKUNGA

Na WAF - Dodoma 

WAZIRI wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Uuguzi na Ukunga kuongeza kasi ya utoaji wa huduma za uuguzi na ukunga pamoja na kufuatilia ubora wa kazi hizo ili mwananchi apate huduma iliyobora.
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki matembezi ya hisani ya 𝐌𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞π₯𝐞𝐨 𝐁𝐚𝐧𝐀 𝐌𝐚𝐫𝐚𝐭𝐑𝐨𝐧 β€˜Hatua ya Faraja’ Msimu wa Pili Jijini Dar es Salaam Mhe. Majaliwa ameongoza mbio hizo za kuleta faraja kwa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki matembezi ya hisani ya 𝐌𝐚𝐞𝐧𝐝𝐞π₯𝐞𝐨 𝐁𝐚𝐧𝐀 𝐌𝐚𝐫𝐚𝐭𝐑𝐨𝐧 β€˜Hatua ya Faraja’ Msimu wa Pili Jijini Dar es Salaam

Mhe. Majaliwa ameongoza mbio hizo za kuleta faraja kwa
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Naibu waziri wa afya Dkt Godwin Mollel leo Septemba 09, 2024 amewasili Jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki Kikao cha Saba cha Dharura cha Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Ujumbe huo wa Tanzania mbali ya Dkt. Mollel yupo pia Waziri wa Elimu, Sayansi

Naibu waziri wa afya Dkt Godwin Mollel leo Septemba 09, 2024 amewasili Jijini Arusha kwa ajili ya kushiriki Kikao cha Saba cha Dharura cha Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC

Ujumbe huo wa Tanzania mbali ya Dkt. Mollel yupo pia  Waziri wa Elimu, Sayansi
Wizara ya Afya Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

IMARISHENI MKAKATI WA KUSIMAMIA USAFI WA MAZINGIRA - WAZIRI MHAGAMA Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema ili kuepuka magonjwa ya mlipuko ameitaka Idara ya Kinga Wizara ya Afya kuimarisha mpango mkakati wa kusimamia suala la usafi wa mazingira katika

IMARISHENI MKAKATI WA KUSIMAMIA USAFI WA MAZINGIRA - WAZIRI MHAGAMA

Na WAF - Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema ili kuepuka magonjwa ya mlipuko ameitaka Idara ya Kinga Wizara ya Afya kuimarisha mpango mkakati wa kusimamia suala la usafi wa mazingira katika