bi shamba (@vpopitolo) 's Twitter Profile
bi shamba

@vpopitolo

Agriculture my life my purpose 🌽🍎🍉🥥🥬🥑

ID: 1488563900916326412

calendar_today01-02-2022 17:25:11

6,6K Tweet

1,1K Followers

513 Following

Benny¹¹ (@bennykisarooney) 's Twitter Profile Photo

Hatuwezi kufanana Jinsi ya Kutatua Changamoto zetu hata kama Zimefanana, kila mtu ana Utashi wake, Hivyo pambana kwa namna Yako.

Fumbo Khan (@fumbokhanjr) 's Twitter Profile Photo

TUMSAIDIE MWANA X FAMILIA MWENZETU ALIYEPATA AJALI JUZI USIKU Namba yake; 0693017707 Jina: LUCKY MWAKABENGA X FAMILIA TUMSHIKE MKONO MWENZETU. Repost 40 hapa.

TUMSAIDIE MWANA X FAMILIA MWENZETU ALIYEPATA AJALI JUZI USIKU

Namba yake; 0693017707
Jina: LUCKY MWAKABENGA

X FAMILIA TUMSHIKE MKONO MWENZETU.

Repost 40 hapa.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio ct scan ya kichwa changu iliyopigwa pale Aga khan tarehe 30/6 mida ya mid night (0100-0200) RISASI ilipita kisogoni na kuenda kutokea kwenye kidevu. Taya ya kushoto ilivunjwa vunjwa vipande. Sehemu iliyoingilia Risasi mpaka leo nywele hzioti kabisa. Nilipopigwa

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

SAMIA MUST GO HAKUNA KUPEPESA MACHO. Hayo maandamano nitapush kwa akili zangu zote, nguvu zangu zote Mungu nisaidie. Gen z lets repost😂

Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

NARUDIA!!! Usifanye uwekezaji wote kwa mara moja kwenye miradi ya kisasa ya Maziwa na Unenepeshaji. Sio kuhusu kuwa na mtaji tu! Ni kuhusu matumizi sahihi ya mtaji "Nifanye!?" - wekeza kwa AWAMU za kitaalamu - jipe muda kufikia full potential Ng'ombe ni Utajiri 💰

NARUDIA!!!

Usifanye uwekezaji wote kwa mara moja kwenye miradi ya kisasa ya Maziwa na Unenepeshaji.

Sio kuhusu kuwa na mtaji tu!

Ni kuhusu matumizi sahihi ya mtaji 

"Nifanye!?"

- wekeza kwa AWAMU za kitaalamu
- jipe muda kufikia full potential 

Ng'ombe ni Utajiri 💰
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Chuo anachosoma FAITH FAUSTINE MAFWELE; Chuo: Lanseria flight school Kipo: Pretoria South Africa. Namba zake: +27 62 520 9167 Mnaoishi SOUTH AFRICA TUNAWATEGEMEA KWENYE HILI. Mliopo Tanzania endeleeni kutuma jumbe kwa huyu binti namba yake ya whatsapp hiyo. Gen z Repost🤝🔥

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Unapokuwa unauza, kamwe USIJITETEE kwa mteja, kubali hata kupoteza ila ULINDE THAMANI ya huduma/bidhaa yako. Gharama ya bidhaa/Huduma, haikuzuii wewe kufanya biashara, ila inakupa Wateja SAHIHI watakao AMINI bidhaa/huduma zako! Good morning family 🌞

Unapokuwa unauza, kamwe USIJITETEE kwa mteja,  kubali hata kupoteza ila ULINDE THAMANI ya huduma/bidhaa yako.

Gharama ya bidhaa/Huduma, haikuzuii wewe kufanya biashara, ila inakupa Wateja SAHIHI watakao AMINI bidhaa/huduma zako!

Good morning family 🌞
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Msimu wa kilimo ukiisha wanawake wengi huamia kwenye ususi wa mikeka na vikapu. Mikeka ambayo mwezi Desemba hutumika kwenye shughuli za ngoma (jando na unyago ) ambazo mh DC wa wilaya fulani amepiga marufuku 😁

Msimu wa kilimo ukiisha wanawake wengi huamia kwenye ususi wa mikeka na vikapu.

Mikeka ambayo mwezi Desemba hutumika kwenye shughuli za ngoma (jando na unyago ) ambazo mh DC wa wilaya fulani amepiga marufuku 😁
LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Nimealikwa Tena na ndugu zangu kissfmtanzania. Nimepewa jukumu la kutoa SABABU za Biashara nyingi zinazoanzishwa, KUFA ndani ya Miezi 24 Nakujaribisha kuungana nami kuanzia Saa 4 asubuhi ili TUJIFUNZE kwa pamoja.

Nimealikwa Tena na ndugu zangu <a href="/kissfmtanzania/">kissfmtanzania</a>. 

Nimepewa jukumu la kutoa SABABU za Biashara nyingi zinazoanzishwa, KUFA ndani ya Miezi 24

Nakujaribisha kuungana nami kuanzia Saa 4 asubuhi ili TUJIFUNZE kwa pamoja.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Ni siku mpya… Spana za jana zimeTosha sasa… let’s focus na mambo yenye Tija! Tujiandae kwenda msikitini binafsi nipo tayari leo siku ya Ibada… GM X FAM 🫶🏾

#TajiriLaKihaya 

Ni siku mpya… Spana za jana zimeTosha sasa… 
let’s focus na mambo yenye Tija!

Tujiandae kwenda msikitini binafsi nipo tayari leo siku ya Ibada…

GM X FAM 🫶🏾
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

MSEMAJI WA JESHI LA POLISI LIPI...? Kuna 1.Polisi OG na 2.Polisi Mwendokasi 1.Polisi OG siku kama ya leo Dunia na Wananchi wangetegemea Jeshi la Polisi wawe Kimya wakisubiri msimamo wa serikali Kuhusu madai ya CHADEMA kwa serikali. 2.Polisi OG hata kama wangeita Wanahabari

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Police Force TZ Watu wetu waliotekwa na kupotea warejeshwe. Watu wetu waliotekwa na kuuwawa, wahusika wawajibike. Hamuwezi kujichunguza. Nia yenu siyo njema kwetu. Maandamano yatakuwepo. Tunataka uwajibikaji. Mambo ya kutolewa kwenye reli hayana msingi. Kwanza reli gani? SGR au TAZARA?