Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile
Kigwa Aveki

@avekikigwa

Agriculture Advisor||Farmer||Organic farming Specialist||Manchester united & Simba SC die hard fan

ID: 1224219675376136192

calendar_today03-02-2020 06:35:05

7,7K Tweet

1,1K Followers

237 Following

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Kuwa na rasilimali ni jambo Moja, kuweza kuzitumia ni jambo lingine. Sisi kama taifa tuna rasilimali nyingi mno lakini wanaotuongoza wameshindwa kuzifanya zilete faida.

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Wakati tunalia kupaa kwa bei ya pumba Dar ni wazalishaji wakubwa sana wa taka hasa zinazooza, kumbe taka zingekusanywa na kuzalisha funza ambao ndio wangekuwa mbadala sahihi wa pumba 🤔

Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Hii picha ilipigwa saa 12:05 Asubuhi, hao wanaooneakana hapo ni ng'ombe wa shamba la mifugo ngerengere (Livestock Management Unit-LMU) zamani DAFCO. Kulikuwa na ng'ombe 4 na walisahaulika wakati wa kuchunga. Sijui nataka kusemaje, tusipoendelea tunasingizia ikonomiki saboteji

Hii picha ilipigwa saa 12:05 Asubuhi, hao wanaooneakana hapo ni ng'ombe wa shamba la mifugo ngerengere (Livestock Management Unit-LMU) zamani DAFCO.

Kulikuwa na ng'ombe 4 na walisahaulika wakati wa kuchunga.

Sijui nataka kusemaje, tusipoendelea tunasingizia ikonomiki saboteji
Kigwa Aveki (@avekikigwa) 's Twitter Profile Photo

Uhaba wa maji Dar lawama natupa kwa serikali tangu 1950 waliambiwa wajenge mabwawa kwa kwa ajili ya kutunza maji huku wakiruhusu polepole wakati wa kiangazi kwenda mto Ruvu, ila utekelezaji ukawa ni wa kusuasua Kuhusu hilo la ujenzi wa hayo mabwawa JICA waliupiga mwingi sana