Bwana Yule (@vaskazumbula) 's Twitter Profile
Bwana Yule

@vaskazumbula

Medical laboratory technician (MLT) Working at Askofu Hhando Health Center

ID: 1069099039222915072

calendar_today02-12-2018 05:20:48

3,3K Tweet

5,5K Followers

4,4K Following

King (@gallamenna) 's Twitter Profile Photo

NAMNA YA KUANDIKA EMAIL YA MAOMBI YA KAZI/JOB APPLICATION EMAIL Soma hapa na mifano👇 Anza na To : weka email ya unapotuma maombi. Sehemu ya Subject / kichwa. English: Subject: Job Application for [Position Title] - [Your Name] Kiswahili: Maombi ya Kazi kwa Nafasi ya

NAMNA YA KUANDIKA EMAIL YA MAOMBI YA KAZI/JOB APPLICATION EMAIL 

Soma hapa na mifano👇

Anza na To : weka email ya unapotuma maombi. 

Sehemu ya Subject / kichwa. 

English:

Subject: Job Application for [Position Title] - [Your Name]

Kiswahili:

Maombi ya Kazi kwa Nafasi ya
Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

' Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu. Repost...Repost.... Repost 🫂

'
Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.

Repost...Repost.... Repost 🫂
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_SHAURI_LA_UHAINI Part 2 Huyu sasa ni shaidi wa pili baada ya yule wa kwanza ambae ni George. Tarehe 03/04 mtumiaji wa mtandao huo wa YouTube yaani akaunti ya JAMBO TV alichapisha maudhui yakiyojulikana TUNDU LISSU uso kwa uso na watia nia chadema. Katika video hiyo

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_SHAURI_LA_UHAINI Part 3 Mheshimiwa Lissu alisema wakati namfuatilia kuwa tutazuia uchaguzi, tutaenda kukinukisha vibaya sana. Video hiyo ilinipa hamasa sana na video hiyo hamasa. Nilianza maandalizi ya kukinukisha hapa Songea. Na nimeshiriki kwenye TONETONE

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

NATOA SHULE YA BURE NA RAHISI Nimeona Comments watu wanasema sisi hatutumii mfumo wa kielectronic kupiga kura tunatumia makaratasi sasa mfumo unahusika vipi? Niseme tu ukiongea hilo neno kwa sisi wataalamu wa mifumo tutakuwasha kibao shuka na huu uzi kisha Retweet uwafikie wengi

NATOA SHULE YA BURE NA RAHISI

Nimeona Comments watu wanasema sisi hatutumii mfumo wa kielectronic kupiga kura tunatumia makaratasi sasa mfumo unahusika vipi? Niseme tu ukiongea hilo neno kwa sisi wataalamu wa mifumo tutakuwasha kibao shuka na huu uzi kisha Retweet uwafikie wengi
Masterplan🇹🇿 (@master_plan7) 's Twitter Profile Photo

Nyimbo za Gospel ninazopenda Kusikiliza sana. Paul clement-Kitabu Rehema Simfukwe- Nina Ushuhuda Cover ya Ben Dylan- Uliniahid Bwana Neema Gospel- Dhahabu Ongeza za Kwako.

Komu Printing (@elparton112) 's Twitter Profile Photo

Nina Mengi Ya Kusema Leo ila Acha Niseme Haya Machache: Kwa Sisi Wananchi Wa Daraja La Chini Tupendane Na Tupeane Support Inapobidi Ni Wazi Kuwa Hamna Aliyoko Juu Anayejali Kuhusu Sisi. Poleni Sana Mliopoteza Wapendwa Wenu🙏🏿

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Billionea amekataa maujinga ujinga ya Samia ametoa na statement kabisa Halafu tunategemea kukuza uchumi bila DFI kutoka kwa hawa mabilionea Maana kuna siku wakiwekeza nchi mtaua wafanyakazi wake kisha mtasema wanatoka nchi jirani Kwa hiyo Samia mtu akitoka Kenya kumuua ni

Billionea amekataa maujinga ujinga ya Samia ametoa na statement kabisa

Halafu tunategemea kukuza uchumi bila DFI kutoka kwa hawa mabilionea

Maana kuna siku wakiwekeza nchi mtaua wafanyakazi wake kisha mtasema wanatoka nchi jirani 

Kwa hiyo Samia mtu akitoka Kenya kumuua ni
ASTRA (@tzastra2014) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndio alisema Ana chinja ngamia ili polepole na wenzake wafe na akatamba atawasomea albadir ili wafe wote wanao kemea utekaji na kuuwawa Kwa raia huku akitetea ccm

Huyu  ndio alisema Ana chinja ngamia ili polepole na wenzake wafe na akatamba atawasomea albadir ili wafe wote wanao kemea utekaji na kuuwawa Kwa raia huku akitetea ccm
PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

Hizi code ni muhimu sana kuzijua wewe Mwanamtandao 😎👇 Karibu ujiunge nasi TECH HUB kwa link hii t.me/TECHHUBTIPS 🌐💠 CALL FORWARD (Simu kuelekezwa kwa namba nyingine) 💠🌐 📞 All Calls: **21*NUMBER# ➤ Simu zote ziende kwa hiyo namba 📞 When Busy:

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Huyu dada @belindaPINDA04 hajatweet kitambo kidogo. Kama kuna mtu wake wa karibu anaona ujumbe huu atutoe Wasiwasi juu ya usalama wake. REPOST 500.

Huyu dada @belindaPINDA04  hajatweet kitambo kidogo.

Kama kuna mtu wake wa karibu anaona ujumbe huu atutoe Wasiwasi juu ya usalama wake. 

REPOST 500.