๐Ÿ‘‚ (@trinitariancs) 's Twitter Profile
๐Ÿ‘‚

@trinitariancs

ID: 1073616273672728577

calendar_today14-12-2018 16:30:41

3,3K Tweet

213 Takipรงi

587 Takip Edilen

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Maskini Aikande. I see you are really traumatised by Mboweโ€™s unlawful arrest and detention. Pole ndugu yangu. Elewa huko pekee yako. Tuko wengi sana na TRAUMA. Kama Makaburu walimuachia Mandela, kuna siku Mbowe atatoka

Babbie Kabae aka SistaDread๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ (@babbiekabae) 's Twitter Profile Photo

Ya Allah katika siku hii, tufungulie milango ya rizqi na furaha na Faraja, kwa njia tusioijua wala kuitarajia. Ameen. Jumaโ€™a Kareem...๐Ÿ™๐Ÿพ

Theodory (@theogiyan) 's Twitter Profile Photo

Siku kama ya leo miaka mitatu iliyopita tulimpoteza mzee Faustine katika mwaka ambao pia nilianza safari ya segerea ama hakika ulikuwa mwaka mgumu sana hasa kwa mama yangu lakini Mungu ni mwema wakati wote aendelee kumpa baba yetu mzee Faustine pumziko la milele, Amina.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Hii staili ya kutatua matatizo yetu kwa comparison ya nchi nyingine tumeitoa wapi?kama ni nzuri tuwe tunaitumia na kwenye mambo mengine kama katiba,mishahara,huduma za afya na elimu,maji..

Mwakimi Jr (@mateomwakimi) 's Twitter Profile Photo

Gender: Male Age: 25 Education: Bsc. In computer science of RUCU. Resident: Kyela Mbeya. Skills Nyingine 1. Kilimo 2. Usimamizi wa Biashara 3. Digital Marketing Naombeni kazi at least for Living.๐Ÿ™๐Ÿ™

Coxstore ๏ฃฟ (@coxstoretz) 's Twitter Profile Photo

Nimesikiliza story ya huyu jamaa kuhusu kubambikizwa kesi ya uvamizi wa ubungo kipindi hiko na baadae kushinda kesi na kuonekana hana hatia ila very sad ๐Ÿ˜ข anatamani sana kurudishwa kazini na kwenye interview amesikika akimuomba Mama Amsaidie ๐Ÿ™ Retweet yako muhimu sana

Nimesikiliza story ya huyu jamaa kuhusu kubambikizwa kesi ya uvamizi wa ubungo kipindi hiko na baadae kushinda kesi na kuonekana hana hatia ila very sad ๐Ÿ˜ข anatamani sana kurudishwa kazini na kwenye interview amesikika akimuomba Mama Amsaidie ๐Ÿ™

Retweet yako muhimu sana
Elisa~Minty D&D๐Ÿงš๐Ÿพโ€โ™€๏ธ (@elisalinah31) 's Twitter Profile Photo

Helicopter inamzungusha Waziri kukagua anuani za Makazi ila haiwezi kubeba mgonjwa kumuwahisha Hospital. Mgonjwa mahututi anapandishwa gari kutoka Kigoma mpaka Dar. Hii nchi tumelaaniwa.

Gadgets Bomba (@isaacchengula) 's Twitter Profile Photo

Naomba Nisaidie Kushare One of the Slimmest & lightest Laptop Hp Spectre Core i7 8th Gen Ram 8Gb DDR4 512gb SSD 13.3-inch FHD (1080p) Backlight keyboard 1 Year Warranty Price 1,950,000TZS โ˜Ž๏ธ 0753902779 (WhatsApp) #SokoLetu #NipeDili

Naomba Nisaidie Kushare 

One of the Slimmest & lightest Laptop

Hp Spectre 

Core i7 
8th Gen 
Ram 8Gb DDR4 
512gb SSD 
13.3-inch FHD (1080p) 
Backlight keyboard 
1 Year Warranty 

Price 1,950,000TZS

โ˜Ž๏ธ 0753902779 (WhatsApp)
#SokoLetu #NipeDili
Rowland Mogomotsi Masire โ€˜Muzmaโ€™๐Ÿ˜Ž (@mamabobson) 's Twitter Profile Photo

0.71$ ni sawa na Tsh. 1655/- . TTCL CORPORATION sasa hivi kwenye BUFEE wanauza 1MB kwa 2.50Tsh, ili kupata 1GB ambayo ni sawa na 1024MB unahitaji uwe na Tsh 2560/-. Hizi takwimu ni zipi sasa?

Dismus ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช (@goldenwriters_) 's Twitter Profile Photo

Huyu Jamaa Nchi ilikuwa tulivu ๐Ÿ˜‚ Ajira zilikuwepo ,alilipa hadi mishahara hewa Hakuna tozo Yaani Ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA Retweet for JK๐Ÿ™๐Ÿ™

Huyu Jamaa Nchi ilikuwa tulivu ๐Ÿ˜‚
Ajira zilikuwepo ,alilipa hadi mishahara hewa  Hakuna tozo
Yaani Ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA
Retweet for JK๐Ÿ™๐Ÿ™
Tito Korduni ๐Ÿ’ง (@titokorduni) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿงต1. Habari ya leo, Wapendwa naitwa Emmanuel Mapunda au Baba Nyakyola. Nimepata changamoto ya kuona na ninahitajika kufanyiwa upasuaji wa pili hospitali ya CCBRT na gharama imekuwa kubwa ninawaomba kama ndugu zangu mnisaidie ili niweze kuona maana naweza kupata upofu wa kudumu.

๐Ÿงต1. Habari ya leo,
Wapendwa naitwa Emmanuel Mapunda au Baba Nyakyola.
Nimepata changamoto ya kuona na ninahitajika kufanyiwa upasuaji wa pili hospitali ya CCBRT na gharama imekuwa kubwa ninawaomba kama ndugu zangu mnisaidie ili niweze kuona maana naweza kupata upofu wa kudumu.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

History Maker, Record Breaker. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Soka duniani, Haaland amekuwa mchezaji wa Kwanza kufunga Magoli 14 kwenye Mechi 8 za mwanzo za EPL, pia amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga Hatrick 3 kwenye Michezo 3 mfululizo Uwanja wa Nyumbani Kwenye EPL.

History Maker, Record Breaker. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Soka duniani, Haaland amekuwa mchezaji wa Kwanza kufunga Magoli 14 kwenye Mechi 8 za mwanzo za EPL, pia amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga Hatrick 3 kwenye Michezo 3 mfululizo Uwanja wa Nyumbani Kwenye EPL.
Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

ANAWEZA kuchelewa kujibu kwa sababu yeye ni Mungu lakini siyo kwamba hakusikia. Majibu yakichelewa, nitaomba, nitasali, nitapeleka dua yangu kwake. ๐Ÿ™