
YUSUPH MOHAMEDY
@yusuphmohamedy1
Music Music Fitness & Wellness Soccer Travel Humanitarian
ID: 1071812888917147648
09-12-2018 17:04:40
1,1K Tweet
236 Takipçi
2,2K Takip Edilen







Mohammed Dewji MO Mimi RAJAB ABEID SINGO kijana wa miaka 28, mfugaji mdogo wa kuku wa mayai kijiji cha Mtakuja wilaya ya Muheza, Tanga. Banda langu la kienyeji, umeme natumia solar. Ninazo changamoto za vyombo vya kuwalisha kuku pamoja na chakula chao cha kutosha. Ninaomba sapoti kwa hali na mali.











