fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile
fatma karume aka Shangazi

@fatma_karume

Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight

ID: 953871384400269312

calendar_today18-01-2018 06:07:14

74,74K Tweet

1,1M Takipçi

656 Takip Edilen

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Naitwa MKOROFI na Majaji wa Mahakama. Sawa. Let’s go! Swali: Kama mnaweza kuwapa HAKI watu waliye UWA na mnasema wameuwa bila ya KUKUSUDIA, mnashindwa kunipa HAKI mie? MKOROFI Nchi hii hana HAKI? 😂😂😂

Naitwa MKOROFI na Majaji wa Mahakama.

Sawa. Let’s go!

Swali:
Kama mnaweza kuwapa HAKI watu waliye UWA na mnasema wameuwa bila ya KUKUSUDIA, mnashindwa kunipa HAKI mie?

MKOROFI Nchi hii hana HAKI?
😂😂😂