JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile
JAPHET MATARRA

@eng_matarra

Father | Mineral Processing Engineer | Human Right Activist| Paralegal | Member @ChademaTz | @ManUtd | @YoungafricansSC
| Boss Himself | StoryTeller | 430'2023

ID: 1281897329923100673

calendar_today11-07-2020 10:25:26

41,41K Tweet

26,26K Takipçi

982 Takip Edilen

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 1496 Mtawala wa Spain kipindi hicho akaanza kuitawala kikoloni maeneo ya taifa hilo na makao makuu yalikuwa #Santo_Domingo ulipo sahv mji mkuu wa JAMHURI YA DOMINIC Mnamo mwaka 1697 Ufaransa akachukua akampiga Spain kisha akajimilikisha maeneo yote na kuitawala rasmi Haiti