Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿

@wizara_afyatz

Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania.
Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYA

ID: 3044753523

linkhttp://www.moh.go.tz calendar_today19-02-2015 04:54:19

7,7K Tweet

243,243K Takipçi

141 Takip Edilen

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika Geneva Uswisi leo Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono kwa kura ya ndio.

PROF. JANABI AOMBA KURA YA NDIO KWA MAWAZIRI WA AFYA AFRIKA, AWASILISHA VIPAUMBELE SABA. Na WAF, Geneva Uswisi Prof. Mohammed Janabi, amewasilisha vipaumbele saba ambavyo amevinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani katika Bara la Afrika

PROF. JANABI AOMBA KURA  YA NDIO KWA MAWAZIRI WA AFYA AFRIKA, AWASILISHA VIPAUMBELE SABA.

Na WAF, Geneva Uswisi

Prof. Mohammed Janabi, amewasilisha vipaumbele saba ambavyo amevinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani katika Bara la Afrika
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Prof. Mohammed Janabi leo Mei 18, 2025 amewasilisha vipaumbele saba ambavyo amevinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani katika Bara la Afrika na kuomba ridhaa ya kumpitsha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani kwa Kanda hiyo.

Prof. Mohamed Janabi (@profjanabi) 's Twitter Profile Photo

I am deeply honored and humbled to be elected as the WHO Regional Director for Africa WHO African Region . This is not just a personal milestone, but a collective victory for our continent’s unwavering pursuit of better health for all. I thank the Member States for their trust and

I am deeply honored and humbled to be elected as the WHO Regional Director for Africa <a href="/WHOAFRO/">WHO African Region</a> .
This is not just a personal milestone, but a collective victory for our continent’s unwavering pursuit of better health for all. I thank the Member States for their trust and
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Viongozi, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Afya walioshiriki kwenye Mkutano Maalum wa uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika wakimpongeza Prof. Mohammed Janabi kwa ushindi.

World Health Organization (WHO) (@who) 's Twitter Profile Photo

"I urge all of us to reaffirm our commitment with WHO. United we stand, divided we fall. We must garner all our efforts to leave the world with better health security. We must ensure no one is left behind." Watch the statement of Samia Suluhu, President of the United Republic of

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI YA TANZANIA YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA GFF KWA KUTAMBUA MCHANGO WAO Na WAF - Geneva, Uswisi Waziri wa Afya Tanzania Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na Waziri wa Afya (Zanzibar) Mhe. Nasoro Mazrui leo Mei 20, 2025 wamekutana na uongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Ufadhili

SERIKALI YA TANZANIA YAENDELEA KUSHIRIKIANA NA GFF KWA KUTAMBUA MCHANGO WAO

Na WAF - Geneva, Uswisi

Waziri wa Afya Tanzania Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na Waziri wa Afya (Zanzibar) Mhe. Nasoro Mazrui leo Mei 20, 2025 wamekutana na uongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Ufadhili
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA NTDs Na WAF - Geneva, Uswisi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kutokomeza Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases - NTDs) ikiwemo kufanya usambazaji wa

TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA MAPAMBANO DHIDI YA MAGONJWA YA NTDs

Na WAF - Geneva, Uswisi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua kubwa katika kutokomeza Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Diseases - NTDs) ikiwemo kufanya usambazaji wa
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAENDELEA KUWA KINARA DUNIANI KWENYE MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI Na WAF - Geneva, Uswisi Zaidi ya akina mama na watoto 150,740 waliokuwa na dharura ya huduma ya uzazi wamepata huduma ya usafiri wa haraka kupitia mfumo wa rufaa ngazi ya

TANZANIA YAENDELEA KUWA KINARA DUNIANI KWENYE MATUMIZI YA TEKNOLOJIA  KUPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI

Na WAF - Geneva, Uswisi

Zaidi ya akina mama na watoto 150,740 waliokuwa na dharura ya huduma ya uzazi wamepata huduma ya usafiri wa haraka kupitia mfumo wa rufaa ngazi ya
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

KAMATI YA USHAURI USAJILI WA SARATANI YAZINDULIWA Na WAF- Dodoma Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Wizara ya Afya, Dkt. Caroline Damian amezindua Kamati ya Ushauri ya Usajili wa Saratani (ACCR) yenye lengo la kuimarisha Usajili wa Saratani nchini kupitia usajili unaozingatia

KAMATI YA USHAURI USAJILI WA SARATANI YAZINDULIWA 

Na WAF- Dodoma

Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Wizara ya Afya, Dkt. Caroline Damian amezindua Kamati ya Ushauri ya Usajili wa Saratani (ACCR) yenye lengo la kuimarisha Usajili wa Saratani nchini kupitia usajili unaozingatia
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Kikao cha 157 cha Kamati Kuu tendaji ya Shirika la Afya Duniani WHO leo Mei 28, 2025 kimempitisha na kumthibitisha Prof. Mohamed Yakub Janabi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo kwa Kanda ya Afrika. Hatua hii inajiri mara baada ya Prof. Mohamed Janabi kushinda kwenye uchaguzi wa nafasi

Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

WAJUMBE WOTE 33 WA KAMATI TENDAJI WHO WASEMA NDIO KWA PROF. JANABI Wajumbe wote 33 wa kamati tendaji ya Shirika la Afya Duniani (WHO Executive Board) wamemthibitisha na kupitisha Prof Mohamed Yakub Janabi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika kwa

WAJUMBE WOTE 33 WA KAMATI TENDAJI WHO WASEMA NDIO KWA PROF. JANABI

Wajumbe wote 33 wa kamati tendaji ya Shirika la Afya Duniani (WHO Executive Board) wamemthibitisha na kupitisha Prof Mohamed Yakub Janabi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Kanda ya Afrika kwa
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 (@wizara_afyatz) 's Twitter Profile Photo

Bunge la Tanzania limepitisha kwa kishindo Mapato na Matumizi ya fedha ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/26 Shilingi Trilioni 1.6 kwa Fungu namba 52 ikiwepo matumizi ya kawaida Shilingi Bilioni 626.4 na miradi ya maendeleo Bilioni 991.7