🐞Sandy🍘
@sandybu85518628
ID: 1645116797111394306
09-04-2023 17:30:02
3,3K Tweet
691 Takipçi
2,2K Takip Edilen
Dear Ummy Mwalimu na Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿 hii ni nini jamani kweli shilingi 150k mama kakosa watu wenu wanashindwa kumfanyia operesheni mpaka anakufa Huko mikoani vijijini watu wanateseka sana na huduma za afya lakini ndio wapiga kura wenu wakubwa sana muwe na huruma