Fundi Mitambo (@nassaryjona) 's Twitter Profile
Fundi Mitambo

@nassaryjona

ID: 1307229763

calendar_today27-03-2013 11:14:33

44,44K Tweet

723 Takipçi

2,2K Takip Edilen

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Nchi ambayo MVUA isiponyesha inalalamika kukosa MAJI inakuwaje na MAFURIKO? Haya maji ya mvua zinzaonyesha sasa si ndio mlilalamika kuwa ni sababu ya watu kukosa maji safi na salama? Mnachokiweza nyie ni malalamiko tuu. Kwahiyo hapa kama mnamuomba MUNGU mnaomba mvua zikate

Nchi ambayo MVUA isiponyesha inalalamika kukosa MAJI inakuwaje na MAFURIKO?

Haya maji ya mvua zinzaonyesha sasa si ndio mlilalamika kuwa ni sababu ya watu kukosa maji safi na salama? 

Mnachokiweza nyie ni malalamiko tuu. Kwahiyo hapa kama mnamuomba MUNGU mnaomba mvua zikate
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

PESA za kujengea miundombinu ya jiji la Mwanza Abduli kanunulia ROZI LOLISI. Wananchi walipoandamana kutaka uwajibikaji wakapigwa RISASI ZA VICHWA.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Idi Amin Mama kama Idi Amin Mama 😀😀 Ila wakenya 🇰🇪 wakikubambikia jina unalo! Jamani huyu kimama Samia Suluhu keshajulikana na #Tanzania haiwezi kukaa sawa kamwe as long as anaendelea na ushenzi wake Ndo maana solution pa kuanzia ni #SamiaMustGo na genge lake la wauaji kisha

Idi Amin Mama kama Idi Amin Mama 😀😀
Ila wakenya 🇰🇪 wakikubambikia jina unalo!
Jamani huyu kimama <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> keshajulikana na #Tanzania haiwezi kukaa sawa kamwe as long as anaendelea na ushenzi wake 
Ndo maana solution pa kuanzia ni #SamiaMustGo na genge lake la wauaji kisha
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

KIA Airport imeondoka. Bandari kwa waarabu. Tazara wachina. Soon SGR utasikia na yenyewe wanakabidhiwa wageni wengine… Inawezekanaje mradi wa trilioni 14 eti ndani ya miaka mitatu. train haitembei kwasababu ya mvua!!!! Kwani hakufanyika upembuzi yakinifu, wakati wa ujenzi?

KIA Airport imeondoka.

Bandari kwa waarabu.

Tazara wachina.

Soon SGR utasikia na yenyewe wanakabidhiwa wageni wengine…

Inawezekanaje mradi wa trilioni 14 eti ndani ya miaka mitatu. train haitembei kwasababu ya mvua!!!! Kwani hakufanyika upembuzi yakinifu, wakati wa ujenzi?
Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Waliosema watakata watu vichwa mmewakamata? Na wale waliosema tunampinga Samia kwa sababu ya dini vipi ? Sio uchochezi ? Au wao wana KINGA maalumu? Angalieni,watu sio vipofu na kwamba ni viziwi na wajinga.

Waliosema watakata watu vichwa mmewakamata? Na wale waliosema tunampinga Samia kwa sababu ya dini vipi ? Sio uchochezi ? Au wao wana KINGA maalumu? Angalieni,watu sio vipofu na kwamba ni viziwi na wajinga.
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Narudia swali maana najua ulihudhuria shule kwa shinikizo la familia. Hausikii hatia au majuto kuwa wewe na chama chako mmeuwa maelfu ya WaTZ ili msalie madarakani? Unatoa wapi ujasiri wa kujianika mtandaoni ukila ulabu, na kufurahia madaraka ya damu? Jibu Nape Moses Nnauye.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Tuliwaonya kwamba Tume ya Chande ni hatari sana, Chande ni kijakazi wa Kikwete. Ukituma chochote kwenye hiyo Tume utauwawa fasta. Sasa kuna ushahidi wa mtu mmoja tayari wamepita naye kwa kuwasiliana na Tume ya Chande. Kweni makini, chochote alichotengeneza Samia kaa nacho

Tuliwaonya kwamba Tume ya Chande ni hatari sana, Chande ni kijakazi wa Kikwete.

Ukituma chochote kwenye hiyo Tume utauwawa fasta.

Sasa kuna ushahidi wa mtu mmoja tayari wamepita naye kwa kuwasiliana na Tume ya Chande.

Kweni makini, chochote alichotengeneza Samia kaa nacho
Richard Mabala (@mabalamakengeza) 's Twitter Profile Photo

Waheshimiwa na waishiwa hawawezi kukubaliana kuhusu amani na haki. Waheshimiwa wanang'ang'ia amani maana ni zao la wao kumiliki haki. Waishiwa hawana amani kwa sababu hawana haki. Amani kwa wote hutegemea haki kwa wote.

Mbishi ⚖ (@bizy94) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿Why is Tundu Lissu, CHADEMA leader, still detained in Ukonga Prison despite major blows to the prosecution's treason case? High Court rejected key video evidence & forensic report in Oct 2025, case crumbling, yet no bail, no release. Samia Suluhu Dictatorship govt: Free

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨ALERT‼️ This update shared by an activist claims a witness who reported and submitted evidence to the fake commission of inquiry has been disappeared by unknown assailants (Samia Suluhu’s murderous cabal) What Chande and his commission are doing is helping Suluhu eliminate

‼️🚨ALERT‼️
This update shared by an activist claims a witness who reported and submitted evidence to the fake commission of inquiry has been disappeared by unknown assailants (Samia Suluhu’s murderous cabal) 
What Chande and his commission are doing is helping Suluhu eliminate
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

'Kilichotokea Oktoba 29 hakikupaswa kukaliwa kimya na mtu yeyote' Mahojiano kamili na @wakazi ingia youtu.be/20AH_-hj5Co?si…

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

“WATANZANIA, MSIPOTOKA KUITAFUTA NA KUIPIGANIA HAKI YENU, HAKI HIYO ITAKUWA WAPI? DAIMA MTABAKI KUUMIA,”- Edward Rioba, Mtaalamu wa Kisiasa nchini Kenya #KatibaMpya Sikiliza zaidi: youtu.be/Ch3CrZgDYGY

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Ninapenda kumpongeza Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kuteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel, hatua hii ni heshima kubwa si kwake binafsi tu bali pia kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kwa sasa, kutokana na msimamo wake, ujasiri na mapambano ya haki, inawezekana kabisa akawa ndiye

Ninapenda kumpongeza Mheshimiwa Tundu Lissu kwa kuteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel, hatua hii ni heshima kubwa si kwake binafsi tu bali pia kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kwa sasa, kutokana na msimamo wake, ujasiri na mapambano ya haki, inawezekana kabisa akawa ndiye
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima wa afya, amekatwa kwasababu za kisiasa kwa kesi ya uongo ya kuchonga… Jambo lolote baya likimkuta, serikali ya kidkteta itawajibika.

Celestine Simba (@celestine_simba) 's Twitter Profile Photo

Anaitwa Lucy Anton Michael, anatoka kata ya Makangarawe Yombo Dovya. Ni katibu wa Uvccm. Tunaweza kupata taarifa zake zote naye atatusaidia kutujulisha wafadhili wa ile show yao ya ukatoliki. Simple tu.

Anaitwa Lucy Anton Michael, anatoka kata ya Makangarawe Yombo Dovya. 
Ni katibu wa Uvccm. 
Tunaweza kupata taarifa zake zote naye atatusaidia kutujulisha wafadhili wa ile show yao ya ukatoliki. Simple tu.
Mamwavi_Nkabasia (@joeselasini) 's Twitter Profile Photo

Huyu hamuogopi Mungu? Ni yule niliyemuona akipiga magoti madhabahuni mwaka mpya? Taifa lenye viongozi wakuu waongo, walio chini yao watapata wapi maadili? "This is too much." Sasa naikubali kauli ya Ulimwengu; kuna viongozi kabla ya kukabidhiwa madaraka inabidi wapimwe akili.